mungu

  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Vita Ukanda wa Gaza: Msimamo wa Tanzania wakati wa Rais Nyerere, Magufuli na sasa

    Mataifa ya Ulaya na Marekani hayawezi kuja na msimamo wenye kauli ya kuitaka Israel kuacha mashambulizi wala mataifa ya Waarabu hayawezi kukiambia kikundi cha Hamas kuja na kauli ya kutaka wafanye mazungumzo ya amani kwa kuwa hata wao wangeguswa kama ilivyoguswa Israel na Gaza wangefanya kitu...
  2. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Mungu anaangalia moyo tu na sio mavazi, kwanini basi watu wasitembee uchi tu?

    Kumekuwa ni mtizamo tofauti kuhusu mavazi hususani kwa wanawake katika jamii zinazoamini katika Mungu, mahususi kwa waamini wa kikristo. Moja ya mtizamo unaokuwa kwa kasi ni wanawake kutaka kuvaa mitindo yoyote ya mavazi pasipo kuzingatia staha na heshima kwa hoja kuwa Mungu haangalia mavazi...
  3. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Migogoro inayoendelea duniani inathibitisha kutokuwepo kwa huyo Mungu anaye aminiwa kuwepo

    Kwa hii migogoro mbalimbali inayo endelea kuwepo duniani inathibitisha bila shaka kutokuwepo kwa huyo Mungu anaye amini kuwepo. Kauli ya Karl Marx kuhusu dini mpaka sasa bado inasimama wima. Kiranga na kundi kubwa la atheists mpaka sasa hoja zao zina simama wima kwa haya yanayo endelea duniani...
  4. Jerry Farms

    JamiiForums Tanzania Usikipe sifa ya utukufu chochote, mimi ni Mungu mwenye wivu!

    Wana JF, naombeni mnipe tafsili ya ni nn kinachowafanya baadhi ya watu wavipe utukufu vitu hivi: 1-Mapinduzi "matukufu"! 2-Bunge "tukufu"! Hivi ni viashiria vipi ambavyo vinatoa utukufu kwa hivi vitu? maana isije kua tunabeba laana kwa kukubaliana na semi hizi. Ni kama kulikua na bia XYZ...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Swali gumu kwetu wafia dini tunaoamini kwamba Israel inalindwa na Mungu

  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Je, ushoga na mapenzi ya Jinsia moja haiturudishi Sodoma na Gomorrah tukakumbwa na hasira na Mungu (Wrath of GOD)?

    Wengi wetu tunakumbuka historia ya kwenye vitabu vya Dini kuhusu Sodoma na Gomorrah, uovu mkuu uliotawala katika miji hiyo ulikuwa ni Uzinzi na Ushoga ambayo leo tunatafsiri kama mapenzi ya jinsia moja. KATIKA BIBLIA Historia ya Sodoma na Gomora inapatikana katika Kitabu cha Mwanzo (Genesis)...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kuvamiwa kwa Israeli, mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mwenyezi, inaashiria nini kwa dunia?

    Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni...
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Sababu 4 kwa nini ni vigumu masikini kuuona ufalme wa Mungu?

    1: Mungu sio masikini. Siku anaumba mtu alimpa vitu vingi akamzuia kimoja. Hii inamaanisha mtu akiwa na katika uwepo wa Mungu atakuwa na vingi na kupungukiwa vichache. 2: Umasikini ni fikra. Mkristo anayejitambua fikra zake ni zakitajiri hata kama hana 100. Maana kuwa mkristo ni unarithi vitu...
  9. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mlipuko wa kunguni ufaransa, ni uchafu ama ni pigo la Mungu?

    Tañgu zama na zama ufaransa na hasa jiji la Paris ndio limekuwa linasifiwa kwa usafi na ustaarabu! Hata ukitembelea majiji mengine usafi kwa wafaransa ni jadi Yao ! Hao kunguni wametoka wapi ? Nini chanzo chake ? Kwa afrika mtu akiwa na kunguni hata mmoja kwenye shati yake ni tukio la aibu na...
  10. Plaintiff

    JamiiForums Tanzania Siasa inaweza kuwa na Neutral Ground lakini Imani haina Neutral Ground, Ni either uko upande wa Mungu au uko upande wa Shetani.

    Tena kwenye upande wa shetani wala hautahitaji Kumuomba kwamba unataka kujiunga na yeye, Yeye the moment unapo muacha Mungu yeye anajileta, Kuamini Pekee kuwa Mungu yupo haitoshi, Fanya yafuatayo, 1. Zishike Amri za Mungu na uzifuate kama zilivyoandikwa katika Biblia bila kuacha hata moja na...
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Jinsi babu zetu walivyowapa majina watoto wao. Majina yao yalitoka moja kwa moja kwa Mungu muumbaji

    Kabla ya ujio wa dini za wageni Afrika hatukuwaga na majina ya Abdallah wala Paulo . Babu zetu waliwapa watoto wao majina ya kiafrika. Majina waliyatoa moja kwa moja toka kwa Mungu. Ni hivi babu zetu walimjua Mungu kupitia nature. To them nature was the portal which connected them with their...
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Fungua jicho la tatu

    Wakati mwingine nasema sijui niwafumbue watu macho, muone kile watu wengi wanavyoviona ama niache. Nikiandika kidogo, watu wanakuja na kusema bro! Mwisho utakufuru...bro! Haya mambo ni makubwa sana... Na kadhalika. Nisikilize! Hii dunia ina siri kubwa sana. Ina siri kubwa ambazo ukizisikia...
  13. Travis Kitengo

    JamiiForums Tanzania Mungu alifanya kazi kwa siku 6 kisha ya saba akapumzika. Tuliwezaje kuijua kama ni Ijumaa, Jumamosi au Jumapili?

    Wakuu nina swali kidogo hapa.Inasemekana Mungu alifanya kazi Kwa siku 6 kisha ya 7 akapumzika.Sasa sisi waumini wa madhehebu mbalimbali tuliwezaje kuijua kama ni IJUMAA, JUMAMOSI au JUMAPILI?
  14. mwidaddy

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Nyumba ya Mungu na maisha ya wananchi

    Sekta ya uvuvi imekuwa ni sekta pana inayoajiri asilimia kubwa ya Watanzania inayosaidia vijana kujiajiri na kutatua tatizo la upungufu wa ajira katika taifa letu kwa kiasi chake. Taifa letu limejaaliwa rasilimali nzuri sana kwaajili ya kufanya uvuvi endelevu Tanzania kuna mito mikubwa kama mto...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mungu alishaweka sheria za vyakula, ni kwanini kipengere kisichokuwepo kiliongezwa katika mabano (Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote)?

    Kwa kuwa Mungu alituumba na vingine vilivyomo akaona ni kheri atuepushe kula vitu visvyotufaa kama nzi, vyura, konokono, kenge, mbwa, nguruwe, panya, n.k. Kwanini ilitumika nguvu ya ziada kutaka kuaminisha wasomaji wa biblia kwamba Yesu alipowatetea wanafunzi wake kula bila kunawa mikono...
  16. Hackboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike ambaye haamini Mungu

    Niko Dar, umri wangu 28 years old. Natafuta rafiki wa kike asiyeamini Mungu, na Shetani pia (pure atheist). Nicheki DM.
  17. U

    JamiiForums Tanzania Je, madai ya Hellen White yana ukweli kuwa shetani na malaika zake walitubu dhambi baada ya uasi lakini Mungu aligoma kuwasamehe?

    Wadau hamjamboni nyote? Naomba kujua kama upo ushahidi wa Maandiko kuthibitisha madai kuwa Shetani na Malaika zake baada ya uasi mbinguni waliamua kumlilia Mungu wao awasamehe ila aligoma? Nimeweka nukuu ya Mama Hellen G White Nabii wa Wasabato hapo chini. "After Satan was shut out of heaven...
  18. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kwanini tumtumie shetani kutangaza neno la Mungu?

    Ukikaa ukafikiria karibia vitu vyote vinavotumika kutangaza neno la Mungu vinatengenezwa na watu wasio amini upande wa mungu au wanamwabudu shetani, Mfano: Magari, vinanda, vipaza sauti, majenereta, magari, kiujumla ni kila kitu mpaka hizo mitambo ya kuchapisha hivo vitabu.
  19. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana Kiranga kuurithi uzima wa milele kuliko Wakristo na Waisilamu wengi walio wanafiki

    Ukihitaji salamu suburi kwanza nilewe, tofauti na hapo utaambulia chuya! Kiranga ana asilimia kubwa kuurithi uzima wa milele kuliko watu wengi wanafiki!. Narudia tena "Kiranga anazo asilimia kubwa za kuurithi uzima wa milele kuliko wanafiki walio wengi" Kiranga ni nani? Huyu ni jamaa ambaye...
  20. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Ukifa leo utakwenda kwa Mungu?

    Hapa sina nia yoyote ya kumsema mtu ila ni kuelimishana tu Naamini mtu akikaa mwenyewe (peke yake) akatafakari anaweza kujua mahusiano yake na Mungu yakoje namaanisha anaweza kujua kama amefaulu au kuna cha kujirekebisha Sasa kwa kuwa nafasi bado tunayo; kwa nini tusichukue hii fursa...
Back
Top Bottom