naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Ni ipi tofauti kati ya Heshima na Nidhamu? Je mtu anaweza kuwa na heshima na akakosa Nidhamu?

    Habari za wakati huu waungwana, ni matumaini yangu nyote ni watu wazima na wenye uzoefu na haya maisha. Naomba kufahamu tofauti iliyopo katika mambo hayo mawili muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku.
  2. Yohimbe bark

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kimasomo

    Hello great thinkers, Mwaka 2021 nilikua nafanya mtihani wangu wa mwisho wa diploma ya pharmacy lakini sikuweza kumalizia mitihani yangu ya mwisho miwili iliyokua inafanyika kesho yake kwasababu nilipata ajali iliyonipelekea kukaa kwa mwaka nikitibiwa. Mistake niliyofanya sikuandika barua ya...
  3. Jackson H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawashwa uume nikishiriki mapenzi

    Naomba msaada wa mawazo au hata tiba. Inakuwaje pale ninapoingiza uume kwenye uke naanza kuwashwa mpaka naahirisha tendo la ndoa? Maana hali ni mbaya.
  4. msafi WCB

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu hii Kozi mpya iliyoanzishwa Muhimbili, Audiology and Speech Therapy Pathology)

    Nomba kujua ukihitimu utafanya kazi kwenye sekta ipi na ipi na majukumu hasa ni yapi?
  5. sinaham

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa michezo ya nje naomba ufafanuzi

    Mimi si mshabiki wa mno Bali nimetokea kufanya tathmini kiduchu ila hii inanichanganya. Hizi timu zinazopambania kuepuka kushuka daraja ligi kuu ya uingereza. Zinapigapiganaje hapa. Kati aya hizi nne au tano. Ni kama hizo. H Kwa mfano Bailey ammkomalia...
  6. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kosa la kutoa taarifa kwenye mitandao linahusika vipi na upekuzi kwenye makazi ya muhusika?

    Waliosoma Cyber watueleze ili na wanasheria. Mfano nina kitecno changu nimesambaza taarifa kimakosa au sio makosa inakuwaje waende nyumbani kupekuwa wakati kilichofanya kosa au si kosa ni simu na mimi mtoa ripoti. Nashukuru sana mitandao ya kijamii kama Facebook, Whatsapp kampuni zenu kuwa...
  7. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti mfano waziri mstaafu na mstaafu waziri

    Kuna tatizo kidogo kwenye kiswahili maana kwa viongozi hata wakimaliza mda wao wanatanguliza vyeo walivotumia na kumalizia mstaafu. mfano raisi mstaafu,waziri mstaafu. ila kwa wengine ijalishi ni polisi,mwalimu,dokta wanatanguliziwa mstaafu wala sio cheo alichotumikia ili linakuwaje mfano...
  8. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Tech naomba elimu yenu kuhusu Apps na websites

    Wataalam wa tech naomba elimu yenu kuhusu maeneo hayo Apps na Websites. Ukitaka kutengeneza apps unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani fupi? Hivyo hivyo kwa website unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani? Gharama za mafunzo zinaweza gharimu kiasi gani cha pesa na muda unaweza kuchukua...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nina pikipiki binafsi naomba mchongo

    Habari ndugu zangu poleni na majukumu ya kilasiku Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana wa kiume umri 22 ni mwanachuo wa chuo x hapa Dar kutokana na changamoto za usafiri plus Nauli nikijichanga nkawa na usafiri wangu. Nimekuja ndugu zanguni mnisaidie kupata mishe yoyote iwe ya kufanya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Kijana wangu amepata kazi Shirika la Good Neighbors na Halmashauri, aende wapi?

    Ni kitinda mimba wangu. Amepata kazi Serikalini kwenye Halmashauri moja Mkoani Shinyanga na pia kwenye Shirika linaitwa Good Neighbors Tanzania. Mishahara ni kama inalingana, aende wapi? Naomba ushauri wapendwa.
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Sekondari JM Kikwete ya Tunduma waache kulazimisha Wanafunzi kununua karanga

    Mwalimu MWALUKASA wa Shule ya Sekondari JM KIKWETE, Halmshauri ya Mji Tunduma Mkoani Songwe anayefanyabiashara ya kuuza karanga shuleni analalamikiwa na Wanafunzi kuwalazimisha kununua karanga na kuwachapa viboko wanaoshindwa kufanya hivyo. Inadaiwa Mwalimu huyo anayefundisha Somo la Kiswahili...
  12. Nyabiri

    JamiiForums Tanzania Naomba wa ushauri njia bora ya kuendesha kampuni

    Wakuu ni matumaini yangu kuwa hamjambo, nimeamua kuingia kwenye jukwaa hili nikiamini ya kwamba nitasaidia kimawazo. Katika harakati za kutafuta maisha nilifanikiwa kusajili na kufungua kampuni ya ulinzi na kuanza kuiendesha kuanzia mwaka 2021 hadi 2023 mwishoni,nilikuwa na wateja wa kawaida...
  13. MOSHI UFUNDI

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua baadhi ya vitu kuhusu wilaya ya Korogwe Tanga

    Habari wakuu? Nategemea kuenda kuanzisha maisha Korogwe mjini Tanga, naomba webye ujuzi na wilaya hii wanisaidie baadhi ya taarifa zifuatazo. 1. Hali ya hewa 2. Mazao yanayolimwa sana. 3. Hali ya kibiashara na uchumi hapo mjini? 4. Upatikanaji wa vyumba vya kupanga na mashamba. Lakini vipi pia...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada hii dawa naweza ipata wapi? Kwa hapa Dar na inauzwa bei gani?

  15. Joninho

    JamiiForums Tanzania Nimetuma pesa kwa Wakala asiyestahili, naombeni msaada wa jinsi ya kumfikia

    Naomba msaada anaeweza kunisaidia kumfikia wakala huyu VODACOM LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506 Nililipia bidhaa nikakosea namba moja nikalipa kwake. Nimekosa msaada huduma kwa wateja hivyo kabla ya kuchukua hatua zaidi naomba anaeweza kumfahamu anisaidie wadau. Umetuma TSh 135,000...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua square meter ajili ya tiles za ukutani

  17. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia naomba ukemee ubaguzi kwenye sherehe za Mei Mosi

    Salam kwako Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan. Kila mwaka tarehe 1 Mei ni sikukuu ya wafanyakazi duniani ambapo wafanyakazi wote husheherekea siku hiyo kwa mambo mbalimbali na katika desturi yetu hapa Tanzania kunakuwa na maadhimisho ya kitaifa na mara...
  18. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yenu wakina dada (hata wakina kaka mkichangia sio mbaya)

    Tuiangalie dhana ya 50/50 katika nyanja ya uchumi kwenye mahusiano. Hapo zamani mwanamke akupewa access yoyote kiuchumi kuanzia ajira, elimu, kumiliki mali, uongozi n.k katika hali kama iyo ni sharti ahudumiwe na mwanaume. Mwanamke hana ajira, hana makazi, hana mali sasa ataishi vipi lazima...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Elimu namna utekelezaji wa bajeti za serikali ulivyo na jinsi Rais anavyoshukuriwa sana na wabunge

    Wakuu nawasalimu, niende moja kwa moja kwenye swali , linahusu budge ya serikali na utekelezaji wake , bunge na Mheshiwa Rais nianze na maelezo kidogo, Nijuavyo mimi, budget zote hupitishwa na bunge, na wabunge huwa wakali sana kwa mawaziri kama watekelezaji wa maamuzi ya bunge , mambo ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua, tiles zipi Bora 50*50, 60*60, 40*40

    Siweki uzi mrefu, Kuna kitu kina nitatiza, nataka kujua marumaru ipi ni Bora kati ya 69*60, 50*50, 49*40, 30*30 Kinachonichanganya zaidi ni box moja la 60*60 linajenga square MITA 1.44 ndo ghali zaidi. 50*50 box boja inajenga skwea MITA 1.75 bei raisi kuliko 60*60 Za 40*40 hizi box moja...
Back
Top Bottom