Naomba kufahamu solar itakayoweza kuchukua nafasi ya TANESCO nyumbani

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,434
5,095
Hali ni tete, joto kali umeme hakuna,

Naomba kufahamu badget inayotosha kupata umeme wa solar ambao unaweza kuchukua majukumu yote ya TANESCO

1. Taa
2. Feni tatu na AC 1,
3. Fridge
4. TV mbili
5. Computer mbili za desktop
6. Oven ila haitumik mara nyingi

Yaweza ni cost kiasi gani?
 
achana na solar kiongozi tafuta hii bajeti milioni 2 tu. Life yake miaka 10
20240216_132737.jpg
 
Back
Top Bottom