naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Naomba msaada nakosea wapi kwenye kuconnect hii form na database

    Wakuu, naendelea kujifunza vitu. Sasa sasa hivi najifunza ku interact na database. Nimeweza kuunda fomu hii kwa msaada wa HTML and CSS Na huu ndiyo code yangu ya HTML <!DOCTYPE html> <html lang="en"> <head> <meta charset="UTF-8"> <link rel="stylesheet" type="text/css"...
  2. Naomba kujibiwa swali langu, sitapenda kejeli kwa wajibuji

    Za muda wadau!moja kwa moja kwenye swali "Hivi kinachotuangaisha binadamu katika harakati za maisha kinatokana na historia(sayansi)? Au maisha ya sasa(uvumbuzi) au maisha ya baadae(dini au maandiko) naomba aloelewa ajibu na kama hujaelewa naomba tumia muda kusoma NK kwenye mabano ni ufafanuzi...
  3. Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?

    Wanabodi, Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!. Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa...
  4. A

    DOKEZO Nadai Tsh. Milioni 440 kwa Mkandarasi wa SGR. Naomba Serikali inisaidie, napigwa danadana tangu Desemba 2022

    Mimi sio mtu wa mitandao sana lakini nimeona malalamiko kadhaa yanayoandikwa na Jamii Forums kuhusu mambo mbalimbali yanafanyiwa kazi hasa kuhusu huku kwenye shughuli zetu tunazozifanya kwenye miradi. Mimi ni mmoja wa Wakandarasi wadogo ambao tumekuwa tukifanya kazi na Mkandarasi Mkuu wa Mradi...
  5. S

    Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

    Habarini, nina swali nimemaliza clinical medicine mwaka huu nina GPA ya Tano. Nataka kujiendeleza MD bahati mbaya nafasi za MD Serikalini kumejaa na private siwezi kumudu ada, nauliza mwakani nikiapply naweza kupata chuo kama MUHAS na kuhusu mkopo kuna uwezekano wa kupata? O level nina dv 2 ya...
  6. Naomba upesi nijibiwe haya Maswali yangu na Watangazaji pamoja na Wachambuzi wa Michezo wa Redio nchini

    Swali # 1. Je, Yanga SC ingekuwa inaongoza Ligi Kuu ya NBC mpaka sasa ( yaani leo ) mngekuwa Wanafiki hivi na Kutumia muda mrefu Kumjadili Mwamuzi wa leo kuwa Kaipendelea Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate FC huku mkijisahaulisha ( mkijizima data ) kuwa hata hiyo Klabu mnayoitetea kwa...
  7. Naomba kufahamu umuhimu wa ukasimishaji wa madaraka kiongozi wa nchi anapokuwa nje ya ofisi!

  8. Naomba Ukweli wa Taarifa hii iliyoko HABARI LEO ya Leo kwani Mimi Siiamini na Sitoiamini

    Inasema..... Tanzania ya pili kuingiza Watalii duniani. Iko Ukurasa wa Tatu ( 3 ) Na GENTAMYCINE naomba ikithibitika kuwa si kweli basi upesi sana Mhariri wa Gazeti hili la Habari Leo na Mwandishi wa Habari hiyo anbayo nina uhakika ni ya UONGO watuombe Radhi na ikiwezekana wapangiwe Majukumu...
  9. Naomba kujua maana ya majina ya utani ya Majenerali wetu waliopigana vita ya kagera

    Vita ya Kagera ya mwaka 1978/79 iliyopiganwa ili kuokoa mipaka yetu ilikuwa ya aina yake. Tulifanikiwa kushinda lakini ilituachia maumivu pengine mpaka leo. Moja ya vivutio ilikuwa ni uzalendo mkubwa wa wapiganaji wetu kutoka JWTZ. Palikuwa na Majenerali walioongoza brigedi mbalimbali...
  10. Msemaji Mpya wa Serikali Mobhare Matinyi naomba uanze na Mfupa huu Kiufafanuzi

