Ni kweli imani katika Neno la Mungu inafanya kazi? Tupe ushuhuda wako!

Ndiyo, kinafanya kazi.

Namfahamu Binti ambaye alizaliwa akiwa na ulemavu wa miguu, ambaye alikuwa akiishi jirani na nilikokuwa nikiishi jijini Mwanza.

Mwaka 2016 kama siyo 2017, kulifanyika mkutno wa Injili kwenye viwanja vya Furahisha Jijini Mwanza, ulioandaliwa na huduma ya CfaN iliyokuwa ikiongozwa na Reinhard Bonnke. Aliyehubiri siku hiyo ni Daniel Kolenda.

Baada ya maombi, Kolenda aliwaambia wote walioombewa waanze, kwa Imani, kufanya mambo walivyokuwa hawayawezi hapo kabla ya kuombewa.

Kwa sababu hiyo binti naye ni miongoni wa walioombewa siku hiyo, alichukua hatua ya
imani, na kuanza kutembea bila kutumia magongo.

Alienda kwenye mkutano akitembelea magongo, akarudi nyumbani kwa "miguu" yake mwenyewe.

Imani katika Neno la Mungu inafanya kazi!
 
Rafiki yangu alinisimulia kuwa miaka ya tisini, alihudhuria mkutano wa Bonnke uliofanyika Viwanja vya Reli Arusha. Kipindi hicho, alikuwa akisumbuliwa na tatizo "sugu" la kifua. Lakini baada ya kuombewa na Bonnke, alipona kuanzia siku hiyo.

Ni mtu mzima sasa, lakini hilo tatizo halikumrejea tena. Ni mzima wa afya.
 
Nikianza kuelezea hata sitamaliza .

Upendo wa Mungu umekuwa tiba. Amani niliyonayo si ya ulimwengu huu, hata ingekuwa yauzwa nisingeweza pata ya hii grade.

Biblia inasema 'Amani yangu nawapa. Amani hii si kama ulimwengu utoavyo' - (Agano jipya, sikumbuki ni kitabu au mistari ipi exactly)

Kuwezeshwa.

Neno la Mungu linasema 'Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu' - Filipi 4:13

Amekuwa uwezo wangu kwenye maeneo yote. Hata ambayo ungeshindwa kujua ufanyeje, ukisema 'Bwana Yesu naomba hekima katika haya', unapata jinsi ya kuhandle swala na likaisha vizuri. Hapo sijagusia uongozi bombastic wa Roho Mtakatifu, unaotupa hatua za kuchukua kwa kila tulifanyalo.

Ulinzi.

Neno la Mungu linasema 'Malaika wa Bwana hufanya kituo kuwazungukia wamchao na kuwaokoa' Zaburi 32:7

Aisee... Ungejua mara ambazo Roho wa Mungu huzungumza nasi (familia yetu) kututahadharisha na vifo, ugonjwa na hali sizizofaa...ungeona hichi ni kitu gani. Uwepo wa Ulinzi wa Mungu ni pamoja na kushtuliwa: Usiende hapa, pita hivi, acha huyu usieke ukaribu na mengineyo. (Vilevile Roho huwa nasi kutuambia tuombe vipi, kufikia lengo fulani).
 
Kwenye moja ya semina za Mwakasege jijini Arusha miaka ya nyuma, waombaji waliizuia mvua isinyeshe kwenye uwanja wa semina na ikawa hivyo. Mvua ilinyesha mjini lakini eneo la kuzunguka uwanja wa reli kulikokuwa kukifanyika semina hakukunyesha. Nilikuwepo uwanjani hapo siku ya semina, na nilishiriki kuomba hayo maombi ya kuzuia mvua kunyesha kwenye semina.
 
Nikianza kuelezea hata sitamaliza .

Upendo wa Mungu umekuwa tiba. Amani niliyonayo si ya ulimwengu huu, hata ingekuwa yauzwa nisingeweza pata ya hii grade.

Biblia inasema 'Amani yangu nawapa. Amani hii si kama ulimwengu utoavyo' - (Agano jipya, sikumbuki ni kitabu au mistari ipi exactly)

Kuwezeshwa.

Neno la Mungu linasema 'Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu' - Filipi 4:13

Amekuwa uwezo wangu kwenye maeneo yote. Hata ambayo ungeshindwa kujua ufanyeje, ukisema 'Bwana Yesu naomba hekima katika haya', unapata jinsi ya kuhandle swala na likaisha vizuri. Hapo sijagusia uongozi bombastic wa Roho Mtakatifu, unaotupa hatua za kuchukua kwa kila tulifanyalo.

Ulinzi.

Neno la Mungu linasema 'Malaika wa Bwana hufanya kituo kuwazungukia wamchao na kuwaokoa' Zaburi 32:7

Aisee... Ungejua mara ambazo Roho wa Mungu huzungumza nasi (familia yetu) kututahadharisha na vifo, ugonjwa na hali sizizofaa...ungeona hichi ni kitu gani. Uwepo wa Ulinzi wa Mungu ni pamoja na kushtuliwa: Usiende hapa, pita hivi, acha huyu usieke ukaribu na mengineyo. (Vilevile Roho huwa nasi kutuambia tuombe vipi, kufikia lengo fulani).
🙏🙏🙏
 
Moses kulola baada ya kufunga siku 365 ,alienda kwenye mkutano madhabau ya zege kubwa sana ilinyanyuka watu wote kwenye mkutano walikimbia.
Nafikiri ushuhuda wenyewe ndiyo huu hapa chini.
 
Attachments

  • NILIFUNGA_SIKU_365_MWAKA_MZIMA__BISHOP_MOSES_KULOLA(240p).mp4
    14 MB
Back
Top Bottom