Naomba kujua kwanini whatsapp GB inaomba udownload official apps? GB inaondolewa?

Annie X6

JF-Expert Member
Mar 16, 2023
405
751
Wakuu habarini

Nimetumia WhatsApp Gb muda mrefu sasa. Moja ya simu yangu imeomba nitafute official app kwenye playstore. Kabla ya hapo WhatsApp gb nilipatika kwa kudowload through akp kwenye search engine particularly chrome

Je, ninkwamba gb whatsapp inatuagaaga au? Wajuzi msaada hapo?
 
Kinachoniboa kwenye official wasap ni kuchanganya chat za magroup na individual basiii
Hii kitu siipendi kuchanganya chats na magroup basi tu huwa naweka archieved, nilitumiaga FM WhatsApp shida ya hizo ambazo sio official ukibadili device zinaleft group zote. Kuna group za maana
 
Back
Top Bottom