Naomba kujuzwa kuhusu hasa hii google saved places(visited places)accuracy yake kwenye ramani

tandabui2021

JF-Expert Member
Nov 5, 2021
3,120
5,362
Je hii kitu Ina accuracy kiasi gani?

Je, inaweka kumlocate mtu akilala guest flani na hajawahi lala hapo?

Je, ukipita mahali hata mara moja kama location ipo on, baadae ukiangalia kwenye ramani itanyesha uliwahi lala hapo?
 
1. Je hii kitu Ina accuracy kiasi gani?
2. Je inaweka kumlocate mtu akilala guest flani na hajawahi lala hapo?
3. Je ukipita mahali hata mara moja kama location IPO on,baadae ukiangalia kwenye ramani itanyesha uliwahi lala hapo?
2. Ndiyo...
3. Ndiyo...



Cc: Antonnia
 
Back
Top Bottom