Arusha wanachomana visu

Nebuchadneza

JF-Expert Member
Oct 6, 2023
415
1,032
WA SALAAMU..

mimi nimezaliwa Arusha

Nimekulia Arusha

Nimesomea Arusha.

Ila sasa naogopa hata kurudi nyumbani wajuba,kumekuwa na matukio ya hatari sana,vijana wanauwana hali inatisha Arusha,kipindi naishi nyumbani chugah mambo ya kuuwana yalikuwa sio kama sasa,kuna kizazi kimeibuka cha Lucifer manzima.

Na shetani kaona haanze na Arusha,maana ndo jiji lilibarikiwa kwa kila kitu,pesa tote ya tanzania inatoka Arusha,kwa sababu ya muingiliono na watasha(wazungu),basi vijana wa chuga wanajiona wa marekani,laiti silaha kama bastola zingekuwa zinapatikana nakuambia Arusha ingekuwa kama Miami,kwa kuuwana kwa bastola sema tu silaha hiyo haipatikani,basi vijana wanatumia visu,bisibisi,mapanga kutoana roho.

Mzee vijana wa chuga hawana cha kuogopa,ukishazinguana naye sepa jombaa acha kujifanya unajua boksa kule hawana mda wa kukunja ngumi eti marital,mara kung fu kule ni beto kwa bisi unatandikwa za shingo au mbavu wakikuona huruma sana wanakupiga za paja.

Toka nitoke Arusha 2016,ila naogopa kurudi nyumbani nahofia maisha yangu,kwa kuwa vijana wamejawa na roho mbaya za chuki,usione hayo yanatokea tu Arusha hii itasambaa Tanzania kote.

Inabidi viongozi wa kidini wapige maombi yakutosha maana shetani yupo kazini anafanya kazi yake,Luna jamaa kaibuka Arusha anakata watu mapanga,kasha kata watatu mpaka sasa,police sijui wapo wapi.

Ajira hakuna,vijana wanashinda masikani kuvuta bangi tu,kichwa kisichowaza maisha kinakuwa kichwa cha shetani,sasa anakitumia awezavyo.

Arusha wanachomana visu.
Dar sasa ushoga umejaa,yani hili jiji linanuka mavi kila kona ukikatiza unakutana na lishoga,mchana kweupe nimeshuhudia jamaa linapigwa mate na mwanaume mwenzake kudadeki.

Vijana wa Dar wa ovyo sana,wanapenda bata za kijinga,kazi hawataki wanasubiri wazazi wafe warithi Mali zao,wanapenda ngono kama chakula,jua kali wanafanya mapenzi kama kazi,madada wa huku wamejipachika makope,makucha ya bandia yani wanajichubua siku hizi hatari,alafu hawavai chupi sasa.
Wanapenda fake life,na show show za kijinga,wanaume wanaliwa kwa kupenda za bure,kuna mzungu anatufundisha vyuo vitatu vikubwa hapa dar ,huyu mzungu anakupa pesa unapojiunga na ushoga,kila mwenzi 300000 na kila mwenzi wanakutana kwenye hotel moja kubwa sana hapa Dar,ukibahatika kupeleka vijana kadhaa kujiunga unapewa pesa kila kichwa unapesa yako,wanachuo wengi wa kiume hapa nit washaliwa tako.

Usiniulize nimejiuaje dunia hii ni ndogo sana.

Sasa hivi kila mtu apigane na chake,aisee hali inatisha dar.

Vitoto vidogo vya kiume vinavuta bangi hatari,ukimaindi utajua mwenyewe, sijakuomba usome huu uzi,naandika navyoviona now days.

Mnajisifia na hili jiji,linanuka mavi ya mashoga,wake za watu wanaliwa kwa vijora vipya na sifa za kuiga wazawa wazaramu.

Wenye nyumba Dar miyeyusho,kufuatiliana maisha kwani sikuripi kodi??

Sijaishi mwanza laiti ningepajua vyema pia ningewachana.
Kama utamaindi ndo hivyo nishawachana,unijui sikujui ukitaka kunijua itapoteza mda wako bure
 
Back
Top Bottom