mungu

  1. eRRy

    JamiiForums Tanzania Kakobe: TANESCO mwogopeni Mungu!

    http://www.youtube.com/watch?v=tPK7kXLgkH4
  2. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Raisi wetu Samia Suluhu, tumwombee dua gani Watanzania ili aachane na Viongozi wasiofaa?

    Tanzania ni nchi moja nzuri sana tena saaana, ila haijabahatika kuwa na mwendelezo wa viongozi wazuri wenye uchungu na nchi Ukweli napenda nisisitize, 17 march 2023, TANZANIA ilipoteza kiongozi mwenye TANZANIA yake hata kama hatutakubaliana wote. Kwa mara ya kwanza nilisikia na kuona maajabu...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Namshukuru sana Mungu hakika yeye ni Mungu

    Ndugu wana jukwaa, kipekee kabisa Mungu ni Mkuu anatenda makuu Kwa ajili yetu, nakiri Mungu anatendea vema sana, naichukua fursa kuendelea kumuishi Mungu katika mwili, nafsi na roho. Kila siku niwe sehemu ya kumtumikia kwa kuwa na mtenda mema kwa watu nisiye na wivu, chuki wala husuda, niwe...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mungu hatutolala hatutochoka kukuita mpaka utakapo jibu

    Mungu uliopo juu Mungu muumba wa vyote vinaonekana mpaka visivyo onekana. Wewe ni Mungu tusema Asante kwa kila Zawadi umetupa Taifa zuri Tanzania. Mungu wa Tanzania ni wanyonge na wachache umewapa kutuongoza wamekuwa na tamaa na kiu yakulitafuna hili Taifa kwa uchu wa mchwa walio na njaa Kali...
  5. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Mungu humuongoza amtakaye

    Miaka kadhaa nilikuwa naishi wilaya moja huko Dodoma, wilaya hiyo husifika kwa kuwa na watoto wazuri. Tamaa zangu za kimwili zilinipelekea kumtamani mama na bintie na wote nilifanikiwa kuwatumia kama nilivyokuwa nahitaji, mama mtu alikuwa ananipenda kwelikweli na binti nae kwakuwa ndio kwenye...
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Chid Benz: Hii Dunia hakuna Mungu

    Ameyasema hayo akiwa anaongea na Dotto Magari. " Unajua duniani hakuna Mungu. Yale matendo mazuri unayo fanya ndio Mungu n.a. matendo mabaya ndio shetani" alisikika akisema Rashidi Abdallah Makwiro almaarufu Chid Benzi
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ukiwa upande wa Mungu utashambuliwa sana, CHADEMA jipeni moyo mtashinda

    Ulimwenguni ni mahali pa matatizo lakini yatufaa kujipa moyo na kuamini ktk Mungu Mwenyezi. Eti hapa kwetu Tanzania mtu anayehubiri ukombozi wa fikra ktk nyanja za Umaskini, ukosefu wa huduma bora, ufisadi, wizi ,uonezi, njaa, afya, haki na amani anaitwa Mchochezi na mahala pake ni jela. Huku...
  8. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mirungi na Bangi sio dawa za kulevya, Mungu aliipanda kwa manufaa ya mwanadamu! Wa kumhoji ni Mungu siyo kutesa watu kwa makosa yasiyo yao

    Biblia inasema mungu akaumba majani ya kondeni ,na Kila Jani mungu anamakusudi nalo ,Kuna majani mungu aliyaumba yawe dawa mengine mboga! Na hata kiburudisho! Mirungi inajiotea yenyewe maporini Huko , nimtu akitafuna eti anakamatwa! Wakukamatwa ni mungu ,na WA kuhojiwa ni mungu! Bangi inaota...
  9. Clepatina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  10. fungi06

    JamiiForums Tanzania Ukiona taifa linapoteza hofu na Mungu ujue siku zinafika soon

    Siku hizi chache hapa jukwaani kumekua kuna rise threads nyingi zikihofia uwepo wa Mungu!, Binafsi nipende kutoa Onyo! Mungu akikasirika hii hii mitandao tunayo itumia kumdiss ataitumia kutuchapia nayo, na haki hamna atakae furahia kichapo hiki cha Mungu+ Si mnaona jinsi now mambo yanavyo...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nawaza ni kama kuna namna katika taifa la Tanzania kitaifa Mungu amesahaulika

