Naomba nieleweke hivi kuwa uzuri huwa unajiunda na kuleta mwonekano kutoka ndani yake

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,025
45,576
Naomba nieleweke hii inaweza isieleweke Ila ndivyo ilivyo, hali yako ya uzuri huwa inajiumba taratibu kutokana ndani yako.

Hivyo ikiwa unayoyapitia ndani yako yatakuwa magumu na yanakunyima furaha hadi kujichukia hivyo ule uzuri wako wa Asili utapotea.

Hoja hii naithibitisha Kwa kutazama watoto wanaozaliwa na kukulia mjini na watoto wanaozaliwa na kukulia kijijini.

Hili swala la kuwa MTU anaanza kuzeeka na kurudi ujana linaweza kumpata MTU yeyote ikiwa atakutana na mazingira ya furaha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom