Mungu umejibu maombi, mtumishi wake Makonda umemkumbuka tena, Katika tumbo la samaki alimokuwa umetoka na maono na upako Mpya kuna kitu ndani yake kwa ajili ya wa Tanzania naamini muda uliompa kujitafakari anarudi na upako Mpya kuleta matumaini kwa wanaCCM wengi ambao walikuwa wamekunjana mioyo...
Akiongea kanisani kwake, alisema kuwa amemfuta rasmi Makonda na hata onekana tena kwenye ulimwengu wa siasa, sasa makonda ameonekana tena na sasa ni boss wa Gwajima na Nape Nnauye.
Ikumbukwe pia askofu Gwajima aliwahi kumtoa mtu pepo akalielekeza lile pepo kwa Makonda, mbele
ya waumini pepo...
Leo nazungumzia upendo kwa Taifa pamoja Rais wetu.
Nilazima Taifa letu kwanza ndio iwe ibada yetu sisi wa Tanzania na jambo la pili ni Rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano na yule wa Zanzibar. Jamani tuwapende mambo mazuri yatatokea napenda kuwakumbusha tupunguze midomo na Tupunguze maneno mengi...
Wachawi wanaweza kupanda mkuki, ufagio au ungi wakasafiri hadi nje ya bara kwa sekunde.
Wanaweza kuwaamrisha fisi, mamba, paka, mijusi hata mbwa kufanya wanachotaka wakati wowote bila kubisa.
Ni aibu kubwa mtu kujiita mfuasi wa Mungu mwenye nguvu zote wakati huna uwezo kwa Kucheza na vitu vya...
Habari..
Toka uwanja ukalabatiwe kesho ndo itakuwa mechi ya kwanza kupigwa.
Kuna mambo kadhaa nayaona yanatokea kesho.
1.simba kufungwa goli zaidi
3.
2..umeme kukatika ghafla
Wanasema kuna standby generator,ila hofu yangu ipo kwa wanaomkwamisha mama samiha ,nahisi washahonga pesa...
Wakati serikali na vyombo vyake wanapotangaza kwa utashi wao juu ya majanga yanayoweza kulipata taifa tahadhari za kibinadamu kuchukuliwa.
Watu wa rohoni hatupaswi kukaa kimya kusubiri yatokee kama yalivyotabiriwa.
Inatakiwa watu wa Mungu waitishe maombi ya kubatilisha na kufuta kila...
Hii dhana inaitesa sana dunia, mpaka karne hii kuna wapumbavu wanamini Israel ni taifa Mungu!! 🤔 ni uongo mkubwa sana.
Mungu gani mbaguzi? Je, Mungu anapenda wanavyoua raia wasio na hatia? Mungu anawachukia wapalestina?
Kama sio wazungu Israel isingekuepo leo hii. Hata Misri tu inatosha...
MTAFUTENI MUNGU SIO MIUJIZA;
Maombi ya Asubuhi 🔥
Zaburi 98
1 Mwimbieni Bwana wimbo mpya, Kwa maana ametenda mambo ya ajabu. Mkono wa kuume wake mwenyewe, Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.
2 Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
Sisi wana wa Dunia...
Wewe hapo unaesoma uzi huu ukipata mtoto ama tayari unae:
Haoni na hasikii
Hajitambui
Utindio wa ubongo
Ugonjwa wa kumfanya ahudumiwe kila kitu
Kwako wewe kutoka moyoni mwako, hii ni zawadi kutoka kwa Mungu?
Iko hivi, kuna siku kuna mteja kijana alikuja hapa ofisini kwangu nimtengenezee simu kama miezi mitano imepita hivi, ilikuwa ni smart ya kubadili kioo. Sasa nikamtengenea akarudi kuchukua kesho yake.
Akaondoka baada ya wiki moja akarudi na ile simu ikiwa imepoa battery hivo nikampa simu moja ya...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuchelewa. Kuoa wake wengi ninaamini ni sawa kwa utamaduni wa mababu zangu na kwa dini zote za asili ya Abraham maana hakuna ilipozuiwa. Nitakuwa mwendawazimu sana nimezalizaliwa na mke wa pili kwa baba na kisha nimezeshwe dhana ya uongo tu na mchungaji au...
Mungu aliamua kuwapa wayahudi nchi ya Kanani ufalme wenye nchi zaidi ya Tano baada ya kuwa wenyeji wa nchi Ile walikuwa wakiabudu mizimu.
Pale ilitengenezwa uadui mkubwa na hasa kosa la Wana Israel waliambiwa na Mungu kuwa wawafutie mbali Yale makabila yenye kuabudu miungu mingine .
Mungu...
Makosa ya binadamu ndiyo yalileta uadui Kati ya Israel na palestina.Makosa haya ya babu zetu hatuitaji kuyashikilia nabkusababisha uadui usiyokuwa wa maana .
Ibrahim aliaahidiwa na Mungu kuwa angempa nchi ya kanaani na kuwa urithi wake .Kanani ilikuwa ni nchi( au ulfame) kubwa yenye mikoa...
Jamani hii dunia Ina mengi. Hujafa hujaumbika, ukiwa juu Leo kesho unaweza kushuka chini.
Unaweza ukawa na cheo Leo,kesho ukamaamuma(backbencher) , uwezo sio jambo la univunia ni kushukuru na kuwa moderate.
Nirejee kwangu, Sina kipato kikuuubwa Sana. Na Wala sikiwa na kipato kidichi, ni...
Miaka kadhaa Kijiografia Tanzania ilitakiwa ikumbwe na Tetemeko Kubwa na la Hatari la Ardhi ila Watanzania walifunga na Kumuomba Kweli Mwenyezi Mungu na nchi ikawa Salama. ( Asante Mungu )
Kwa Taarifa za Kijiografia GENTAMYCINE nilizonazo na nilizokuwa ni kwamba hadi tarehe hii ya Leo ( 14...
Yaani wewe uue wenzako Mungu akuache tu! Yaani wewe uonee wenzako Mungu akuache tu!
Kwani wewe ukiwa umejifugia kuku wako huwezi kuwachinja? Kwani kama kuku mmoja ana mdomo wa kula mayai ya kuku wengine, utakuwa unamwacha tu aendelee kusababisha madhara?
Mungu ndio hakimu wa viumbe vyake...
UWEPO
MWENYE ENZI MUNGU akaiumba DUNIA. Hakika katika Dunia MWENYE ENZI MUNGU akawaweka VIUMBE wengi sana na akampa mamlaka makubwa ya UFAHAMU kiumbe Mmoja tu BINADAMU.
Binadamu wamepita wengi sana huko nyuma na leo hii UPO WEWE na ndo maana hukuwepo mwaka 500 upo SASA hivi 2023.
Sasa...
Ukisoma Biblia utaona kuwa mungu wa biblia sio mungu wa amani anayetaka watu waishi bila shida. Ni mungu wa mauaji na mateso.
Kuna analysis ilifanywa na wataalamu wa statistics kuona kati ya mungu na shetani, nani ameua watu wengi kwenye biblia.
Kwenye biblia nzima, kuanzia kitabu cha mwanzo...
Iron Dome ni mfumo wa ulinzi wa kisasa wa anga ambao ni bora na mathubuti kwa dunia ya leo uliotengenezwa na Israel kwa msaada kiasi kutoka Marekani kwa lengo la kulinda dhidi ya makombora yaliyofyatuliwa kutoka kwenye maeneo ya adui.
Mfumo huu ulianza kutumika rasmi mwaka 2011 na umekuwa...
Mataifa ya Ulaya na Marekani hayawezi kuja na msimamo wenye kauli ya kuitaka Israel kuacha mashambulizi wala mataifa ya Waarabu hayawezi kukiambia kikundi cha Hamas kuja na kauli ya kutaka wafanye mazungumzo ya amani kwa kuwa hata wao wangeguswa kama ilivyoguswa Israel na Gaza wangefanya kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.