mungu

  1. Majok majok

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi mipango yenu ya kuipangia Yanga ratiba ngumu ili idondoshe point imezikwa rasmi, Mungu sio Athumani

    Kwakweli Hawa watu ni makatili sijawai Kuona, walikuwa wametega mtego mbaya sana dhidi ya yanga lakini wameferi na wameshindwa vibaya sana. Hii ratiba aikupangwa kwa bahati mbaya bali walikuwa wamedhamilia na walikuwa na Nia mbaya kabisa, yanga kacheza na Azam baada ya siku tatu kacheza na...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mungu ametupuuza sana watu weusi

    Hello! Kuna mtu mweusi na kuna Mwafrika, hawa ni watu wawili tofauti. Unaweza ukawa mwafrika lakini usiwe mtu mweusi na unaweza kuwa mtu mweusi lakini usiwe mwafrika. Nazungumzia mtu mweusi bila kujali ni raia wa nchi/bara gani. Mtu mweusi amepuuzwa na MUNGU, kwa lugha rahisi tuseme ameshushwa...
  3. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mikao hii yote ya maombi ni halali na ina heshima sawa mbele za Mungu. Sio lazima upige magoti au usujudu katika kuomba

    Unaweza 1: KUOMBA UMESIMAMA NA KUNYOOSHA MIKONO JUU. 2: Kuomba umelala kitandani kama hujiwezi kama mfalme Hezekia. 3: Kulala chini kifudifudi au kulala kama Yesu gethsemane. 4: Kuomba umeketi kama daudi. 5: Kuomba ukiwa katikati ya watu umesimama kama Nehemia, walio na wewe wasijue kama...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu alituumba sisi wanadamu, iwapo alijua kuwa tutamuasi na atatupeleka motoni?

    Habarini wadau, Binafsi naamini Mungu yupo, ni mwema, ndo aliumba vyote, anajua vyote past present and future, na ni muweza wa vyote, hakuna alie zaidi yake. Uislamu na ukristo unafundisha kuwa mwisho wa sisi wenye dhambi ni kwenye moto wa milele, sasa mimi najiuliza. 1)Mungu akituchoma sisi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Siwezi kupoteza muda kujadili mpira wakati mimi sina uhakika wa maisha

    Nauza kangala kwenda mbela. Hapa sasa hivi kuna walimu wanakula kangala , wanachanganya na ambiance na Shimha. Siwezi kupoteza muda kujadili simba na Yanga wakati mimi sina uhakika wa maisha bila kuganga njaa. Ni upuuzi na ujinga. Kujadili Ligi ya Uingereza, Ufaransa, Bundesliga mpaka koo...
  6. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Huyu Kijana Mungu alimpa kipaji cha Kuimba mno!

    Hebu sikiliza hiyo sauti aiseee
  7. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Israel si taifa la Mungu, Palestina taifa teule?

    Miaka 2000 ya kuwa kwenye diaspora Israel hawakupoteza identity yao, lugha yao wala dini yao. Warumi chini ya Kaisari Nero wali besiege Jerusalem na kuwatawanya kwenye dola yao maana walikuwa wakaidi hawakukubali kuabudu miungu mingi ya kirumi walikuwa jamii pekee iliyoamini katika Monotheistic...
  8. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaomwabudu chatu?

    Ilitokea mkoani Geita mwaka 2019. Walimtolea sadaka na kumwomba awabariki. Kwao, nyoka aina ya chatu si kiumbe cha kawaida, bali ni mungu. Lakini miaka minne imeshapita sasa tokea hicho kituo kitokee Geita. Bado huo utamaduni upo Tanzania?
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa na Familia yenye furaha na amani ina Mungu. Yenye mafarakano huzuni na chuki ina shetani

    NDOA NA FAMILIA YENYE FURAHA NA AMANI INA MUNGU. YENYE MAFARAKANO, HUZUNI NA CHUKI INASHETANI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Ukiona Mkeo/mumeo mnapendana, mnafuraha na amani. Mnataniana. Ni marafiki. Mnashrikiana kwa karibu kila kitu. Mnakula pamoja. Yaani ninyi maisha yenu kwa asilimia 80%...
  10. Surya

    JamiiForums Tanzania Shule haikwepeki, hata kama hukwenda darasani, bila hivo utabaki maskini na Mungu atakukataa

    Nafungua ukurasa huu tujadiliane watu wote, wake kwa waume. Wanasiasa, wafanyabiashara, Watumishi wa Mungu wote na hata wapagani Karibuni tuelekezane kwa upole na amani. Hakikisha unamfundisha mwenzio kwa uwazi, kwa upendo wote bila makasiriko. Nimesema shule nikimaanisha sehemu ya kujifunza...
  11. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Mungu atuepushe na matatizo ambayo pesa haiwezi kutatua