    Mara zote Rais wa Taifa hili akizungumza sioni akimtanguliza Mungu na kumtaja ama kumtukuza na kumsifu Mungu wetu wa dini zote aliyepo hai jana, leo na hata milele, sioni faida ya kutamka nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano. Sina hakika na kutamalaki na wito wa mbegu njema ya Mungu chini...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mungu hakukosea kutenganisha nafasi na majukumu katika muktadha wa jinsia

    Wasalaam, Wanaume na wanawake ni zao la Mungu baba wa mbinguni, aliye muumba wa vitu vyote, ukuu wa Mungu na vielelezo vyake ameumbiwa mwanaume. Hivyo nawakumbusha wanajamii na watu wa mataifa Duniani kuzingatia yote kwa kufuata muundo wake Mungu. Itokeapo ukamfanya mke kuwa Mkuu wa kaya zenu...
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mungu hakufanya makosa kumfanya mwanaume kuwa kichwa katika jamii zetu

    Hapo zamani za kale Mungu alidhihiri mamlaka na uwepo wake kwenye nafsi za wanaume na ndiomana alifanya mwanaume amuoe mwanamke ili aendeshe familia kwa mfano wa Mungu. Je, endapo jamii au familia inaongozwa na mwanamke huyu Mungu hubadirisha utaratibu na kanuni za umungu wake? Mungu atabaki...
  14. David Harvey

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wife kaniambia anampenda Mungu kuliko mimi

    Nimefikiria nikate mahitaji yote muhimu ya nyumbani ili apewe na huyo anayempenda. Kweli nimeamini vijana kataeni ndoa
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Usitafute utajiri, utajiri ni matokeo. Tafuta kibali cha Mungu

    Kitu muhimu ni kuomba Mungu akupe kibali au upendeleo. Mengine yote ni matokeo ya kibali ulichopewa na Mungu. Ukipewa kibali na cha uzima, hakuna mfumo au mtu wa kukunyang'anya haki ya kuishi. Ukipewa kibali cha utajiri, unaweza kuwa mkulimq mkubwa kwenye ardhi isiyo na rutuba kama Isaka na...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Bandari za Tanganyika umeongeza nguvu ya kuamini kwamba Mungu wa kweli yu hai jana, leo na hata milele

    Wasalaam, Tumsifu kristo na bwana wa majeshi. Nimekuwa nikitafari sana juu ya waliofanya jambo la kuleta huu mkataba na nimepata kuamini pamoja na watawala wengi kuwa ni wafuasi wa freemasons na illuminati lakini bado nguvu ya Mungu haiteteleki. Jeuri, kibri, dharau havina nguvu mbele ya Mungu...
  17. Emmanuel Mkwama

    JamiiForums Tanzania Watanzania Kuna haja ya kuwa na uzalendo, uadilifu na hofu ya Mungu

    "Sipendi kujihusisha na mambo ya siasa wala kuchangia chochote kuhusiana na mambo ya siasa." Ndugu zangu heri nyingi ziwafikie,nikiwa salimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania......... Ndugu zangu kiukweli siasa sipendi kwa sababu ya michezo michafu iliyopo kwenye siasa. Lakini leo...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Kuna uongozi na Utawala, Ipo siku utawala utakoma (Mungu alichonionesha)

    Natazama ni mtu ambaye umtazamapo uwezi amini alilonalo moyoni. Ni nadhifu na makini. Ghafla nikaona amejawa na roho ya kuondoa uwanadamu. Amejaa uangamizi hata kwa wale walio karibu yake. Yeye uangalia anachotaka na maslahi yake. Ananguvu za utawala, waweza dhani anakuchekea kumbe rohoni...
  19. Im Me

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu atamsamehe shetani?

    Habari wana JF? Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kwenye maandiko ya dini mbalimbali tunaona Mungu anahamasisha kupendana na kusamehe. Tunatambua kwamba uadui kati ya Mungu na shetani ulitokana na Shetani (Malaika) kumuasi Mungu. Je, ikitokea siku shetani akakubali kukiri na kutubu...
  20. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Riziki ya mtu iliishapangwa na Mungu, nyinyi akina taasisi mnajisumbua tu

    Tena nawaambieni tu ikiwa mtu alipangiwa kuwa tajiri atakuwa tu, sio mpaka aajiriwe, na sidhani kama kuna tajiri alieajiriwa, matajiri wengi ni wajasiriamali, poleni utumishi na poleni tamisemi, mimi nipo hai tena mwenye afya njema ninakula ninachokitaka, ninavaa ninachokipenda. Kama mlitegemea...
Back
Top Bottom