Dada zetu ( Wanawake ) mnaompangia Mwenyezi Mungu tena kwa Kumlazimisha awapeni Mtoto wa Jinsia fulani achaneni upesi na huu utaratibu

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kuna Dada Mmoja wa Mtaani Yeye alibahatika sana kupata Watoto wa Jinsia ya Kiume tena Wawili kabisa.

Huyu Dada baadae akawa anatamani mno kupata Mtoto wa Kike na akawa anahangaika kwenda Kanisani Kuliombea hilo na kuna muda hadi kwa Waganga alishaenda vile vile.

Kilichotokea ni kweli alibeba hiyo Mimba kama alivyotaka na kama kawaida Mungu huwa hapangiwi akajifungua tena Mtoto wa Kiume.

Mtoto huyo ameshakuwa na sasa anachotushangaza Watu ( Majirani ) wote ni kwamba Mtoto ana mambo ya Kike Kike tupu, anaongea kama Msichana na mpaka Michezo yake nayo ni ya Kike Kike tupu tu na anapenda sana Kuchagamana na Watoto wa Kike au na Wanawake.

Watu wengi wanasema kuwa huenda Mtoto huyu wa Kiume ( japo ana tabia zote za Kike ) amekuwa hivi baada ya Mwenyezi Mungu kuchukizwa na tabia za huyu Mama Kumpangia huku akienda pia kwa Waganga hivyo kamfanya hivi huyu Mwanae ili akome na liwe Fundisho kwa Wanawake wengine.

Na Generalist kila nikimuona huyu Mtoto naona kabisa anaenda kuwa Shoga ( Bwabwa ) tena mapema hivyo natamani hata nimwambie Baba yake Mzazi ili aanze Kumnyoosha ila naogopa asije labda Kunihisi vibaya na hivi nimekulia sana Pwani ndiyo itakuwa balaa kabisa.
 
Itakuwa hakumpokea vizuri baada ya kuona ni wakiume, MUNGU kaamua kumdhihirisha, kuna wengine hata hao wakiume hawana wanalia usiku na mchana kuwa tafuta
 
Hapana uyo mtoto kafanyiwa kolabo Mshana Jr uyu mtoto aliumbwa wa kiume sema alipoenda kwa mganga kuna dawa alipewa ili azae wa kike sasa nguvu za kiroho zinabanana sehemumoja lkn ki uhalisia uyo ni mwanaume XX au ana jinsia mbili XXY au kachezewa dawa mchek mshana jr kwa msaada zaid
 
Back
Top Bottom