Waafrika nani katuloga lakini?

Otterhound

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
1,006
2,000
Hivi ni mimi tu pekeangu huwa najionea kwa hawa ndugu zangu weusi wakiwashangaa white people's! Akionekana muzungu anatembea iwe kwa miguu ama kwa gali wanamshangaa, akionekana mwarabu, mhindi ama mchina wanamshangaa ata kama wanaishi mji mmoja but watamshangaa tu,kana kwamba awajawai kuwaona maisha yao yote awa weupe!.

Kwa wanaume na wanawake haka kaushamba kapo, tena kila kona ya nchi pamoja na all Africans. Ivi ni kwanini? Alafu mwanamme mweupe huwa anaonekana mwenye thamani kubwa kwa dada zetu kuliko mwanamme mweusi, na yuko radhi kuolewanae kuliko kuorewa na mweusi mwenzie! Wengine hutamka kabisa natamani niolewe na mwarabu nipate watoto wazuri na weupeee 🤣🤣🤣🤣🤣 nyie wakina dada.
 

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,560
2,000
Waafrika tulijichanganya tulipoamini tumetokana na sokwe

Mzungu akatoka ulaya kuja kufanya uchunguzi na kugundua kuwa binadamu wa kwanza alikuwa Afrika
 

Mla Bata

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
5,228
2,000
Upo sehemu gani mkuu? Mbona hao wahindi, wachina tupo nao sana hapa k/koo tunapigwa jua pamoja tu.


Let's meet at the top, cheers 🍻
 

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,120
2,000
Kushangaa ni silka ya binadamu.

Kwamfano: shamba lako umepanda mahindi meupe, katika kuvuna ukutane na hindi moja jekundu ama la njano pyuwa, hautalishangaa?

Hayo memgine hauwezi kuyashangaa kwasababu ni ya kawaida isipokuwa hilo jingine ambalo haujazoea kuliona na haukutegemea lionekane hapo.

Hilo la kina dada kutamani kuolewa na weupe ni matamanio ya kawaida ya kibinamu kutaka vitu 'amazing' ili kupata kionjo tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom