Maaskofu chonde; hubirini habari njema za ufalme wa Mungu na sio ufalme wa dunia hii

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,204
2,083
Maaskofu, Yesu alihubiri habari za ufalme usio onekana, ufalme wa milele. Yesu hakuhubiri habari za ufalme wa dunia hii unao onekana kwa macho.

Kama mkifanya hivyo mnaifanya injili ionekane kama ni nyepesi sana.

Acheni kuhubiri injili za siasa, hizo injili za siasa acheni kuzihubiri.

Hubirini juu ya ufalme wa Mungu. Ndani ya ufalme wa Mungu kuna kila kitu, vyote vilivyomo duniani vimo ndani ya ufalme wa Mungu.

Chochonde achaneni na mambo ya ufalme unaonekana. Hubiri habari za Yesu kurudi mara ya pili. Wahubirie watanzania waache uzinzi, waache kuchepuka, wahubirie wachawi waache uchawi, wahubirie walevi waache ulevi mara moja, wahubirie waongo waache uongo, wahubirie wezi waache uwizi, wahubirie Watanzania waokoke, wapongeze walio amua kuokoka na kumrudia Yesu Kristo, wapongeze wanyenyekevu, wahubirie watu waokoke.

Wahubirie walogaji waache kuloga, wahubirie wauaji waache kuua, wahubirie waasherati waache maramoja. Wahubirie wanaotembea na wake za watu watubu, wahubirieni wanaokwenda kwa waganga waache, wahubirieni wanaologa ndugu zao ili wapate mali waache, wahubirie wanaologa wenzao makazini waache, wahubirieni habari hizo, wahubirie wanaoiba fedha za serikali na kula rushwa waache,
Wahubirie waingie kwenye ufalme wa Mungu.

Achana na mambo ya siasa Hubiri injili ya kweli. Hubiri injili ndani ya injili kuna kila kitu amani, haki, na vitu vyote vilivyomo duniani.

Ndani ya ufalme wa Mungu kuna amani, upendo, kuna huruma, kuna haki, kuna kila kitu, kuna utajiri. Tukiwa na viongozi waliokoka nchi itakua na amani, itakua tajiri, itakua na huruma, tutaoneana huruma, viongozi wetu wakiwa ni watu waliokoka hawata kula rushwa, hawatafanya ufisadi, hawatarogana ili wang'ang'anie vyeo, viongozi watakuwa waaminifu na upendo na umoja vitajengwa ndani ya taifa, rasilimali zetu zitatumika kwaajili ya kujenga taifa bora lenye watu bora.

Nashangaa sanaa maasikofu mkisimama majukwaani na kuanza kuhubiri habari za siasa. Inasikitisha sana mnasahau kazi mnazotakiwa kufanya.
 
EllySkyWilly mambo ya Mungu sio kama tunavyoyaona sisi. Na njia zake sio sawa na za wanadamu
 
Tujikumbushe toka kwenye kitabu cha Hesabu​

Kisha Miriamu na Aroni walianza kumsema vibaya Mose kwa sababu ya mwanamke Mkushi aliyekuwa amemwoa.
Wakasema, “Hivi kwani Mwenyezi-Mungu amezungumza kwa kumwagiza Mose peke yake? Je, hajazungumza nasi pia?” Mwenyezi-Mungu aliyasikia maneno hayo. (Mose alikuwa mtu mnyenyekevu kuliko watu wengine wote waliokuwa duniani.)
Halafu ghafla, Mwenyezi-Mungu akawaambia Mose, Aroni na Miriamu, “Njoni katika hema la mkutano, nyinyi watatu.” Basi, wote watatu wakaenda kwenye hema la mkutano.
Hapo Mwenyezi-Mungu akashuka katika nguzo ya wingu, akasimama kwenye mlango wa hema, akawaita Aroni na Miriamu. Wote wawili wakasogea mbele. Kisha Mwenyezi-Mungu akawaambia, “Sikilizeni maneno yangu: Kama kuna nabii miongoni mwenu, mimi Mwenyezi-Mungu hujifahamisha kwake katika maono na kuongea naye katika ndoto.
Lakini kumhusu mtumishi wangu Mose, hali ni tofauti kabisa. Yeye ana jukumu la kuwatunza watu wangu wote. Mimi huongea naye ana kwa ana, waziwazi na si kwa kutumia mafumbo. Yeye huliona umbo langu mimi Mwenyezi-Mungu. Kwa nini, basi, hamkuogopa kusema vibaya dhidi ya mtumishi wangu Mose?”

Hapo Mwenyezi-Mungu akawaka hasira dhidi yao, akaondoka, akaenda zake. Wingu lilipoondoka juu ya hema la mkutano, Miriamu alionekana ana ukoma, mweupe kama theluji. Aroni alipogeuka na kumtazama Miriamu, alishangaa kuona kuwa ameshikwa na ukoma. Hapo, Aroni akamwambia Mose, “Ewe bwana wangu, usituadhibu kwa kuwa tumetenda mambo ya kipumbavu na kufanya dhambi. Usimfanye Miriamu awe kama mtu aliyezaliwa mfu, ambaye karibu nusu ya mwili wake umelika.” Mose akamlilia Mwenyezi-Mungu akisema, “Nakusihi, ee Mungu, umponye.” Lakini Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Kama baba yake angemtemea mate usoni, je, hangeaibika kwa siku saba? Basi, mtoe nje ya kambi akae huko muda wa siku saba, kisha unaweza kumruhusu arudi kambini.”
Kwa hiyo, Miriamu akafukuzwa nje ya kambi kwa muda wa siku saba. Watu hawakuanza tena safari hadi Miriamu aliporudishwa tena kambini. Baada ya hayo, watu walifanya safari kutoka Haserothi, wakapiga kambi katika jangwa la Parani.

Hesabu 12:1-16​

Siku
Maasikofu Yesu alihubiri habari za ufalme usio onekana, ufalme wa milele. Yesu hakuhubiri habari za ufalme wa dunia hii unao onekana kwa macho.

Kama mkifanya hivyo mnaifanya injili ionekane kama ni nyepesi sana.

Acheni kuhubiri injili za siasa, hizo injili za siasa acheni kuzihubiri.
Hubirini juu ya ufalme wa Mungu. Ndani ya ufalme wa Mungu kuna kila kitu, vyote vilivyomo duniani vimo ndani ya ufalme wa Mungu.

Chochonde achaneni na mambo ya ufalme unaonekana. Hubiri habari za Yesu kurudi mara ya pili. Wahubirie watanzania waache uzinzi, waache kuchepuka, wahubirie wachawi waache uchawi, wahubirie walevi waache ulevi mara moja, wahubirie waongo waache uongo, wahubirie wezi waache uwizi, wahubirie watanzania waokoke, wapongeze walio amua kuokoka na kumrudia Yesu Kristo, wapongeze wanyenyekevu, wahubirie watu waokoke. Wahubirie walogaji waache kuloga, wahubirie wauaji waache kuua, wahubirie waasherati waache maramoja. Wahubirie wanaotembea na wake za watu watubu, wahubirieni wanaokwenda kwa waganga waache, wahubirieni wanaologa ndugu zao ili wapate mali waache, wahubirie wanaologa wenzao makazini waache,
wahubirieni habari hizo, wahubirie wanaoiba fedha za serikali na kula rushwa waache,
Wahubirie waingie kwenye ufalme wa Mungu.

Achana na mambo ya siasa Hubiri injili ya kweli. Hubiri injili ndani ya injili kuna kila kitu amani, haki, na vitu vyote vilivyomo duniani.

Ndani ya ufalme wa Mungu kuna amani, upendo, kuna huruma, kuna haki, kuna kila kitu, kuna utajiri. Tukiwa na viongozi waliokoka nchi itakua na amani, itakua tajiri, itakua na huruma, tutaoneana huruma, viongozi wetu wakiwa ni watu waliokoka hawata kula rushwa, hawatafanya ufisadi, hawatarogana ili wang'ang'anie vyeo, viongozi watakuwa waaminifu na upendo na umoja vitajengwa ndani ya taifa, rasilimali zetu zitatumika kwaajili ya kujenga taifa bora lenye watu bora.

Nashangaa sanaa maasikofu mkisimama majukwaani na kuanza kuhubiri habari za siasa. Inasikitisha sana mnasahau kazi mnazotakiwa kufanya.
Siku hizi Askofu anavaa hirizi na rafiki yake ni mganga wa kienyeji
 
ahsante sana mtumishi, ubarikiwe sana
 
Amen! Tutangaze Ulimwenguni habari njema za marejeo ya Kristo.
Sema ukengeufu umeenea,... "muonapo hayo changamkeni”, hivyo Wachungaji/Maaskofu fake wako wengi.
 
Maasikofu Yesu alihubiri habari za ufalme usio onekana, ufalme wa milele. Yesu hakuhubiri habari za ufalme wa dunia hii unao onekana kwa macho.

Kama mkifanya hivyo mnaifanya injili ionekane kama ni nyepesi sana.

