Barua ya Shetani kwa Mtawa wa Kikristo 1676: Mungu ni mvumbuzi wa Binadamu

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Dec 7, 2019
3,837
6,372
Wasaalam,

Kuna hadithi ambayo inaturudisha karne ya 17, kuhusu mtawa wa Kiitaliano ambaye alidai kuwa ameandika barua kadhaa wakati akiwa anaendeshwa na shetani

Screenshot_20210416-155314.png

Mtawa huyo anayejulika kwa jina Maria Crocifissa Della Concezione, aliamini kwamba shetani mwenyewe aliandika barua wakati akijaribu kumtoa yeye kutoka kwa Mungu na kumvuta kwake.

Barua moja tu ya Maria ndiyo iliyopatikana na Hakukuwa na mtu aliyeweza kutafsiri mistari ya barua kwa sababu ilikuwa imeandikwa kwa lugha isiyojulikana.

Zaidi ya miaka 300 iliyopita, katika nyumba ya watawa ya Palma di Montechiaro huko Sicily, mtawa huyo aitwaye Maria Crocifissa della Concezione anadai alipatwa na pepo.

Screenshot_20210416-160641.png

Maria, ambaye alikuwa kwenye nyumba ya watawa tangu akiwa na miaka 15, inasemekana alikuwa akipiga kelele na kuzimia wakati akiandika karatasi hizo, ambazo alisema shetani ndiye alimwamuru.

Na kwa zaidi ya karne tatu sasa, hakuna mtu aliyeweza kufafanua barua hizo. na Hatimaye, wasomi, na waandishi wa kriptografia, na wajuzi walijiunga ili kuifafanua na kwa kutumia programu ya kuvumbua Codes inayopatikana kwenye Wavuti ya DARK WEB

DARK WEB
ni kwenye wavuti ambapo unapata kitu chochote kilichopo duniani ,tarifaa na kila kitu ambacho iwe kinaweza kukatazwa, kama vile uhalifu wa mtandao, dawa za kulevya, na mambo mengine ya kijinga mengi.

Lakini pia kuna matumizi mazuri ambayo yanaweza kutumiwa kwa malengo yenye tija kama vile walivyoweza kufafanua barua hiyo ya karne ya 17.

Screenshot_20210416-155539.png

Daniele Abate, mkurugenzi wa jumba la kumbukumbu la sayansi la Ludum katika Jiji la Metropolitan la Catania, Sicily, aliiambia The Times London kwamba kwa sababu ya mfumo wa kuvunja Codes za ujasusi wanaweza mwishowe pia kujifunza namna ya kufumbua mfumo huo wa maandishi

"Tulisikia kuhusu programu hiyo, ambayo tunaamini inatumiwa na huduma za ujasusi kwa ukiukaji wa sheria. Tulibadilisha programu hiyo kwenye Kigiriki, Kiarabu, na Kilatini ili kuvumbua barua zingine na kuonyesha kuwa kweli ni za kishetani, "

alisema Abate.

“Barua hiyo ilionekana kana kwamba iliandikwa kwa kifupi. Tulidhani kwamba Maria aliunda misamiati mipya kwa kutumia alfabeti za zamani ambazo huenda alizijua mwenyewe
Tulichambua jinsi silabi na michoro (alama) yanavyorudiwa katika barua ili kupata vokali

Screenshot_20210416-160556.png

Mtawa Maria alikuwa amejiunga na utawa wa Wabenedikti wakati akiwa na miaka 15.

halafu, siku moja ya Agosti 1676 wakati Maria akiwa na umri wa miaka 31, alipatikana juu ya sakafu ya nyumbani kwake na uso wake umefunikwa na wino na barua zikiwa zimeshikana mikononi mwake.

Alipoamka, mtawa huyo alidai kwamba alikuwa amekumbwa na Shetani, ambaye alimfanya asaini barua hizo lakini alikataa na kuandika tu "Ohimé" (oh mimi), ambapo mwishowe ilimaliziwa

Screenshot_20210416-174050.png

Na ingawa barua hiyo hivi karibuni imesababisha udadisi wa watu ulimwenguni , timu ya utafiti katika jumba la kumbukumbu la sayansi la Ludum bado haijatoa maandishi kamili, ikisema kwamba inazungumza juu ya hali ya uhusiano wa Mungu na mwanadamu

Wamethibitisha kwamba barua hiyo inasema:

"Mungu anafikiria anaweza kuwaokoa wanadamu…?? mfumo huo haufanyi kazi kwa yeyote."

Pia inazungumza juu ya Mungu kwamba " Mungu ni uvumbuzi tu wa watu"

Pia inaelezea habari za mto Styx huwenda ni uhakika.

Katika hadithi za Uigiriki, Mto Styx hutenganisha ulimwengu wa walio hai na ule wa wafu.

Na alikuwa Charon, msafiri, ambaye alichukua roho za kwenda Underworld ambapo hapo watu walingojea kuzaliwa tena.

