Naomba Wakataa Kuoa na Kataa Ndoa Tuunde Kamati yetu, Baraza Kuu, Jopo la Baharia wote na Uanachama wa Kudumu

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Ndugu wanachama na masenior , magavana na maseneta wote tuliobarikiwa kujielewa kwamba katika ulimwengu wa kibepari kuoa na ndoa ni adui wa maendeleo ya kiuchumi.

Karibu tufanye mjadala wa kuandaa agenda.

Mwenyekiti Donedrake karibu kwa muongozo wako.

Mimi ntakuwa mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya kuhakikisha uhai wa chama na kusajili wanachama wapya nyakati zote.

Naomba kuwasilisha

Hoja imepokelewa na imepitishwa.
#KATAANDOA
 
Back
Top Bottom