mtu

  1. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mama Salma Kikwete achukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea jimbo la Mchinga kupitia CCM

    Salma Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Mchinga, Mkoani Lindi kupita Chama Cha Mapinduzi (CCM) Machi 2017, Salma ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM aliteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa...
  2. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli: Ubunge umekuwa rahisi na usiotisha tena. Kuna wa kulaumiwa au kupongezwa?

    Mimi si mtu mzima sana ingawa nami najongea miaka ya kuweza kugombea Urais wa Tanzania kwa mujibu wa Katiba yetu ya sasa(miaka 40). Hatahivyo, nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa siasa na mambo ya kinchi tangu nikiwa mdogo. Leo, nitalizungumzia Bunge kama Mhimili mmojawapo wa dola. Mingine, wengi...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Uzalendo na asili ya mtu katika kugombea uongozi

    Niliona mada ikihoji Mwinyi kutaka kugombea uongozi wakati ni mweupe kiasi kwamba mtoa mada anastaajabu ilikuwaje akaaminiwa kufanywa Waziri wa Jeshi. Kichwa cha habari kiliashiria kwamba mtajwa hana asili ya Kiafrika na kwamba hastahili kupewa uongozi huo. Napenda kuchukulia kwamba hoja ya...
  4. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanasaikolojia: Mtu huwa anafikiria kwa kutumia lugha anayoijua

    Kwa wanasaikolojia na wengine wote ambao mnapenda kudadisi mambo. Kwa kawaida ili mtu aweze kufikiria, lazima tumie lugha, na lazima iwe ni lugha anayoijua, kwa sababu kwa maana nyingine, kufikiria ni sawa na kuongea mwenyewe kimyakimya, na mtu hawezi kuongea kwa kutumia lugha ambayo haijui! Kwa...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna mtu anayependa kuishi Uswahilini. Hata sisi Waswahili tunatafuta nyumba na viwanja mbali na Uswahili

    Uswahilini mnakokukimbia ni wapi? Inawezekekana mnakimbia kushirikiana jiko, choo na bafu kwanye nyumba ya kupanga lakini hata Manzese, Mbagala, Mwananyamala kwa Kopa Kinondoni Shamba kuna nyumba self contained na gate kabisa mlangoni, ukiingia na gari yako hakuna mtu anaejua maisha yako...
  6. Mdha

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa Course za Masters zisizo za Kielimu, ambazo mtu mwenye Shahada ya Elimu( BED)

    Habari zenu waungwana. Naomba kufahamishwa kuhusu Course za Masters zisizo za Kielimu, ambazo anaweza kusoma mtu mwenye Shahada ya Elimu ( BED).
  7. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Alaska imetua kwa dharura baada ya abiria mmoja kutisha kuua kila mtu wasipokubali Yesu alikuwa mtu mweusi

    Mzuka wanajamvi Mimi ni kati ya watu nayempenda Yesu kupita maelezo na huniambii kitu. Ila dah kumfananisha Yesu na wamatumbi hiii nakataa aisee. Dunia kweli haishi vituko. Leo ndege ya Alaska airlines imelazimaka kutua jwa dharura baada ya abiria kutishia kuua abiria wengine wote wasipokiri...
  8. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Roho nzuri ilivyomtajirisha mtu aliyempenda kuhudumia Mteja mwenye roho mbaya aliyesuswa na wahudumu wote

    Kuna watu hususa kuhudumia wateja wakorofi na wenye roho mbaya Huyu mhudumu alijikuta akipata utajiri kwa kuhudumia mteja mwenye roho mbaya.Kuna la kujifunza kwa wahudumia wateja
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja ameuawa na wengine wakijeruhiwa kwa kukatwa mapanga Handeni

    Mtu mmoja ameuawa huku wengine wanne akiwemo mtoto wakijeruhiwa wilayani Handeni mkoani Tanga baada ya kukatwa mapanga huku wananchi wakijawa na hofu kuhusiana na tukio hilo. Tukio hilo limetokea katika kitongoji cha Kwamagome kilichopo ndani ya halmashauri ya mji Handeni majira ya saa kumi na...
  10. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Aliyesoma Masters ya Educatin au Administration Open University

    Natafua mtu aliyesoma Masters ya Education au Administration Open University. Kama nitampata mtu huyo atajisaidia sana, please ni PM ili tuwasiliane.
  11. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vinavyothibitisha mtu hawezi kuambukiza wengine COVID-19 vitaanza kutumika katika nchi 15 duniani ikiwemo Afrika Kusini

    Utangulizi: Nchi kumi na tano, Italy, Portugal, France, India, the US, Canada, Sweden, Spain, South Africa, Mexico, United Arab Emirates and the Netherlands zimekubali kuingia rasmi kwenye mfumo wa kutumia vitambulisho vinavyo thibitisha kwamba mtu hawezi kuambukiza wengine C-19, COVI-PASS...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Wasifu: Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Rais ajaye wa Zanzibar

    Hakuna cha Makame Mbarawa wala nani. Huyu ndiye atayeiingiza Zanzibar kwenye karne ya 21. Wasifu wake ni huu hapa: Dk Hussein Mwinyi ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli. Kiongozi...
  13. MAMESHO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usiweke imani yako kwa mtu au kitu

    Habari wakuu. Natumai mu wazima wa afya na bado mnachukua tahadhari za COVID 19. Pengine kichwa cha habari kimekuvuta upite hapa. Karibu sana. Kati ya vitu ambavyo vimenisaidia kukomboa fikra moja wapo ni hiki ninachokueleza leo. Umewahi kuwaamini watu ukawapa dhamana ya jambo fulani na hata...
  14. Mshika Tester

    JamiiForums Tanzania Unaelewa nini unaposikia Mtu akisema yeye anasomea Computer?

    katika fani ambazo zimejificha na siyo rahisi mtu kujua manufaa ya kusoma ni fani za Computer. Zamani niliamini ya kwamba mtu hana haja ya kusomea Computer anaweza kujifunza kama vile ilivyo simu. Hivi na wewe unaamini kama nilivyokuwa na amini mimi au wewe unamtazamo gani mtu anaposema...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Eti huyu mtu leo ndio kiongozi wa CCM na ndiye anaikataa Tume Huru ya Uchaguzi

    Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele . Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
  16. Kulupango

    JamiiForums Tanzania Kodi ya nyumba imetaka kumliza mtu, tuweni makini

    Kuliluwa na stress za kodi ya nyumba ya mama mwenye nyumba, na pesa ilikuwa imeshapatikana kwa ajili ya kulipwa, khafla meseji hiyo ikaingia. Jamaa akataka kuituma lakini roho ikasita, kumfata mwenye nyumba kasema hiyo meseji haitambui na wala hajatuma meseji hiyo na wakati matukio ya kuzoza...
  17. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Watanzania hutembea miendo mirefu kwenda kazini kwa miguu Marekani mtu katembeaa kilomita chache tu kwenda kazini kapewa gari na kuitwa mfano wa kuiga

    Watanzania hutembea miendo mirefu kwenda kazini kwa miguu Marekani mtu katembeaa kilomita chache tu kwenda kazini kapewa gari na kuitwa mfano wa kuigwa na Kila mmarekani!! Toa maoni
  18. wickerman

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: Hivi ni mimi tu au kwenye simu hakuna emoji ya mtu alievaa headphones?

    Nimeamua ku-skip google kidogo maana ni kitu sikutegemea. Nimeshindwa kupata emoji iliyovaa headphones. Nikashtuka kidogo. Naomba kuuliza kwa wenzangu kama nyie kwenu ipo? Uzi Tayari.
  19. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu kwa nini timu ya taifa ya Argentina haina mtu mweusi

    Ni swali ambalo wanamichezo mbalimbali huwa wanajiuliza karibu kila siku, kwa nini timu ya taifa ya Argentina 🇦🇷 haina mtu mweusi?. Kwanza kabisa tofauti na imani ya wengi baada ya Afrika bara la Amerika Kusini ndiyo lenye watu weusi wengi zaidi wakikadiriwa kuwa zaidi ya milioni 170 huku...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Picha: Gari la serikali na mafuta ya serikali mtu anatumia shangingi hilo kwenda kulewa na kubebea malaya kwa Kodi za walala hoi

    Kuna watu wamepinda nyie acheni. Pamoja na mkwara wa waziri mkuu lakini wapi! SHANGINGI hilo, jana usiku mtu kalewa nalo chakali!
Back
Top Bottom