Kwanini umeme unazidi kukatika ikiwa tumeambiwa Megawatt 235 tayari zimeingizwa kwenye grid ya Taifa?

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
31,638
37,860
Juzi tumetangaziwa na Waziri kwamba Megawatt 235 tayari zimeingizwa kwa grid ya Taifa, sasa mbona umeme ndiyo unazidi kukatika?

Naomba ufafanizi wa kina na wa kiufundi tatizo lipo wapi? yaani ukiongeza umeme maana yake kwa akili ya kawaida ni kwamba makali ya mgawo yanatakiwa yapungue sasa mbona hilo halipo au mimi ndiyo sielewi?
 
Juzi tumetangaziwa na Waziri kwamba Megawatt 235 tayari zimeingiuwa kwa grid ya Taifa, sasa mbona umeme ndiyo unazidi kukatika?

Pole!

Elewa genesis ya utawala wa Tanzania!

Ona!

Deep state iliamua kuachia mstakabali wa uchumi was taifa wanasiasa was nchi hii!!?

What a blunder!!?

Sasa hao wanasiasa ni wafanyabiashara,yaani wapo tayari waharibu au kuchelewesha maendeleo fulani Ili wafanye biashara wawe ma mapesa mengi mfukoni!!

Trust me

Tanzania Haina uhaba wa vyanzo vya umeme Wala umeme bali wanahujumu miundombinu ya serikali Ili wafanye biashara!!!

HUWA NAPATA HASIRA SANA!! HUWEZI RUHUSU WANASIASA WASHIKE MSTAKABALI WA UCHUMI.WA NCHI HII,UJASUSI WA KIDOLA NA KIUCHUMI UPO WAPI!!?

YAANI UMEME,AFYA MAJI UNAACHAJE MIKONONI MWA WANASIASA ETI.KWA.KIGEZO CHA SEKTA BINAFSI!!!?

CHUKUA HIYO!!
 
Idadi ya wapumbavu ni kubwa ndani ya nchi hii.Yaani mtu mwenye akili timamu hawezi ujinga kwamba tatizo la umeme litakwisha.
Yawezekana sisi ni mazezeta - yaani kulikuwa na umuhimu gani kutangazia Taifa kwamba umeme umeingia grid ya Taifa kilowatts 235?

Mimi naona wangefanya kimya kimya afu sisi wanachi tukaoma hee mbona haukatiki afu ndo wajitokeze wasema ha ha ha nisisi CCM.

Yaani inauma saana saana kwa kweli.
 
Usikae ukawaamini TANESCO hata KIDOGO na kesho wanakata tena hitirafu za Grid ya Taifa hazitoisha leo kesho kuna muendelezo haijarishi kuna Megawatts ngapi zimeongezwa
Ni kama ujinga, nafikiri CCM imefanikiwa kutufanya wote tuishio ndani ya nchi hii kuwa mazezeta kwa ujumla wetu.

Huwezi kuambiwa hivi na waziri afu tatizo lipo palepale afu unacheka cheka - ni uzezeta.
 
Yaani napata wasiwasi na uelewa wa sisi watanzamia - nadikiri tuna matatizo sehemu tena kubwa.

Kuna Mzee wa TANU alinidokezea kwamba ule mwenge wa Uhuru una mambo ya giza kuna vitu mwalimu alivifanya - ukikibizwa tu watu wote tunageuka mazezeta - unashangilla moto hivi ni akili ya kawaida hiyo ndugu zangu.

Yaani moto unapita wewe unashangilia si ni dalili za uzezeta hizo mdugu zangu.

Hata mimi maanza kumwamini huyo Mzee.
 
TANESCO Fupa Gumu lililomshinda Fisi
Nakumbuka miaka ya 2000 marehemu Nkapa alileta NET group toka SA wakapiga wakasepa, yakaja ma Richard Monduli yakapita, ikaja IPTL seth na town Boy Ruge - watu wakawekewa mahela kwa account zao dadeq

Hii nchi kwa kweli, sishangai hata Bashite akawa Rais wetu. - sibishi.

Miaka 40 unashindwa ku address tatizo walqu moja la umeme - kweli.
 
Yaani napata wasiwasi na uelewa wa sisi watanzamia - nadikiri tuna matatizo sehemu tena kubwa.

Kuna Mzee wa TANU alinidokezea kwamba ule mwenge wa Uhuru una mambo ya giza kuna vitu mwalimu alivifanya - ukikibizwa tu watu wote tunageuka mazezeta - unashangilla moto hivi ni akili ya kawaida hiyo ndugu zangu.

Yaani moto unapita wewe unashangilia si ni dalili za uzezeta hizo mdugu zangu.

Hata mimi maanza kumwamini huyo Mzee.
Hakuna kitu sipendi kama ule mwenge. Dah!! Ni ujinga mmoja mtakatifu, eti Mwenge wa Taifa. Pumbavu kabisa takataka... Basi tuu sina nafasi huko juu ila ninge futilia mbali huo Mwenge.
 
Yawezekana sisi ni mazezeta - yaani kulikuwa na umuhimu gani kutangazia Taifa kwamba umeme umeingia grid ya Taifa kilowatts 235?

Mimi naona wangefanya kimya kimya afu sisi wanachi tukaoma hee mbona haukatiki afu ndo wajitokeze wasema ha ha ha nisisi CCM.

Yaani inauma saana saana kwa kweli.
Wenye akili timamu wasipo jishughulisha na mambo ya msingi katika taifa lao mwisho hutawaliwa na wajinga
 
Juzi tumetangaziwa na Waziri kwamba Megawatt 235 tayari zimeingiuwa kwa grid ya Taifa, sasa mbona umeme ndiyo unazidi kukatika?

Naomba ufafanizi wa kina na wa kiufundi tatizo lipo wapi? yaani ukiongeza umeme maana yake kwa akili ya kawaida ni kwamba makali ya mgawo yanatakiwa yapungue sasa mbona hilo halipo au mimi ndiyo sielewi?
Subiri kwanza,utakuwa bado uko njiani haujafika...
 
Danganyika Republic.
Mwanasiasa akikwambia "Usiku mwema", kabla ya kuitikia inabidi utazame juu kama Kweli ni Usiku.
 
Juzi tumetangaziwa na Waziri kwamba Megawatt 235 tayari zimeingiuwa kwa grid ya Taifa,
Ukiona jambo linatangazwa na ccm kuwa limefanyika ujue bado halijafanyika. Nani amezithibitisha hizo megawatts 235?? Tumepigwa changa la macho.

Huku kwetu Shindo lya Ng'waguku ni giza tangu saa 10 jioni mpk sasa.
 
Juzi tumetangaziwa na Waziri kwamba Megawatt 235 tayari zimeingiuwa kwa grid ya Taifa, sasa mbona umeme ndiyo unazidi kukatika?

Naomba ufafanizi wa kina na wa kiufundi tatizo lipo wapi? yaani ukiongeza umeme maana yake kwa akili ya kawaida ni kwamba makali ya mgawo yanatakiwa yapungue sasa mbona hilo halipo au mimi ndiyo sielewi?
Mkuu wa Mkoa wa Dar Chalamila alisema kuwa tatizo la umeme litaendelea kwa muda hata baada ya bwawa la Nyerere kuanza kazi, kwa sababu kuna matatizo mengi kwenye mfumo wa usambazaji umeme.

Yani unaweza kuongeza uzalishaji wa umeme kwenye bwawa la Nyerete, lakini ukashindwa kuusambaza umeme kwa sababu mfumo wa usambazaji wa umeme ukawa na matatizo.

Fikiria kwamba, umeongeza uzalishaji wa maji bwawani, lakini, mabomba ya kusambaza maji mtaani yamepasuka sana, yameoza sana, yanatakiwa yaondolewe yawekwe mapya. Hapo hata ukiongeza uzalishaji wa maji, usambazaji bado utakuwa na matatizo.
 
Pole!

Elewa genesis ya utawala wa Tanzania!

Ona!

Deep state iliamua kuachia mstakabali wa uchumi was taifa wanasiasa was nchi hii!!?

What a blunder!!?

Sasa hao wanasiasa ni wafanyabiashara,yaani wapo tayari waharibu au kuchelewesha maendeleo fulani Ili wafanye biashara wawe ma mapesa mengi mfukoni!!

Trust me

Tanzania Haina uhaba wa vyanzo vya umeme Wala umeme bali wanahujumu miundombinu ya serikali Ili wafanye biashara!!!

HUWA NAPATA HASIRA SANA!! HUWEZI RUHUSU WANASIASA WASHIKE MSTAKABALI WA UCHUMI.WA NCHI HII,UJASUSI WA KIDOLA NA KIUCHUMI UPO WAPI!!?

YAANI UMEME,AFYA MAJI UNAACHAJE MIKONONI MWA WANASIASA ETI.KWA.KIGEZO CHA SEKTA BINAFSI!!!?

CHUKUA HIYO!!
Hiyo deep state ndiyo watu gani?
Yawezekana ni wanasiasa wenyewe, ya kufikirika au majuha fulani yanayoendeshwa na hao wanasiasa unaosema wameachiwa.
Wananchi wanaojielewa ndiyo wanaoweza kuungana kuwawajibisha wanasiasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom