naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa wasifu wa Mhe. Thomas Simba, Hakimu wa Mahakama ya Kisutu

    Si vibaya na wala haijawahi kuwa kosa kisheria kufahamu wasifu wa Mtumishi wa Umma, hasa yule anayegusa maslahi ya watu wengi kwa kuhakikisha haki zao zinapatikana. Binafsi namfahamu kidogo tu kama Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu, ameshiriki kwenye kuamua kesi kadhaa za wanasiasa...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kazi, nina shahada ya Uuguzi napatikana Mbezi Beach

    Habari wanajamii? Mimi ni S jinsia Ke, umri miaka 28, elimu yangu ni shahada ya Uuguzi bado sijapata leseni ila nategemea kuipata mwezi wa 7 mwaka huu, Naomba kazi yoyote kwa sasa inayoweza kuniingizia kipato muda huo nikisubiria leseni na ajira, Nina uzoefu huu; 1) Naweza kukutafutia...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya uzoefu huu;-

    Habari wanajamvi? Mimi ni jinsia Ke, umri miaka 28, Elimu shahada, sekta ya afya, fani ya Uuguzi, bado sijapata leseni hivyo imekuwa ngumu kwangu kupata nafasi kwenye hospitali kwa kujishkisha muda huo nikiwa nasubiria kupata leseni yangu ambayo uwezekano wa kuipata ni mwezi wa 7 mwaka huu. Kwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye huu wimbo wa TOT kumuaga Magufuli naomba anisaidie wapendwa

    Kuna wimbo wa TOT wa kumuaga hayati Magufuli una kiitikio kinaimba, "Mpendwa Rais John Pombe Magufuli kamwe hatutamuona tena" Hayati mpendwa Magufuli Kipindi chake duniani Japo kilikua kifupi yale alomwangazia, ameyatimiza kikamilifu Mpendwa Rais John Pombe Magufuli kamqe hatitamuona tena"...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kuwaaga rasmi Wana JF, nikipona tutakuwa pamoja tena

    Naam, Mimi ni mwanachama wa muda mrefu hapa kwenye ukurasa wa Siasa. Nimetoa mchango wangu kwa umoja huu kupitia ukurasa huu. Nimerekebisha baadhi ya mambo kutokana na hoja zangu na niseme tu nimekuwa nikifarijika sana pale ninaposhauri au kutoa hoja ikaleta positive impact kwenye jamii...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa potential ilioko Kigamboni kibiashara

    Habari wadau, Nipo katika misele misele najaribu angalia maeneo mbali mbali yenye potential hapa mjini? Ila nimekuwa interested na kupaelewa Kigamboni kwa wakazi wa huko najua mpo humu mnaona kuna potential kibiashara? Je, biashara zipi ambazo zinaweza kufanikiwa kirahisi kwa eneo hilo? RRONDO
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kumjua msoma classifieds wa Clouds FM

    Kuna sauti ya kike huwa inasoma Classfieds(mfano yale matangazo ya vyuo na shule) pale Cloudsfm kwa ubora wa juu kabisa, matamshi mazuri+sauti nzuri corporate. Nadhani hakuna msoma classfieds anayemfikia kwa sasa. Please naomba jina lake kwa wanaomjua
  8. JamiiForums Tanzania Unaweza kupata tena mkopo endapo utakuwa discontinued?

    Naomba kujuzwa kwa mwenye ufahamu. Swali langu ni kwamba kama ulipata mkopo kutoka (HESLB) na uka Disco ni kweli unaweza pata tena baada ya kulipa 25 asilimia?
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu wizi wa magari unafanyikaje

    Habari wakuu. Kuna kitu hua nashindwa kukielewa hasa wizi wa magari. Je wizi wa gari unafanyikaje kama gari imefungwa. Je unakutamwizi ana funguo ya ziada ama nini kinafanyika. Je kwa gari ambazo ni keyless za push to start pia zinaibiwaje maana nyingine kama hujaingia na ufunguo haiondoki...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kati ya kununua gari hapa Tanzania na kuagiza kutoka nje ni njia ipi bora?