Hadithi zinasema Charon alifurahi kufanya kazi yake hiyo ikiwa wafu walilipa ada ya kuvuka mto.

Kulingana na hadithi hizo, makati mtu akiwaa amekufa, familia yao iliwazika na sarafu zilizowekwa machoni mwao ili roho za wapendwa wao ivuke Styx salama.

Screenshot_20210416-160834.png

Abate alijaribu kupata maelezo zaidi ya kimantiki juu ya ya barua hiyo. anasema

Kwa maoni yake, Maria alikuwa na akili na elimu sana, lakini labda huenda alikuwa na ugonjwa wa Schzophernia au ugonjwa wa bipolar.

Mchanganyiko huo wa lugha ambazo alikuwa akiandikia barua hiyo ni zile ambazo baadhi huenda amejifunza wakati alipokuwa nyumba ya watawa.

Kwa madai yake kwamba sauti hizo za shetani ziliongea naye na kumwambia afanye nini (aandike barua), hilo kidogo linaunga mkono nadharia ya Abate kwamba mtawa huyo huenda alipatwa na aina ya ugonjwa wa Schizophernia.

RAMADAN KAREEM

daVinci XV

Jibu kamili na utata wa huyu mtawa upo kwenye aya hi...
"
Abate alijaribu kupata maelezo zaidi ya kimantiki juu ya ya barua hiyo. anasema

Kwa maoni yake, Maria alikuwa na akili na elimu sana, lakini labda huenda alikuwa na ugonjwa wa Schzophernia au ugonjwa wa
bipolar"

Nilipo bold mjitahidi kupagoogle msome kwa kina.
 
🤣🤣🤣🤣sawa mkuu
 
Swala la Mungu kuvumbuliwa na watu halikuhitaji barua ya MTAWA ili watu tujue. Tulishalijua hilo ila tulichoshindwa kukijua ni jina la huyo mtu

Kama utafiti unaendelea natumai kuona barua zingine zenye kuleta hayo majibu ambayo kwa muda tumekua tukiyatafuta
 
Kwa hiyo unatuambia kuwa maktaba zimehifadhi taarifa za mgonjwa wa bipolar kwa miaka mingi.
 
Swala la Mungu kuvumbuliwa na watu halikuhitaji barua ya MTAWA ili watu tujue. Tulishalijua hilo ila tulichoshindwa kukijua ni jina la huyo mtu

Kama utafiti unaendelea natumai kuona barua zingine zenye kuleta hayo majibu ambayo kwa muda tumekua tukiyatafuta
Aiiise alafu nlisahau kukutag hapa mkuu
 
Wamethibitisha kwamba barua hiyo inasema:

"Mungu anafikiria anaweza kuwaokoa wanadamu…?? mfumo huo haufanyi kazi kwa yeyote."

Pia inazungumza juu ya Mungu kwamba " Mungu ni uvumbuzi tu wa watu"

Hapa ndipo shetani anajidhirisha anataka kutuaminisha kuwa Mungu hana uwezo wa kutuokoa.

Sio kweli:..................?....................

Yohana3
16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
17Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye.
18Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.
19Na hii ndiyo hukumu; ya kuwa nuru imekuja ulimwenguni, na watu wakapenda giza kuliko nuru; kwa maana matendo yao yalikuwa maovu.
20Maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasije yakakemewa.
21Bali yeye aitendaye kweli huja kwenye nuru, ili matendo yake yaonekane wazi ya kuwa yametendwa katika Mungu.

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Ndivyo hivyo mkuu, inaaminika kwamba kabla ya kukutawala inatakiwa akuaminishe ya kuwa ana nguvu (yuko juu) kuliko ya unachokiamini
 
Wamethibitisha kwamba barua hiyo inasema:

"Mungu anafikiria anaweza kuwaokoa wanadamu…?? mfumo huo haufanyi kazi kwa yeyote."

Pia inazungumza juu ya Mungu kwamba " Mungu ni uvumbuzi tu wa watu"

Hapa ndipo shetani anajidhirisha anataka kutuaminisha kuwa Mungu hana uwezo wa kutuokoa.

Sio kweli:..................?....................

Yohana3
16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
17Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye.
18Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.
19Na hii ndiyo hukumu; ya kuwa nuru imekuja ulimwenguni, na watu wakapenda giza kuliko nuru; kwa maana matendo yao yalikuwa maovu.
20Maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasije yakakemewa.
21Bali yeye aitendaye kweli huja kwenye nuru, ili matendo yake yaonekane wazi ya kuwa yametendwa katika Mungu.

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
🤝
 
Wewe mwenyewe mkuu hata huyo mwenye avatar hujawah hata kukutana nae na yupo nje ya tz ila umekua busy nae hadi ukamuweka kwa avatar
Kuna watu wengine hawajawahi kutoka nje ya Dar, achilia mbali Tanzania, lakini wako busy kutafuta mambo ya nje ya dunia hii. Embu tulieni, kazi inaendelea
 
Back
Top Bottom