mungu

  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Miaka 6 ya Hayati Magufuli mshahara uleule, miezi 3 ya Rais Samia Suluhu mshahara wangu umebadilika

    Habari, Ndani ya miaka 6 ya Magufuli niliambulia annual increment moja tu ya November 2017, ambacho ni kiasi kidogo sana. Kwa ufupi mshahara haujaongezeka katika kipindi chote hicho. Miezi 3 tu ya Rais Samia Suluhu salary slip yangu pale juu imebadilika. Watu wa imani tunaamini kuwa mateso...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

    Hii ni baada ya Polisi kuruhusu Bawacha wakutane kwa dk 30 tu huku polisi nao wakitaka kuwemo ndani ya ukumbi ili kusikia yanayozungumzwa , kabla ya ruhusa hiyo zimepigwa danadana kuanzia polisi kinondoni , DC hadi RC wakipiga danadana huku kila mmoja akijitoa asionekane kuruhusu jambo hilo ...
  3. Last emperor

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Profesa Kabudi akimwita Magufuli Mheshimiwa Mungu

    Salaam wanajukwaa la Great Thinkers. Nimekuwa nikitafakari umuhimu wa katiba mpya, na mapungufu ya Katiba iliyopo, ambayo inampa Rais madaraka makubwa ya kufanya anachotaka bila kuhojiwa wala kuwajibishwa na chombo chochote mpaka anakuwa na ukuu kama wa Mungu katika nchi yake. Na hiyo...
  4. JF Member

    JamiiForums Tanzania "Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri - Kazi Iendelee" ifutwe tumrudie Mungu

    Napendekeza hii salamu ifutwe tumurudie Mungu. Sababu nyingine ni hizi hapa. 1. Salamu ya Mungu inaliinua taifa. Mungu anakuwa karibu nasi siku zote hata kipindi cha Corona. 2. Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi iendelee inakosa consistency. Tutajikuta kila awamu tunabadili...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Umasikini wetu umesababishwa na wingi wa Rasilimali tulizonazo?

    Mimi najiuliza tu, Nchi yangu Tanzania, inakila aina ya rasilimali ya utakachotaka, Inazo rasilimali za kila aina, ajabu hakuna chochote tunajivunia licha ya kuwepo Rasilimali nyiiingi kiasi kwamba nyingine hazijawahi kuguswa tangu dunia iumbwe..! Najuiliza pia, Ni kwa nini Mungu alitupa Hizi...
  6. Josephat Sanga

    JamiiForums Tanzania Asante Rais samia, tumeona madaraja watumishi wa umma. Mungu akuzidishie

    Asante mama asante sana kilikuwa ni kilio cha watumishi wa umma miaka mingi ila umetenda Mungu akubariki
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa viongozi wetu: Msisahau kuwaomba Viongozi wa Dini na Watanzania kwa ujumla kumwomba Mungu aendelee kuiponya nchi yetu dhidi ya Corona

    Nawasihi sana viongozi wetu kumtanguliza Mungu mbele katika vita dhidi ya corona. Msimwonee Mungu haya katika jambo hili. Usalama tulionao tofauti na mataifa mengine siri yake ni kwamba Rais wetu wa wakati huo alikuwa anaitisha maombi na kuhamasisha watu kumwomba na kumtanguliza Mungu mbele...
  8. Pisi kali

    JamiiForums Tanzania Nilifiwa na mwanangu wa kwanza, namshukuru Mungu nimepata mtoto mwingine wa kiume

    Nianze kwa kumshukuru Mungu hadi kufika hapa. Kesho ni 40 ya kifo cha mwanangu my boy, tangu kufariki my first child my queen rest well my angel [emoji1431][emoji1431] lakini nimepata tena a health baby boy na kesho ndio 40 yake. Karibuni sanaaaaaaaa location Mwanza[emoji12][emoji12] Niko na...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Polepole ataka kiwanda cha dawa za mimea kupambana na Corona, aomba kikafichwe Jeshini

    Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM. Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho...
  10. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa S/Mitaa na Uchaguzi Mkuu ni sababu tosha za kutomsamehe Shujaa bali tumuachie Mungu ataamua.

    Kuna Mapro mwendazake wengi wanataka watanzania hasa waliojeruhiwa na utawala wa Shujaa kusamehe na kuendelea mbele na mambo mengine. Tukiroll back kuanzia uchaguzi wa S.Mitaa ukija uchaguzi mkuu na taharuki za jumuiya ya kimataifa mimi nachelea kusema kuwa kaka yangu aliumiza sana watu tena...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ni bora kupitia hali ngumu ukiwa mikononi mwa Mungu

    Habari zenu wadau, Ngoja niwape story ya ndugu yangu mmoja hivi, ni binadam yangu ambae tulikua tumeshibana sana katika maisha ni mpambanaji wa kufa yaani jamaa alikua ni mtafutaj mno mno. Alitoka kijijini akawa anaishi kwetu baadae akajipanga akaenda kujitegemea wilaya nyingine kwa jinsi...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mungu anapitisha kisulisuli, anaisafisha dunia.

