Hatutaki kuongozwa na mfumo ambao kila mtu kwenye taifa anakuwa mateka

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,926
Kwakweli Kama tunataka mustakabali mwema wa taifa Basi tufwate matakwa ya wananchi. Waacheni watu wachague wamtakae msiwachagulie watu Nani wa kuwatawala. Mfumo wa Sasa umemfanya kila mtu kuwa mateka (terrorised) society.

Binadamu amezaliwa huru kabisa na mungu ametupa Uhuru toka day one tunapokuja ulimwenguni kwanini mtu mmoja tu mwenye kifamilia chake atupelekeshe?

Hapana hii haikubaliki kuwa mateka ndani ya nchi huru hii haikubaliki nyerere aliyaona haya na alisema maendeleo ya watu ni pamoja na Uhuru wao. Sio wakisikia tu mlango unagongwa wanaanza kuogopa pengine kesho wasiione.

Wakati wafanyakazi wanalilia mishahara yao na hasira zao zitaenda huko cc wengine tulilie Uhuru wetu .

Kila mtu kazaliwa na mwanamke tusitishane hakuna aliyezaliwa na mawingu toka angani.

Uchaguzi uwe Ni uhuru vs utumwa. Mambo ya kutishiana maisha hatutayavumilia Tena kwa miaka mitano ijayo.
 
Bora kuwa mateka huku ukijitafitia ugali wako kwa uhuru! Kuliko kuwa huru huku ukitafunwa tena mwanaume
Propaganda zenu za karne ya 21 hakuna anaezitaka Tena upuuzi mtupu ukiniuliza waliopigwa risasi na kutoeshwa nitakujibu sawia kwa ushahidi nawewe nikikuuliza uitetee hiyo hoja yako utahorororoja hapa.
 
Jibu unalo mliemtaka afe Sasa ndio mgombea urais anaekubalika zaidi kuliko wote na watanzania.
 
Back
Top Bottom