    Je, kwa sasa jina la Bodi ya Mikopo kwa Elimu ya Juu limebadilka kutoka lile tulilolizoea la HESLB ( Higher Education Student Loan Board ) na sasa limebatizwa Jipya la Samia Suluhu Higher Education Student Loan? Haya Poti wangu (mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu) Mobhare Matinyi naomba uanze na huu...
  11. U

    Naomba kufahamishwa dawa nzuri ya kuua Panya, unga mweusi umedunda

    Ni miezi sasa panya wamekuwa wananisumbua sana! Nimejaribu dawa za unga mweusi zinazouzwa dukani zimeshindwa, zile za pellets ndiyo hamna kitu!! Panya hawa huingia ndani mwangu kuanzia jioni na hunichachafya hadi asubuhi! Nimewafuatilia naona wanatoka kwa jirani Kwangu kuna fence ajabu...
  12. Kwa wenye iphone, Naomba mnisaidie kunitajia ios version zenu 🙏

    Wakuu, Mimi ni software developer. Natengeneza App kwa ajili ya kutumika kwenye simu za Apple(iphones). Nafanya research nipate kujua ios version gani inatumika na watu wengi hapa Tanzania ili niweze kuwaletea App yangu na muweze kuitumia. Hivyo naomba kufahamu ios version ya ngapi mnatumia...
  13. CV ya Kikeke ina Ukakasi hawezi kuajiriwa serikalini, alianza darasa la kwanza na miaka 4

    Kikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti. Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya...
  14. Naomba kueleweshwa kanuni ya kufuzu kwa goli la kujifunga

    Jamani wenye uelewa tujulishane, kama watu wame droo 3-3 hii kanuni ikoje
  15. Naomba kujuzwa gharama za kusajili michezo ya bahati nasibu

    Nimekaa nimefanya tathimi biashara ya kufanya kwa mtaji kidogo nikapata wazo ninunue bonanza machine izi za kuchezesha mia mbili mbili naomba kujuzwa garama za usajili GBT,halmashauri,pamoja na tra kwa mashine moja
  16. Naomba support kwenye mradi wangu

    Habari za wakati huu wana Jamii Kwa majina ninaitwa HASSAN IDDI HASSAN Mkazi wa Kigoma-Ujiji Mimi ni kijana mwenye ndoto ya kufanya mageuzi katika matumizi ya nishati mbadala nikiwa na maana ya Green Energy, pamoja na usafi wa mazingira. Ambapo tutatumia taka (organic waste) kuweza kuzalisha...
  17. Mkitoka Kanisani, Naomba Mtupe Elimu ya Hizi Alama

    Angalia kwa hao black deacons around the neck hizo alama tatu zina maana gani?.
  18. M

    Naomba msaada wa mawazo juu ya hili

    Habari za jion wana jf, Ni kuwa nina akaunti ya kuweka akiba NBC ambayo mara nyingi huwa naweka akiba yangu. Ila leo nimeangalia salio naona lile salio la mwsho kuangalia halijawa lile ambalo nilitarajiwa liwepo leo navyoangalia, yaani naweka ela nasema leo nianglie nbc mkonon lazima itakuwa...
  19. W

    Naomba msaada wa matumizi ya ndevu na kidevu kitandani; wanalalamika ninawachoma!

    Wanawake wangu wanadai zinawachoma. Hakuna utofauti wa malalamiko hayo iwe nimezinyoa au nimeziachia. Kila sehemu ninayoaagusa na kidevu changu basi hutoa malalamiko hayo. Naomba msaada! Sina utaalamu wa kuzitumia au ndo inavyokuwa? Naona wenzangu wanaachia ndevu nyiiingi hadi wengine...
  20. Nataka kufunga biashara yangu naomba ushauri

    Mimi ni kijana wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka huu nina degree ya kodi, baada ya kumaliza chuo kuna sehemu ya biashara nilipata ya mgahawa iko pwani. Wiki mbili za mwanzo biashara ilienda vizuri lakini baada ya hapo kila tukipika chakula kikawa kinabaki maana kwenye suala la wateja baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…