Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 664
Hiv mtu akisema yeye ni virgo, anamaanisha nini?
Unakuta mtu anasema I am a 🔱, sa sijui ndo wanamaanishaga nini.Virgo ni astrological sign, mengine ugugo kidogo mkuu
Ukigoogle unapata maana ya hilo neno na Ukigoogle kwanini watu hutumia kama wasifu hupati maana ya kuelewekaVirgo ni astrological sign, mengine ugugo kidogo mkuu
Daah hata sifa za watu wa sign hiyo hujaziona mkuu?Ukigoogle unapata maana ya hilo neno na Ukigoogle kwanini watu hutumia kama wasifu hupati maana ya kueleweka
Aries (Ram): March 21–April 19Unakuta mtu anasema I am a 🔱, sa sijui ndo wanamaanishaga nini.
Dah zipo nyingi, wanajuaga wenyewe bhanaDaah hata sifa za watu wa sign hiyo hujaziona mkuu?
🔱 Hii sio zodiac sign mkuuAries (Ram): March 21–April 19
symbol of Taurus
Taurus (Bull): April 20–May 20
symbol for gemini
Gemini (Twins): May 21–June 20
symbol for cancer
Cancer (Crab): June 21–July 22
Leo (Lion): July 23–Aug. 22
Virgo (Virgin): Aug. 23–Sept. 22
Libra (Scales): Sept. 23–Oct. 22
Scorpio (Scorpion): Oct. 23–Nov. 21
Sagittarius (Archer): Nov. 22–Dec. 21
Capricorn (Goat): Dec. 22–Jan. 19
Aquarius (Water Bearer): Jan. 20–Feb. 18
Pisces (Fish): Feb. 19–March 20.
Umejibiwa then unauliza tena, ok ziko zodiac/astrological signs (nyota kwa Swahili) 12, kila mmoja ana yake kulingana na siku na mwezi aliozaliwa, Wewe umezaliwa lini?
Heee! Basi ni sign ya illuminati, utakuwa umefurahi sasa!🔱 Hii sio zodiac sign mkuu
Kama huyo hapoAries (Ram): March 21–April 19
symbol of Taurus
Taurus (Bull): April 20–May 20
symbol for gemini
Gemini (Twins): May 21–June 20
symbol for cancer
Cancer (Crab): June 21–July 22
Leo (Lion): July 23–Aug. 22
Virgo (Virgin): Aug. 23–Sept. 22
Libra (Scales): Sept. 23–Oct. 22
Scorpio (Scorpion): Oct. 23–Nov. 21
Sagittarius (Archer): Nov. 22–Dec. 21
Capricorn (Goat): Dec. 22–Jan. 19
Aquarius (Water Bearer): Jan. 20–Feb. 18
Pisces (Fish): Feb. 19–March 20.
Umejibiwa then unauliza tena, ok ziko zodiac/astrological signs (nyota kwa Swahili) 12, kila mmoja ana yake kulingana na siku na mwezi aliozaliwa, Wewe umezaliwa lini?
Duh, ndio yamekuwa hayo?Heee! Basi ni sign ya illuminati, utakuwa umefurahi sasa!
Mkuu punguza fujo,mademu,pombe na kuchelewa kulalawazaliwa wa mwezi wa 8
Ahahahah nmeacha mbnMkuu punguza fujo,mademu,pombe na kuchelewa kulala
Kuna kitu unataka kusema, usiogopeDuh, ndio yamekuwa hayo?
Nimegoogle zodiac signs lakin hii sijaiona.Heee! Basi ni sign ya illuminati, utakuwa umefurahi sasa!
Anhaa, kumbe na mimi ni Capricorn nimeshaelewawazaliwa wa mwezi wa 8
Sasa wewe umechanganya vitu viwili uliulizia virgo ukajibiwa, katikati ya thread umechomekea hicho kisign! Ungeuliza moja kwa moja kuwa hiyo sign maana yake nini maana hata huyo aliyeweka hapo(Idris) nafikiri hakumaanisha zodiac signNimegoogle zodiac signs lakin hii sijaiona.
Ndio hicho ki-sign kwa mara ya kwanza nikadhani ni zodiac sign ndo mana nikakichomeka hapo, sio lazima kiwe ni zodiac au la, ila kama unajua maana yake unaweza ukaeleza tuSasa wewe umechanganya vitu viwili uliulizia virgo ukajibiwa, katikati ya thread umechomekea hicho kisign! Ungeuliza moja kwa moja kuwa hiyo sign maana yake nini maana hata huyo aliyeweka hapo(Idris) nafikiri hakumaanisha zodiac sign