Acheni kuhubiri injili za siasa, hizo injili za siasa acheni kuzihubiri.
Hubirini juu ya ufalme wa Mungu. Ndani ya ufalme wa Mungu kuna kila kitu, vyote vilivyomo duniani vimo ndani ya ufalme wa Mungu.

Chochonde achaneni na mambo ya ufalme unaonekana. Hubiri habari za Yesu kurudi mara ya pili. Wahubirie watanzania waache uzinzi, waache kuchepuka, wahubirie wachawi waache uchawi, wahubirie walevi waache ulevi mara moja, wahubirie waongo waache uongo, wahubirie wezi waache uwizi, wahubirie watanzania waokoke, wapongeze walio amua kuokoka na kumrudia Yesu Kristo, wapongeze wanyenyekevu, wahubirie watu waokoke. Wahubirie walogaji waache kuloga, wahubirie wauaji waache kuua, wahubirie waasherati waache maramoja. Wahubirie wanaotembea na wake za watu watubu, wahubirieni wanaokwenda kwa waganga waache, wahubirieni wanaologa ndugu zao ili wapate mali waache, wahubirie wanaologa wenzao makazini waache,
wahubirieni habari hizo, wahubirie wanaoiba fedha za serikali na kula rushwa waache,
Wahubirie waingie kwenye ufalme wa Mungu.

Achana na mambo ya siasa Hubiri injili ya kweli. Hubiri injili ndani ya injili kuna kila kitu amani, haki, na vitu vyote vilivyomo duniani.

Ndani ya ufalme wa Mungu kuna amani, upendo, kuna huruma, kuna haki, kuna kila kitu, kuna utajiri. Tukiwa na viongozi waliokoka nchi itakua na amani, itakua tajiri, itakua na huruma, tutaoneana huruma, viongozi wetu wakiwa ni watu waliokoka hawata kula rushwa, hawatafanya ufisadi, hawatarogana ili wang'ang'anie vyeo, viongozi watakuwa waaminifu na upendo na umoja vitajengwa ndani ya taifa, rasilimali zetu zitatumika kwaajili ya kujenga taifa bora lenye watu bora.

Nashangaa sanaa maasikofu mkisimama majukwaani na kuanza kuhubiri habari za siasa. Inasikitisha sana mnasahau kazi mnazotakiwa kufanya.
Chochonde ndio nini.
 
NIMEKUPENDA BURE, MUNGU AKUBARIKI, Ila swali linalonisumbu je huyo mke wa Musa alikuwa mu Ethiopia au? Naomba unijibu kama unafahamu hili

Tujikumbushe toka kwenye kitabu cha Hesabu​

Kisha Miriamu na Aroni walianza kumsema vibaya Mose kwa sababu ya mwanamke Mkushi aliyekuwa amemwoa.
Wakasema, “Hivi kwani Mwenyezi-Mungu amezungumza kwa kumwagiza Mose peke yake? Je, hajazungumza nasi pia?” Mwenyezi-Mungu aliyasikia maneno hayo. (Mose alikuwa mtu mnyenyekevu kuliko watu wengine wote waliokuwa duniani.)
Halafu ghafla, Mwenyezi-Mungu akawaambia Mose, Aroni na Miriamu, “Njoni katika hema la mkutano, nyinyi watatu.” Basi, wote watatu wakaenda kwenye hema la mkutano.
Hapo Mwenyezi-Mungu akashuka katika nguzo ya wingu, akasimama kwenye mlango wa hema, akawaita Aroni na Miriamu. Wote wawili wakasogea mbele. Kisha Mwenyezi-Mungu akawaambia, “Sikilizeni maneno yangu: Kama kuna nabii miongoni mwenu, mimi Mwenyezi-Mungu hujifahamisha kwake katika maono na kuongea naye katika ndoto.
Lakini kumhusu mtumishi wangu Mose, hali ni tofauti kabisa. Yeye ana jukumu la kuwatunza watu wangu wote. Mimi huongea naye ana kwa ana, waziwazi na si kwa kutumia mafumbo. Yeye huliona umbo langu mimi Mwenyezi-Mungu. Kwa nini, basi, hamkuogopa kusema vibaya dhidi ya mtumishi wangu Mose?”

Hapo Mwenyezi-Mungu akawaka hasira dhidi yao, akaondoka, akaenda zake. Wingu lilipoondoka juu ya hema la mkutano, Miriamu alionekana ana ukoma, mweupe kama theluji. Aroni alipogeuka na kumtazama Miriamu, alishangaa kuona kuwa ameshikwa na ukoma. Hapo, Aroni akamwambia Mose, “Ewe bwana wangu, usituadhibu kwa kuwa tumetenda mambo ya kipumbavu na kufanya dhambi. Usimfanye Miriamu awe kama mtu aliyezaliwa mfu, ambaye karibu nusu ya mwili wake umelika.” Mose akamlilia Mwenyezi-Mungu akisema, “Nakusihi, ee Mungu, umponye.” Lakini Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Kama baba yake angemtemea mate usoni, je, hangeaibika kwa siku saba? Basi, mtoe nje ya kambi akae huko muda wa siku saba, kisha unaweza kumruhusu arudi kambini.”
Kwa hiyo, Miriamu akafukuzwa nje ya kambi kwa muda wa siku saba. Watu hawakuanza tena safari hadi Miriamu aliporudishwa tena kambini. Baada ya hayo, watu walifanya safari kutoka Haserothi, wakapiga kambi katika jangwa la Parani.

Hesabu 12:1-16​

Haya mawazo kua Mungu na watumishi wake wako nje ya mzunguko wa SIASA hua mnayatoaga wapi mana sijawah kuyaona kwenye biblia (kitabu ninachokiamini zaidi) zaidi hua nasoma jinsi Yesu alivyokua mwanasiasa mahiri zaidi wakat akiwa hapa duniani. Tena alikuja kueneza sera ya serikali yake ya mbinguni kwa wanadamu ili watakao mwamini wampe kura (waokoke) hivyo ukiniambia watumishi wakae mbali na siasa nashindwa kukuelewa!.
 
Ni ngumu kusoma biblia au Quran bila kukutana na habari za tawala za dunia na utawala wa Mungu
Kupitia siasa kuna mamlaka yaani tawala; na watu wa Mungu wako chini ya mamlaka hizo. Ndio maana maandiko yanatuambia tuzitii mamlaka
 
Maaskofu, Yesu alihubiri habari za ufalme usio onekana, ufalme wa milele. Yesu hakuhubiri habari za ufalme wa dunia hii unao onekana kwa macho.

Kama mkifanya hivyo mnaifanya injili ionekane kama ni nyepesi sana.

Acheni kuhubiri injili za siasa, hizo injili za siasa acheni kuzihubiri.

Hubirini juu ya ufalme wa Mungu. Ndani ya ufalme wa Mungu kuna kila kitu, vyote vilivyomo duniani vimo ndani ya ufalme wa Mungu.

Chochonde achaneni na mambo ya ufalme unaonekana. Hubiri habari za Yesu kurudi mara ya pili. Wahubirie watanzania waache uzinzi, waache kuchepuka, wahubirie wachawi waache uchawi, wahubirie walevi waache ulevi mara moja, wahubirie waongo waache uongo, wahubirie wezi waache uwizi, wahubirie Watanzania waokoke, wapongeze walio amua kuokoka na kumrudia Yesu Kristo, wapongeze wanyenyekevu, wahubirie watu waokoke.

Wahubirie walogaji waache kuloga, wahubirie wauaji waache kuua, wahubirie waasherati waache maramoja. Wahubirie wanaotembea na wake za watu watubu, wahubirieni wanaokwenda kwa waganga waache, wahubirieni wanaologa ndugu zao ili wapate mali waache, wahubirie wanaologa wenzao makazini waache, wahubirieni habari hizo, wahubirie wanaoiba fedha za serikali na kula rushwa waache,
Wahubirie waingie kwenye ufalme wa Mungu.

Achana na mambo ya siasa Hubiri injili ya kweli. Hubiri injili ndani ya injili kuna kila kitu amani, haki, na vitu vyote vilivyomo duniani.

Ndani ya ufalme wa Mungu kuna amani, upendo, kuna huruma, kuna haki, kuna kila kitu, kuna utajiri. Tukiwa na viongozi waliokoka nchi itakua na amani, itakua tajiri, itakua na huruma, tutaoneana huruma, viongozi wetu wakiwa ni watu waliokoka hawata kula rushwa, hawatafanya ufisadi, hawatarogana ili wang'ang'anie vyeo, viongozi watakuwa waaminifu na upendo na umoja vitajengwa ndani ya taifa, rasilimali zetu zitatumika kwaajili ya kujenga taifa bora lenye watu bora.

Nashangaa sanaa maasikofu mkisimama majukwaani na kuanza kuhubiri habari za siasa. Inasikitisha sana mnasahau kazi mnazotakiwa kufanya.
Usiwapangie

Kama siasa inaenda kinyume na mapenzi ya Mungu wakae kimya!
 
Kwenye awamu hii ya Sita hawatahubiri siasa...

Sababu hakuna wa kuwashurutisha kufanya hivyo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom