mungu

  1. Robert Heriel Mtibeli

    GE2020 Watu wa Mungu, Tutamchagua Tundu Lissu

    WATU WA MUNGU TUTAMCHAGUA TUNDU LISU. Na, Robert Heriel Sisi watu wa Mungu, wapenda haki, wakataaji wa dhuluma, wakataaji wa utesaji, wapinga umungu mtu, wapenda uhuru, sisi tunaopenda umoja, tutampigia kura Tundu Lisu. Nilishasema Kura ya Mungu aliyeumba mbingu na nchi ipo kwa Tundu Lisu...
  2. Dr Matola PhD

    GE2020 Mufti Mkuu wa Waislamu Sheikh Zuberi leo Korogwe mbele ya Rais Magufuli

    Mufti Mkuu leo amepewa heshima ya kufungua kwa Dua mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa CCM na kabla ya kuanza dua amesema ana mambo mawili; 1. Kukanusha kile kinachodaiwa kuwa Waumini wa Dini ya Kiislam wana udini. ( hili linahitaji mjadala wake) 2. Amemuomba Dkt.Magufuli ajenge barabara...
  3. Erythrocyte

    Uongozi ni kipawa cha Muda mrefu anachokipandikiza Mungu ndani ya binadamu ambacho hujitokeza baadaye

    Ukweli ni kwamba Kipawa cha uongozi ndani ya Tundu Lissu kimewekwa na Mungu mwenyewe na wala hakuna binadamu wa kuzuia, hii ndio maana Wakubwa wengi wamechota busara kutoka kwa mtu huyu. Aina hii ya viongozi waliobarikiwa na Mungu ndio inayofanya nchi zao kuendelea kwa vile uongozi ni karama...
  4. J

    Mchungaji Mastai: Amani tuliyonayo hailetwi na vyama vya siasa bali Mungu wa mbinguni, Mungu iponye Mtwara!

    Mchungaji Mastai wa KKKT Kimara amewataka Watanzania kuwaombea wagombea wa vyama vyote tunaowapenda na tusiowapenda ili wapate kibali mbele zake Mungu. Mastai amesema amani tuliyonayo haijaletwa na chama cha siasa bali imeletwa na Yesu Kristo mwenyewe. Kadhalika Mchungaji ameomba rehema kwa...
  5. D

    GE2020 Rais Magufuli, kama kweli ni mcha Mungu basi muombe radhi Halima Mdee na watu wa Kawe kwa uliyosema hadharani maana uligusa maisha ya watu

    Tunaweza kuneneana uongo lakini siyo wa kiwango hiki. Kama kweli waziri wako alikujibu hivyo kama unavyosema hapa basi huwa hufuatilii mambo kwa undani. Na kama ulijua hili ila ukaamua tu kuwaacha wanakawe wateseke kwa sababu tu unamchukia muwakilishi wao basi machozi ya watu kama walilia...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    GE2020 Ujumbe wa Mungu kwa Lissu na Magufuli ni katika Yeremia

    UJUMBE WA MUNGU KWA LISU NA MAGUFULI Na, Robert Heriel ZINGATIA; Maneno yaliyowekolezwa (Bolded word) Ama kwa hakika hakuna kazi ngumu kwa binadamu kama kusema ukweli na kutenda kwa haki. Haya nimeyaona kwa macho yangu, na kuyashuhudia mimi mwenyewe wala sio kwa kuhadithiwa. Je ni nani...
  7. Kamanda Asiyechoka

    GE2020 Lissu inatosha umewasemea watanzania yaliyo mioyoni mwao, Mungu atakulipa

    Kwa miaka mitano watanzania wamekuwa wakiumia moyoni,hawana pa kusema shida zao. Miaka mitano mzunguko wa fedha umesinyaa,hakuna aliyediriki kusema,umekuja wewe umeongea mengi,ya kuwasaidia watanzania. Miaka mitano wafanyakazi hawajaongezwa mishahara,lakini walikuwa hawana wa kuwasemea,wewe...
  8. Shark

    CCM kwa hiki mlichoufanyia Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Mungu anawaona

    Dah, CCM Mlijua kabisa Leo tarehe 11 October 2020 tutakua na mechi Muhimu ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars v/s Burundi lakini bado mkapitisha Fiesta lenu palepale. Uwanja wote umejaa vipara na zile ni nyasi halisi, kuota tena ni majaaliwa. Uwanja sasa...
  9. J

    Rais Magufuli ashiriki kwa njia ya mtandao maombi ya kuiombea nchi ya Kenya Mungu aiepushie Corona

    Rais Magufuli ameshiriki kwa njia ya mtandao maombi ya kitaifa yaliyofanyika nchini Kenya kuliombea taifa hilo Mungu aliepushie ugonjwa wa Corona. Maombezi hayo yaliyofanyika Ikulu ya Kenya yalishirikisha viongozi wote wakuu wa nchi hiyo na Rais Magufuli alishiriki akiwa nchini Tanzania...
  10. Mtini

    GE2020 Video: Kiongozi wa CCM asema Mungu apende au asipende wao kushinda ni lazima

    Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu? Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
  11. Chagu wa Malunde

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na OCD Hai amesema ukweli

    Mbowe na Chadema wamelitelekeza jimbo la Hai kwa muda mrefu na alifanya kuwadharau watu wa Hai na alikuwa anafanya kampeni kwa siku kumi anapata Ubunge. Safari hii ana wakati mgumu sana,wananchi hawamtaki na amekuwa akizomewa mara kwa mara, hii ni kwa sababu aliwafanya wajinga, kila...
  12. Miss Zomboko

    Dkt. Mwinyi: Kiongozi anayetafuta kuongoza nchi hawajibiki kwa waliompigia kura tuu bali na kwa Mungu pia

    Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dkt. Hussein Ali Mwinyi,ameahidi kupambana na vitendo vyote vya ubaguzi ndani ya jamii pindi akipata ridhaa ya kuongoza Zanzibar. Amesema ili kutokomeza vitendo vya ubaguzi visiwani humo, lazima akiri na kukubali kuwa vitendo hivyo vipo, kisha achukua...
  13. J

    Mchungaji Mastai: Rais Magufuli amefanana na Nelson Mandela, Mungu ameweka kitu ndani yake

    Mchungaji Mastai wa KKKT Kimara amesema siyo kila anayetaka kuwa kiongozi ana kipawa bali Mungu ameweka vipawa vya uongozi kwa wateule wachache. Kwa mfano, Nelson Mandela (R.I.P) wa Afrika ya Kusini Mungu aliweka kipawa cha uongozi ndani yake na hapa Tanzania Mungu ameweka kipawa cha uongozi...
  14. Erythrocyte

    GE2020 Kampeni: Kama una hofu ya Mungu na kama umechoshwa na dhuluma tarehe 28 Oktoba chagua wagombea wa CHADEMA na washirika wao

    Ikiwa kama umechoshwa na unyama unaotendwa dhidi ya binadamu nchini Tanzania ( RIP Lwajabe , pole Lissu ) , na ikiwa kama unakerwa na dhuluma dhidi ya wakulima , ikiwa unakerwa na rushwa na ikiwa kweli wewe ni mcha Mungu basi wakati wako wa kutenda kwa kadri ya maandiko Matakatifu umefika ...
  15. MEXICANA

    GE2020 Nikikumbuka janga la Corona, Watanzania tusipomchagua Dkt. Magufuli bila shaka Mungu atatushughulikia kivingine

    Kumbuka. "Man without God can not, and God without man will not" "Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe" Kama kuna nyakati Mungu alishawahi kuzungumuza na watanzania kwa namna isiyoyakawaida kupitia kiongozi wa kitaifa naamini Mara hii amezungumza na tz nakila mtu bila shaka hakuna ambaye...
  16. UZZIMMA

    E Mwenyezi Mungu, natumai mke wangu atatokana na uzi huu. Natafuta mke

    Sasa leo ni zamu yangu kutangaza nia ya dhati ya kutafuta mke kupitia JF. Ninachoamini mke wangu huenda akatokea humu au tukaunganishwa na mke wangu mtarajiwa na mtu anayeishi ndani ya jiji la JF. MIMI. Umri 24 Muislam halisi Diploma ya civil engineering. Maji ya kunde Zanzibar Ninayemuhitaji...
  17. The Dictator

    GE2020 Tundu Lissu ni masiha wetu tuliepewa na Mungu, tumpokee

    FACTORY RESET ya maana itaenda kufanyika katika historia ya nchi hii tangu kuumbwa kwake. Yale mashimo watu fulani walizoea kujifichia na kuila nchi hii taratibu kama bandubandu yatafukiwa sasa 'Malaika wataishi kama mashetani'. Matumaini yatarudi ya kuishi kwa usawa kati ya raia wote bila...
  18. C

    GE2020 Magufuli(Mlowa): Ubunge sio 'madigrii' ni kipaji kutoka kwa Mungu; mkichagua Wapinzani nitashindwa kuwatumbua wasipofanya kazi

    Katika kipindi cha miaka 5 tumefanya mengi, hata kuhamishia Makao Makuu Dodoma halikuwa jambo dogo. Miaka 47 haijawezekana ila miaka 5 tumeweza. Makao Makuu yanamaanisha ustawi wa eneo hili unakuja kwa nguvu. Tunajenga Uwanja wa Ndege mkubwa huko Msalato ili ndege za kimataifa zije. Tumeleta...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Kura ya Mungu ipo kwa Lissu 2020: Mwaka 2015 Ilikuwa kwa Magufuli; wapi alikosea Magufuli? jionee

    MUNGU AMEMPA KURA LISU, JE WEWE UTAMPA NANI? Na, Robert Heriel Hata Mungu hufanya uchaguzi, Hata Mungu hupiga kura. Sio mwanadamu peke yake apigaye kura, hata Mungu Muumba wa Mbingu na ardhi hupiga kura. Katika Historia ya Biblia wapo watu kadhaa waliopigiwa kura na Mungu miongoni mwao ni...
  20. Wakusoma 12

    Nilipomuona Lissu jana hapa Mwanza machozi yalinitoka, hakika Mungu yupo na anaishi

    A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na za ulimwengu wake! Hakika Mungu yupo. #Ni yeye 2020
Back
Top Bottom