mtu

  1. J

    Bunge: Mtu aliyefariki kuzikwa “popote" siyo utamaduni wa kiafrika

    Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa "popote" siyo utamaduni wa kiafrika. Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge mh Ndugai Source ITV habari My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
  2. CCM Music

    Assume una mtoto wako mzuri tu. Ipi afadhali atembee na mtu mzima ama atembee na rika lake?

    Yaani una binti yako mtoto mzuri tu mashallah. Kwa nyakati hizi, kuliwa ataliwa tu kabla ya chuo. Swala ni bora nani amle? Aliwe na mtu mzima mwenye ofisi yake na maisha yake ili amkuze na kumlea vizuri au aliwe na dereva bodaboda' wa rika lake, ama mwenzie anayesoma naye kwenye risk kubwa ya...
  3. Papaa Mobimba

    Masihara dhidi ya COVID-19 yamtokea puani, adakwa na Polisi

    Polisi Ruvuma wanamshikilia Ibrahimu Bukuku kwa kusambaza ujumbe WhatsApp kupotosha kuhusu dawa ya Corona, ukisomeka, " Dawa ya corona twanga pilipili kichaa sufuria 1 halafu changanya na maji vikombe 5, kunywa kutwa mara 7 kwa siku 3, siku ya 4 chuma upupu kisha jipake". Jeshi la Polisi...
  4. Mtapenda

    Tanzania imekumbwa na ugonjwa mpya unaitwa matatizo ya kupumua

    Habari zenu wanaJF, Ni wiki sasa Tanzania tunatangaziwa watu maarufu wanafariki kwa matatizo ya kupumua tena ni wengi mno sasa ni wakati wa serikali kututangazia haya matatizo ya kupumua yanasababishwa na nini!?, Dalili zake pamoja na tahadhari ya kuchukua.. Ni dhahiri kwamba mh rais kama...
  5. COVID 20

    Nimeokota simu ndani yake kuna picha ya mke wa mtu katuma akiwa mtupu

    Mambo zenu ndugu zangu Jioni ya leo kuna mtu mmoja mwanamme kadondosha simu aina ya Samsung na kwa bahati mbaya zaidi haina password. Sasa katika kutaka kuichunguza tumeingia Whatsap katumiwa picha za utupu na mke wa mtu ambaye ni mwalimu katika Shule ya Msingi na ambaye mme wake yupo kikazi...
  6. Analogia Malenga

    Kariakoo: Inasemekana kuna mtu amefariki barabarani tangu jana lakini maiti imeachwa hadi leo

    Hatari kubwa kariakoo hiyo ni maiti, amekufa toka jana Kariakoo mpaka sasa hakuna msaada wowote ulio jitokeza kuondoa maiti hiyo aliyekufa kwa kushindwa kupumua hali sio shwari kiusalama wa afya kariakoo == Punda fanyeni kazi mlipe kodi
  7. Carleen

    Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

    Hi guys, Nimekumbuka hii ujinga Leo nikaishia kucheka.! Kuna wale watu huwa wanakuja PM kwa mbwembwe kibao, mrembo mrembo nyingi mara mtoto mzuri, (wanadanganyika na avatar obviously) lakini vile huja kupotea ndo wanashangaza na jukwaani unawaona unaishia tu kucheka hiiii'...!! Huyu wa kwanza...
  8. Tajiri Tanzanite

    Kwa tabia hii muafrika ataendelea kuonekana kuwa mtu duni kiakili na kudharaulika

    Hapo vip!! Kupitia janga hili la Corona na harakati na kutafuta tiba au kinga dhidi ya janga hili,muafrika ameonekana kanakwamba mtoto mdogo anayesubiri maamuzi na kauli na pia na solution ya janga hili kutoka kwa mzazi..nikimaanisha tumeonekana tukidharau na kubeza hata tiba zetu za asili na...
  9. LIKUD

    Wanasheria: Je, huyu anahitaji kuwa na deed poll kwenye petition yake

    Jina kwenye cheti chake cha O Level: Mohamed DAIMA. Jina kwenye cheti cha A level; Mohamed DAIMA. Jina kwenye cheti chake cha LLB Mohamed DAIMA. Jina kwenye cheti chake cha Law School Mohamed DAIMA. JINA KWENYE CHETI CHAKE CHA KUZALIWA: Mohamed DAIMA. Kwenye cheti chake cha kuzaliwa...
  10. FRANCIS DA DON

    Naomba tupate maelezo ya kina ya kisayansi, hivi inakuwaje mtu anashangilia na kupata furaha kali pale nchi yake au wenzake wanapopata matatizo?

