Naomba muongozo, nahitaji kufungua kampuni ya general cleaning nahitajika kuwa na mtaji wa shingap

Habari mkuu, ukihitaji kusajili kampuni na ukahitaji usaidizi karibu tukuhudumie. Tutakamilisha usajili wa kampuni ndani ya siku mbili pekee, tutakushauri masuala yote ya kodi yanayohusu makampuni.
Karibu sana
0755963775 calls/WhatsApp
 
una connection yakupata tenda? if yes usianze na kampuni kwanza sajili sole proprietorship kata leseni then ingia mzigoni


kama huna connection kitulize biashara inawenyewe hiyo
 
Back
Top Bottom