Kampuni/ofisi yenu inahitaji mtu wa IT?

Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
3,288
3,320
Msaada, kazi yoyote inahitajika.

Habari ndugu na poleni na michakato ya uchaguzi, kijana hapo chini anatafuta ajira lakini pia anaweza kufanya freelancing yaani kama una kazi ya mara moja unampatia kwa makubaliano.

Elimu: Bachelor's degree(IT)
Experience: 5 years. - Network and System Administrator, IT Support, Call Center Support, Maintenance, Software Installations,Pre-sales Engineer etc
Location: Dar, but ready to relocate

Alikuwa amejiriwa ila kampuni imeshindwa kurenew mkataba kutokana na Corona(Makao makuu ya kampuni yapo Makerani na hawajatoa go ahead ya kuongeza mkataba).

Nafasi anazoweza kufanya: Technical Support, IT Manager, System Administrator, IT Officer, IT Sales/ preSales, etc

Msaidie kijana huyu, ushauri unapokelewa.
mawasiliano 0656852204, yupo tayari kwa kazi yoyote.
 
Tatizo hajui programming,,,,,angekua senior wa programming kazi zipo nyingi angezikimbia mwenyewe...kazi anazoweza mostly wanapewa watu wa certificate za I.T.
 
tatizo hajui programming,,,,,angekua senior wa programming kazi zipo nyingi angezikimbia mwenyewe...kazi anazoweza mostly wanapewa watu wa certificate za I.T.
Sawa boss ila kwanini umesema ni tatizo? Kwani mtu anatakiwa ajue kila kitu? Hata aliyefiti kwenye programming unakuta kwenye network au system admin ana idea tu. Uwanja wa IT ni mpana huwezi kukuta mtu yupo fit kila idara.
 
In short hizi course za maswala ya IT na computer science is all about solving problems in working areas kwaio kuhusu ajira ni naamna yako na uwezo wako wakusaka solution apo utatafutwa na ma kampuni makubwa ya serikal na yasiyo yaserikali
 
Sawa boss ila kwanini umesema ni tatizo? Kwani mtu anatakiwa ajue kila kitu? Hata aliyefiti kwenye programming unakuta kwenye network au system admin ana idea tu. Uwanja wa IT ni mpana huwezi kukuta mtu yupo fit kila idara.
upande mgumu wa CS ni programming tu.........ukimaster programming maswala ya network hayakupi tabu,thats why makampuni na watu wengi binafsi wanatafuta PROGRAMMERS zaidi kuliko watu wa networks

as a programmer naweza jifunza mjengo wa system na nika umodify ambapo system admin hataweza
 
Kikubwa ni mahitaji na sio ugumu au urahisi, kwanza kwa anayejua haya mambo Networking ni ngumu kuliko programming, angalia certifications kama CCNP, CCIE etc utaona mziki wake.
So mahitaji ya Software Developers kwa sasa ni makubwa lakini pia fursa ya kujiajiri ipo kubwa hiyo nakubali.
 
upande mgumu wa CS ni programming tu.........ukimaster programming maswala ya network hayakupi tabu,thats why makampuni na watu wengi binafsi wanatafuta PROGRAMMERS zaidi kuliko watu wa networks

as a programmer naweza jifunza mjengo wa system na nika umodify ambapo system admin hataweza
Halafu kusema kwamba ukimaster programming basi maswala ya network hayakupi tabu huo ni uongo, unaweza kujifunza programming language mwenyewe na computer yako na ukawa mtaalamu,programming its all about coding. Lakini vitu kama Network Architecture, etc. Vinahitaji practical kwa kiasi kikubwa, huwezi kuwa Network Engineer kwa kukaa mezani na laptop yako tu.
 
Sawa boss ila kwanini umesema ni tatizo? Kwani mtu anatakiwa ajue kila kitu? Hata aliyefiti kwenye programming unakuta kwenye network au system admin ana idea tu. Uwanja wa IT ni mpana huwezi kukuta mtu yupo fit kila idara.
ndivyo mambo yalivyo boss,,, kiufupi mtu wa I.T mwenye degree programming ni muhimu hayo mambo mengine ni madogo madogo, ni ngumu company kuajiri I.T mbovu wa programming ,,, labda uwe chini ya I.T kama technician ku-solve issue ndogo ndogo.
 
Habari ndugu na poleni na michakato ya uchaguzi, kijana hapo chini anatafuta ajira lakini pia anaweza kufanya freelancing yaani kama una kazi ya mara moja unampatia kwa makubaliano.

Elimu: Bachelor's degree(IT)
Experience: 5 years. - IT Support, Call Center Support, System Admin, Maintenance, Software Installations,Pre-sales Engineer etc
Location: Dar, but ready to relocate

Alikuwa amejiriwa ila kampuni imeshindwa kurenew mkataba kutokana na Corona(Makao makuu ya kampuni yapo Makerani na hawajatoa go ahead ya kuongeza mkataba).

Kwenye programming and software development amesoma ila hajafanyia kazi upande huo(ana basic knowledge).
Nafasi anazoweza kufanya: IT Support, IT Manager, System Administrator, IT Officer, IT Sales/ preSales, etc

Msaidie kijana huyu, ushauri unapokelewa.
Mungu akutangulie katika harakati zako mkuu.
 
mkuu tatizo uko hapa kubishana sio kupeana ukweli,, unatetea ulichonacho... kifupi kama wewe ni I.T inabidi uwe full,, kwa upande wa programming na issue za networking na security..i mean hata hao programmer wako full kwenye CISCO, CISA na certificate nyinginezo practically ..
 
mkuu tatizo uko hapa kubishana sio kupeana ukweli,, unatetea ulichonacho... kifupi kama wewe ni I.T inabidi uwe full,, kwa upande wa programming na issue za networking na security..i mean hata hao programmer wako full kwenye CISCO, CISA na certificate nyinginezo..
Tunajadili hatubishani, hakuna IT aliye full bro, Chuoni sawa unasoma vitu vingi ila lengi ni kupata basics tu. Huwezi kuspecialize kwenye Database, Networks, Software Development, Telecom Systems, etc. Noc Engineer pale vodacom anahitaji kujua kutengeneza website ili iweje? Anahitaji kuwa na basic tu, vilevile Web Designer anahitaji kujua kuconfigure router ili iweje? Anahitaji kuwa na idea tu(basics).
 
Mimi najua C++ nipe kaZi
mkuu wajua C++ TUU:cool::cool::cool::cool: hahaha,,,
 
Back
Top Bottom