    Mfano hai kabisa ambao nimeshuhudia kwa macho yangu mitaani na pia katika mitandao, ni ile hamu na shauku waliyokuwa nayo baadhi ya waTz kuona ugonjwa wa Corona ukiingia Tz, na unamuona kabisa mtu huyo anaumia kila walipoambiwa kuwa ugonjwa bado haujafika. Ile siku yule dada wa huko Kaskazini...
  11. manchoso

    Hivi jamani walozi usiku wakimgusa mtu, wanaweza ambukizwa Corona?

    Wamesema kweli wahenga Baniani mbaya kiatu chake dawa na kiingiacho mjini si haramu Corona sio siri imeleta majanga hakuna kinachofanyika kwa ufanisi, sio biashara siasa wala burudani kila mtu analia kimya kimya Pia corona imetupa funzo darasa la bure lenye maumivu ndani yake ambalo bila...
  12. K

    Tabia ya mtu haibadiliki

    Ni jambo lipi au mradi gani aliowahi kuufanya John Pombe Magufuli, akiwa mbunge na sasa akiwa rais aliowahi kuubuni na kuukamilisha kwa utulivu, bila ya mitifuano na watu, wafanya kazi, contractors, raia au taasisi. Ukiangalia barabara zilizojengwa, utakuta mikwaruzano kila sehemu. Naikumbuka...
  13. B

    Kila mtu kwa nafasi yake tutendeane haki kuhusiana na janga hili la COVID-19

    Haieleweki hawa watu ambao wamependa kusema serikali iko makini au wapo makini kuudhibiti ugonjwa huu wana maana au nia gani na taifa hili. Watu hawa, hawakuweza kuuzuia ugonjwa kuingia nchini wala hawana mpango wowote thabiti uliowazi wa kuudhibiti ugonjwa huu usisambae. Matokeo yake ugonjwa...
  14. Display Name

    Kumsamehe mtu ni lazima muwe marafiki tena?

    Wakuu habari za muda huu, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada ambayo naomba niiwasilishe kwa mtindo wa swali kwani natamani sana kujua majibu ya hili. Je, nikimsamehe mtu ni lazima tuwe marafiki tena? Mfano kwa kupitia kisa hiki; Mume amegombana na mkewe na ikafika hatua ya mume...
  15. M

    Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini. Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao. Hii hali...
  16. nacho1

    Niliwahi kusikia na kuambiwa mtu anapokaribia kuoa (kuolewa sifahamu) mara nyingi hukutana na changamoto za kumkatisha tamaa

    Sikuelewa vizuri sahivi imefika zamu yangu nimeanza kuelewa kwa kueleweshwa kwa vitendo. Nimekua kwenye mahusiano miaka mitano na binti mmoja niliepanga kumuoa na sikuwahi kumpenda mwingine yeyote kwa kipindi chote hiki hadi sahivi tumekata shauri tuanze mipango ya kuoana ndio changamoto...
  17. Zack Snyder

    Kama unampenda mtu kwa dhati usisite kumwambia mapema. Life is too short

    Wadau! Kila mtu ana mtu ambae moyo wake umemuangukia au umeCrush kwake, ila hujamwambia unasubiri subiri muda fulani au Unaona aibu/Uoga kumwambia. Kama mtu huyo yupo kamawe usisite kumwambia hisia zako wala usisubiri. Dakika moja ni kubwa mno kuamua hatima ya maisha ya mtu ndio maana mtu...
  18. J

    RC Mtwara: Kuanzia Jumatatu mtu yoyote anakwenda ofisi ya Mkuu wa Mkoa ni lazima avae barakoa ( mask )

    Mkuu wa mkoa wa Mtwara amesema kuanzia jumatatu mwananchi yoyote atakayefika ofisi ya mkuu wa mkoa ( mkoani) ni lazima avae barakoa vinginevyo atazuiliwa getini. Mkuu wa mkoa amechukua hatua hiyo kama jitihada zake za kuzuia maambukizi ya Covid 19. Chanzo: ITV habari!
  19. hp4510

    Nahitaji connection ya mtu ambae anafanya biashara ya samaki Mwanza

    Naitaji mtu ambae yuko Mwanza ambae anafanya biashara za samaki kwa maana ya uchuuzi na usafirishaji mpaka Dar es Salaam. Au kwa yoyote ambae anajua A to Z ya kununua samaki mpaka usafiri to Dar es Salaam
  20. mathsjery

    Ushairi wangu juu ya corona

    Ubeti wa kwanza: Ni corona inapita, hata ukunje zo ndita, Hakuna alo-iita, labda ni wewe pita, Na uchumi wazorota, wapi pesa nitapata. Nilichobakiwa nacho, barakoa mdomoni. Ubeti wa pili: Baada ya saa 48,..... nitaendelea
Back
Top Bottom