    Wanabodi habari, Kwa heshima zote naomba kujua ipi ni njia nafuu ya kupata gari bora kati ya kununua hapa bongo au kuagiza nje ya nchi maana natarijia kununua gari hivi karibuni. Naomba ufafanuzi tafadhali.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye namba za wachambuzi wa muziki naomba msaada

    Habari wakuu, Nilikuwa na namba za wachambuzi wa muziki Kama Rajab Zomboko, Chacha Maginga lakini bahati mbaya nimefanya reset ya Simu sizioni Tena. Naomba mwenye namba hizo na za wachambuzi wengine naomba anitumie hapa au PM au kwenye 0776655978
  12. JamiiForums Tanzania Mama Samia: Naomba msiwe wanyonge

    Hayo ameyasema wakati akihutubia wananchi wa eneo la Busisi wilayani Sengerema wakati wa ukaguzi wa daraja la Magufuli lenye urefu wa zaidi kilomita zaidi tatu. Je, unyonge wa watanzania umeanza kukemewa na kuwafanya wenye nguvu ndani ya taifa lao? hakika hili jina la wanyonge mi mwenyewe...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

    Wadau habari za weekend! Naomba wenyeji ama yeyote mwenye ufahamu na mkoa wa Singida hususani wilaya Singida Dc anifahamishe yafuatayo. 1. Maisha ya pale kwa ujumla eg nyumba za kupanga kiasi gani, chakula, upatikanaji wa maji, hospitali, kabila gani wako pale ambao ni popular. 2...
  14. JamiiForums Tanzania Aliepotosha wakurya hawana neno la "Nisamehe" na "Naomba" ni muongo tu

    Neno lipo ..."NISAMEHE"...neno hili ninamaana nyingine ambayo ni ..."NIHURUMIE"... Linatamkwa hivi (kama mtu anaomba msamaha au ahurumiwe) "TANYABHERHA" Neno kuomba/kusihi....."KUSASAMA" Sentensi "Naomba unisamehe " "Ndaghosasama tanyabhera" Kwenye upande wa "kuomba" lipo neno pia...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba tofauti ya maneno haya yanayotumiwa serikalini

    1. Idara (department) mfano idara ya usalama wa taifa 2. Kurugenzi mfano kurugenzi ya mawasiliano ikulu 3. Mamlaka (authority) mfano mamlaka ya bandari 5. Taasisi mfano taasisi ya elimu ya watu wazima 6. Tume mfano tume ya uchaguzi 7. Baraza mfano baraza la michezo 8. Wakala mfano wakala wa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan; naomba umpe Ubunge Flaviana Matata Ubunge wa Kuteuliwa

    Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya...
  17. JamiiForums Tanzania Mgeni, Naomba Kukaribishwa

    Hi, CrazenKai naomba kukaribishwa. In love with Games, PC's & Music.
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu kozi ya Forest Industries Technology

    Hello hanari ya muda huu wadau? Naomba Kama kuuliza kama Kuna mtu ashawahi kusoma au ana uelewa wa hii course Forest Industries Technology, Je inahusiana na nini na baada ya mhitimu kumaliza kozi hii anafanya shughuli zipi?
  19. JamiiForums Tanzania Namna ya kutoa pesa kwenye benki zilizofungiwa

    Habari wadau, naomba kujua namna ya kutoa pesa kwenye benki zilizofungiwa ikiwemo Meru Bank Community
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kazi katika uzoefu huu nilio nao ikiwa nitakufaa

    Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 29,nna mke na mtoto mmoja, elimu yangu ni kidato cha nne naishi Dar. Nimejitokeza hapa kuomba kazi utakayo ona naweza kufanya kwako kulingana na uzoefu nilio nao. 1. USAFI WA KAWAIDA AINA ZOTE Naweza kufanya usafi wa kawaida nyumbani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…