Kama kuna mwenye wimbo wa Munishi kuhusu CCM, naomba

mbikagani

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
3,107
1,782
Habari wana JF!

Please, kama kuna mtu ana kile kibao cha yule mwanamuziki Munishi kinachoitwa CCM naomba anipatie hapa.

Yule jamaa yupo wapi siku hizi?

"miss sana yule mtu"
 
Sidhani kama aliwahi kuimba wimbo unaitwa ccm. Unless useme alipochombeza kuwa ccm alianzisha nyerere na sasa imezeeka
 
Back
Top Bottom