    Kuna ndugu zangu jumapili watapakimbia sana hapa ndani
  12. Ghost boss

    JamiiForums Tanzania Mungu siyo mtumwa wako, hafanyi kamwe mapenzi yako

    Hakuna anayeishi kwa ajili yake “Mungu wangu, mungu wangu mbona umeniacha”, hii ni kauli ya Yesu alipokuwa msalabani anakaribia kufa, na muda mchache baadaye Yesu alikufa, kumbuka kama yasemavyo maandiko, 'Ndani yake yeye sisi tunaishi, tunajimudu, na tuko". Mungu sio Mungu wa wafu ni Mungu wa...
  13. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Hivi mafanikio yanategemea wakati wa Mungu ukifika

    Wiki iliyopita nilimtembelea ndugu yangu mmoja ana kijana wake age 20s ni muda mrefu sijawahi kumuona akifanya shughuli yoyote wala kusikia akifanya kazi yoyote Mama yake ndio namuona akipambana na vibarua vya kufanya usafi huko ili mkono uende kinywani yule kijana anategemea kidogo anachochuma...
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Jambo la kwanza unalopaswa kujua unapomkubali Mungu: Mungu ni tajiri na shetani ni masikini

    Mungu alipumba binadamu wa kwanza alikuwa tajiri sana. Walipewa dunia nzima kama shamba. Na alimuwekea hazina ya dhahabu safi bustanini eden ya thamani ya matrillion mara trillion. Adam na eva walikuwa matrillionea. Umasikini uliingia kwa sababu ya dhambi. Hapakuwa na binadamu masikini kabla...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wengi wameonesha kukerwa na uteuzi wa Makonda, si rahisi kumfundisha mtu kumpenda katili aso na hofu ya Mungu

    Walidhani kila jambo linasaulika, ila ukweli ni kwamba kwa uhalifu uliofanywa enze za RC Makonda hakuna mtu serious atamuunga mkono. Atumie pikipiki au atembee kwa miguu still nafsi za watu zinakumbuka ukatili wake. Mapokezi yake yamefanywa na wale wale tuliowaita chawa lakini viongozi...
  16. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Najiskia kuwa mnyonge, na moyo wangu umebondeka sana. Eehh Mungu nitie nguvu

    Kuna wakati tunapitia maumivu makubwa mioyoni mwetu na mahangaiko ya fikra zetu. Yes, naweza sema tumekuwa na amani sana kwenye familia yetu, ingawa tunaweza kukosa lakini hatupungukiwi. Nashkuru Mungu amenibariki familia yenye furaha na hakika najivunia kujiona mwenye bahati hii. Yes...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Je pesa ndio Mungu wa dunia hii ( is Money the true God of this planet?)

    Je pesa ndio Mungu halisi wa sayari ya dunia? 1. The holy scriptures say YES. MHUBIRI 10:19 " Pesa huleta hajawabu ya kila kitu" ( From a spiritual perspective mwenye MAJAWABU ya kila kitu ni Mungu. Isije kuwa Nabii Suleiman alikuwa anatoa subliminal message kwa dunia kuhusu Mungu halisi wa...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni Udhaifu nilionao au ni Baraka ya Kipekee kutoka kwa Mwenyezi Mungu?

    Yaani naweza kupewa na mtu (tena wengine sijuani nao kivile) pesa zao kuanzia Tsh. 500,00 hadi Mamilioni niwatunzie na wakizihitaji/wakija kuzichukua nawapa zikiwa vile vile na hata sijanyofoa chochote. Na kinachonishangaza zaidi mimi huyu huyu GENTAMYCINE ambaye naaniniwa kupewa pesa za watu...
  19. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mungu anatuchukia Watanzania? Kama kuna kitu tulimkosea atusamehe

    Kuna mambo huwa yanatokea humu nchini kwetu mpaka nasema kuna siku hii nchi Mungu ataifanya kama Sodoma na Gomora. Tulimkosea nini Mungu? Atudamehe, inatosha sana. Au ni Nyerere kugombana na Waisrael au ni nini? Au ni ule mwenge wa uhuru. Zile takwimu za nchi ambazo hazina furaha Tanzania kila...
  20. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Makonda, nilimwomba Mungu sana kwa ajili yako, ahsante Mungu umesikia

    Mungu umejibu maombi, mtumishi wake Makonda umemkumbuka tena, Katika tumbo la samaki alimokuwa umetoka na maono na upako Mpya kuna kitu ndani yake kwa ajili ya wa Tanzania naamini muda uliompa kujitafakari anarudi na upako Mpya kuleta matumaini kwa wanaCCM wengi ambao walikuwa wamekunjana mioyo...
Back
Top Bottom