    Habari wanakamati! Naomba muungane nami kuupata huu ujumbe. Mungu anaisafisha dunia, na kila bonde litasawazishwa, kila kilichotukuka kinashushwa, kila anayeigiza utakatifu atafyekwa. Hii dunia inasafishwa sasa. Ujumbe tayari. Mithali. 10:25 Kisulisuli kikiisha pita asiye haki hayuko tena.
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini mambo ya kiibilisi hufanikiwa fasta kuliko ya Mungu?

    Ukitaka utajiri wa kichawi au kifreemasoni ni kugusa tu, cha msingi uwe tayari kutimiza masharti. Ukitaka utajiri wa KiMungu hata ufanyeje lazima usugue benchi vya kutosha. Hata Ibrahim mwenyewe utajiri wake alitoka nao kwao akiwa mpagani. Matajiri wakubwa wa kikristo ni wachungaji ambao hizo...
  14. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu samehe, Shukuru Mungu upo hai

    Mhe Lissu tunajua kabisa kuwa waliokuumiza wako ndani ya Ardhi ya Tanzania hata kama hawapo hai. Samehe ilimradi wewe ni mzima na Mungu anakulinda kwa gharama zake yeye. Ulipigwa Risasi, Ukanyimwa pesa za matibabu, ulinyimwa mshahara, Ukanyimwa ubunge wako, Ulinyimwa uhuru wa kuishi nchini...
  15. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania Rais sio Mungu naye huwa anakosea

    Ninampenda sana Rais wetu Mama Samia ila ninaomba kumsahihisha kuwa rais ni binadamu huwa anakosea. Tukianzia kwa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Marehemu na yeye mama mwenyewe tukisema tuorodheshe mazuri na mabaya yao jamiiforums server haitatosha. Ushauri kwa mama: Achape kazi tunampenda...
  16. mama D

    JamiiForums Tanzania Ujumbe makini kwa mabinti toka kwa baba wa kiroho - "Mabinti msijilazimishe kwa wanaume"!

    Wanaume wengi kwenye mambo ya kujirusha wanaangalia vitu vya nje vile vinavyotamanisha, kuwapa mzuka na kuwatega ila inapokuja kwenye suala la kuoa huwa wanaangalia mke na sio mwanamke tuu. Wanaangalia mambo ya ndani kama tabia na akili ya maisha na sio yale mambo ya nje tena. Ya ndani yakiwa...
  17. Mandela5599

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyopata mke, Mwanzo sikumpenda ila sasa nampenda sana

    Nilikuwa na mchumba wangu ambaye nilimpenda sana. Tulidumu kwenye mahusiano kwa miaka 4. Ujasiri wa kumpenda ulikua mkubwa sababu nilimjua tu baada ya yeye kumaliza kidato cha nne. Mtoto alikua na bikra na jinsi alivyokua mzuri ni kitu ambacho sikutarajia Wakati huo tulikua Arusha, nilihamia...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwenye akili timamu atakayemuamini Mbowe na Chadema kuchangia hela? Kwanini hazindui ujenzi Arusha au Moshi?

    Ndugu zangu, Maajabu hayaishi,miaka michache iliyopita Mbowe alinifaika na ongezeko kubwa la ruzuku kila aliposhauriwa ajenge ofisi yeye na wasaidizi wake walitoa maneno makali eti "chama cha siasa sio jengo au nyumba bali ni imani". Makamanda badala ya kuhoji walishangilia kwa furaha...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mjue Mungu wa Freemasonry

    Habari hii ni ndefu Sana ila nitaielezea kwa ufupi kwa kadri nitakavyo weza. Freemasonry Wana amini nini kuhusu Mungu wa Israel? Freemasonry Wana amini kwamba Mungu wa Israel yupo na ana nguvu lakini sio Mungu mwenye nguvu zote " the Most High God" Wao Wanaamini kwamba juu ya Mungu wa Israel...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wewe uliyetudanganya kuwa tukiweka dawa ya meno kwenye uume tutapata matokeo chanya Mungu anakuona. Mkuyenge wangu ulikata moto.

    Hi gentlemen & ladies! Kama sitakosea ilikuwa 2019 mdau mmoja humu alitupia uzi au alichangia kwenye uzi fulani uliozungumzia jinsi ya kuboresha tendo la ndoa. Alielezea kuwa ukichukua mafuta ya mgando kidogo ukimix na dawa ya meno kidogo kisha ukimpaka dula kichwa wazi basi utapata raha ya kufa...
Back
Top Bottom