DOWN TOWN KITAMBO
Kuna Mshkaji wangu mmoja, kipindi hicho naishi Segerea.. Siku moja, ilikuwa Jumamosi, akanipitia home, akaniambia twende Mikocheni saloon.
Kweli pamoja na kuishi Segerea, bado misele yangu mingi ilikuwa around Mikocheni na viunga vyake. Sasa nikamuuliza what's so special...
Mimi ni Mfaransa na nchini yangu Askari Polisi walipiga mtu mweusi na walimsema "Sale nègre" (Mtu mweusi chafu).
Video imetazamwa zaidi ya mara 10 Milioni kwenye Twitter
Marejeo :
Ulikuwa umejijengea heshima ndani na nje ya nchi, ndani na nje ya bunge, tambua nguvu na heshima yako ilijengwa na sapoti ya wananchi waliokuzunguka hasa wanachama na viongozi wenzako wa Chadema ambao leo unataka kuwasaliti.
Kumbuka ulipokuwa jela ni wanachadema hawa hawa walikuchangia utoke...
Yaani huyu jamaa ana roho ngumu sana kaamua kuchanganya wote maana mdogo mtu ni mzuri kuliko dada mtu ila kinachoniuma mdogo mtu bado anasoma na kingine zaidi najiuliza endapo kwa bahati mbaya iwe sasa jamaa ni mwathirika sasa si atakuwa kashawamaliza dada na mdogo wake? Kingine namlaumu sana...
Wakati kina Zitto, Sarungi, kina Lissu n.k wakiendelea kusambaza uongo juu ya nchi yao na hali ya kisiasa nchini, kule kwa wenzetu Ulaya, Amerika na sehemu zingine zilizostarabika na kuheshimiana, kusema uongo tu ni sababu tosha ya kuwajibishwa kisiasa na hata kutolewa katika nafasi mtu...
Kuna uwezekano mkubwa Kijana na Mwanasiasa Machachari nchini Uganda Robert Kyagulanyi ( alias ) Boby Wine akawa ana Ndugu yake wa Damu kabisa huku Tanzania aitwae Maxence Melo ila bado hajafahamishwa tu. Ukiwaangalia hawa Wawili wala hutopata shida kuhisi kuwa huenda wakawa ni Ndugu kabisa kwani...
tuko katika mkakati wa kutengeneza na kukuza brand yetu mtu wa masoko ni muhimu hivyo basi
kama unadhani ww ni mbunifu, mchapakazi ,unafikiri nje ya box ,
tuambie kwanini ni ww na si mwingine kwa maneno machache tupe pia uzoefu na ujuzi wako kwa kifupi
Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.
Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani...
Wakuu naomba niipongeze serikali kwa jitihada zake inazofanya katika kuhakikisha ile heshima ya jinsia zote inalindwa.
Tukiangalia katika majeshi hasa jeshi la polisi utakuta kuna askari wa kike ambao kama itatokea muhalifu ni mwanamke basi askari yule hakuajiriwa kwa bahati mbaya bali hiyo...
Mkurugenzi mtendaji wa JamiiForums amesema anashukuru sana kwa kuwa sasa ni mtu huru kutembea nje ya Dar-es-Salaam bila kizuizi chochote cha kisheria.
Awali alikuwa na zuio, ambalo lilikuwa linamtaka apate ruhusa maalumu ya kutoka nje ya Dar kutokana na kesi zilizokuwa zinaikabili JamiiForums...
Usitweze utu wa mtu kwa sababu ya cheo au nafasi ulioko maana alie kupa wewe ndie amewanyima wale na sio aliwanyima kwamba hawafai lahasha alikupa tu wala ukimuuliza why alikupa atakujibu neno moja tu nampandisha yeyote nimtakae na kumshusha yeyote nimtakae.
Why mnanyanyasanya kwa vyeo na...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi amefafanua vizuri kauli yake ya kutoka jalalani mpaka kuwa Waziri.
Ikumbukwe hapo awali wafuasi wa CHADEMA kwa upofu wa kutokujua neno la Mungu nikimaanisha Biblia wengi walisema kwamba, Prof. Kabudi alimaanisha...
Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli amesema uchaguzi mkuu wa 2025 utatoa fursa kwa vijana kwa sababu zaidi ya 65% ya wapiga kura ni vijana
Rais Magufuli ametoa mfano wa mh Lukuvi kwamba hawezi kuwa Rais wa JMT 2025 kwa sababu atakuwa na miaka zaidi ya 70.
Maendeleo hayana vyama!
=======
RAIS...
William Lawlis Pace aliyezaliwa Februari 27, 1909 alipigwa risasi kwa bahati mbaya Oktoba 1917, akiwa na umri wa miaka 8.
Risasi hiyo ilipelekea apoteze uwezo wa kusikia kwa sikio la kushoto, na uwezo wa kuona kwa jicho lake la kulia.
Mbali na ulemavu huo aliishi kawaida, alifariki Aprili 23...
Wakuu habari.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22. Nina wazo la muda mrefu wa kuanzisha kituo cha michezo ya video kwenye playstations.Ila kinachonipa ugumu ni mtaji wa kuanzia.
Npo sehemu ambayo ni mji mdogo ila huduma hii haipo na utafiti mdogo nilioufanya vjana wengi wanatamani...
Habarini za mchana bandugu, natumaini nyote wazima wa afya telee.
Nadhani mutakuwa mmeelewa head inavyosomeka.
Kwanini, mtu mweusi hususani mtanzania hupenda kuongea kiswahili na kupitishia kiingereza, wakati anaeongeanae ni mtanzania mwenzie ama mswahili mwenzie!! Kwanini Mzungu anaongea...
Umuofia Kwenu wana JF,
Kwa uchunguzi na utafiti nilioufanya,wengi wa watu walioficha Last seen na Read receipts kwenye whatsapp wana makandokando katika mishe wanazofanya...Ukitaka kujua mtu kama ni wa magumashi angalia whatsapp ,kama kaficha last seen na read receipts kuna kitu anakimbia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.