Make sure unaijua taasisi 'in' and 'out' kwa maana ni lini ilianzishwa na lengo la kuanzishwa kwake,Mission and vision zake.hellow guys naomba meongozo written interview question credit officer,mfuko wa self self MF
Unamuingiza mwenzio chaka tu..utumishi hawatoi vitu ka hivyoMake sure unaijua taasisi 'in' and 'out' kwa maana ni lini ilianzishwa na lengo la kuanzishwa kwake,Mission and vision zake.
Ujue roles and responsibilities za Credit officer.
Tafuta annual report yake uisome vizuri.
Finally,,,Nakutakia Kila la kheri misshope
Unapokosoa makosa ni kheri pia usahihishe kwa kutoa majibu sahihi.Unamuingiza mwenzio chaka tu..utumishi hawatoi vitu ka hivyo
Hivi hii position inahitaji watu wangapi?hellow guys naomba meongozo written interview question credit officer,mfuko wa self self MF
Nafasi 2 mkuuHivi hii position inahitaji watu wangapi?
Sio kweli anachosema mdau yuko sahih usahil wa loan officers heslb walitoa maswali yanayohusu taasis tu n vyema akajiandaa kwa hilo piaUnamuingiza mwenzio chaka tu..utumishi hawatoi vitu ka hivyo
SawaSio kweli anachosema mdau yuko sahih usahil wa loan officers heslb walitoa maswali yanayohusu taasis tu n vyema akajiandaa kwa hilo pia
Hahahah... Mkuu Smart911 leo toa wewe muongozo basi
Kiufupi utumudhi hawatabiriki ajiandae kwa kila angle na kila nyanja ili mradi apite atoboe oralSio kweli anachosema mdau yuko sahih usahil wa loan officers heslb walitoa maswali yanayohusu taasis tu n vyema akajiandaa kwa hilo pia
Sahih kbsaa bodi nilifanya oral hyoSio kweli anachosema mdau yuko sahih usahil wa loan officers heslb walitoa maswali yanayohusu taasis tu n vyema akajiandaa kwa hilo pia