Vijana wengi hukesha hata usiku kucha kusoma ili wafaulu mtongani
Akishamaliza vyuo na kupata vyeti hushinda tu akilalamika ajira hamna huku akikesha kuchat na simu kuhangaika kuangalia movie na ujinga mwingine wa mitandaoni.
Hakeshi kuwaza na ku-brain storm afanye nini ili apate pesa.
Vijana...
Wengi tumepigwa butwaa baada ya mitandao ya kijamii kama twitter na youtube kumfungia Raisi Donald Trump account zake huku wakati huo huo account za ma dictator zikiwa bado zinapumua bila bugudha yoyote.
Hali hii imeleta tafsiri ya wazi kwamba mitandao hii ya kijamii ina nguvu kuliko taasisi...
Nauliza tu maana naona wanaojiita wakimbizi wa kisiasa wakiendelea kujihusisha na masuala ya nchi yetu. Sheria inayohusu masuala ya wakimbizi inasemaje?
Mkasa huu nawaletea ulitokea kipindi cha mwaka 2013 nikiwa nasoma chuoni Arusha (IAA – Institute of accountancy Arusha) , nilikuwa na miaka 22
Miaka hiyo nilikuwa natumia ID nyingine humu JF, JF enzi hizo tulikuwa wachache sana humu jamiiforums maana smatphones zilikuwa bei sana, bando...
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa muongozo mpya wa upimaji kwa wanaosafiri kwenda nje ya nchi kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wanaoambukizwa #COVID19 na kuwepo kwa vimelea vipya kwa baadhi ya nchi
Wizara imetangaza kupanda kwa gharama za upimaji wakisema kuwa...
Leo nimeamini kua JK ni mjanja sana,. Check response yake kwenye maswali aliyoulizwa na Salama Jabir.
Salama: Kwanini watu wanakupenda sana.
JK: Waulize haohao wanaonipenda mimi sijui bwana
Salama: Lakini unajua kuwa tunakupenda
JK: (Pause kidogo)... Najua kuwa hamnichukii
Ila JK wewe sawa tu...
Hebu fikiria unaokota saa jangwani ungehitimisha kwa kufikiri nini? Je, ungedhani kuwa mtu amedondosha saa hio? Au ungedhani kuwa saa hiyo ilikuja yenyewe?
Kwa kweli hakuna mtu mwenye akili timamu atakayesema kuwa saa hiyo ilitokea tu katika mchanga. Saa hio lazima iwe na mtengenezaji...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania;
Je, ulishawahi kushuka na begi/mzigo wa abiria mwenzio kwa bahati mbaya? Mtu aliyeshuka na box langu la samaki mwaka 2012 sasa ni family friend.
Kuna kamsemo kamoja huwa kanatamba sana huku mitaani...
Kuna mambo mengi ambayo tunayaona mitaani mpaka wengine tunashangaa.
Mtu anapigiwa simu anatazama jina anapokea kisha huigeuza na kuanza mazungumzo. Watu wanajifanya kujua kuliko aliyetengeneza simu.
Huu ujuaji ungeambatana na uvumbuzi wa simu mpya ingependeza zaidi. Mtu hata kuunda batteries...
Kama kuna kipindi ambacho taifa la watanzania limeshudia mambo ya ajabu basi ni hiki kipingi cha awamu ya tano
Kumekuwa na utendaji kazi ambao umeshangaza sana watu.Wasimamizi wa sheria wamegeuka kuwa kama wild animals.
Ila tunashukuru sababu watanzania nao sio wajinga,ukizingua wanakuchana...
OCD wa Wilaya ya Hai alihamishiwa Kilosa mwezi wa 12, huyu alikuwa sehemu ya Wilaya ya Hai kutokuwa tulivu kisiasa wakishirikiana na DC sasa amehamishwa ila pamoja na kupewa barua ya uhamishwa alikuwa bado ana panchi ili asihame tukahisi kuna maslahi mapana sana ila hatimaye amehama.
Je...
Wakuu mambo vipi
Katika harakati za hapa na pale maisha unaweza kuchangia matokeo fulani kwa watu tunaoshirikiana nao.
Rafiki yangu mmoja aliniomba ushauri kuhusu kuoa (ingawa mwenyewe sijaoa ila nikatoa kama kocha hachezi ila ni mwalimu) nikampa ushauri huyo mwanamke yupo poa kabisa wewe komaa...
Wakuu kuna hili swali nimekua nikijiuliza, ika nikaona ni bora nipate na mawazo ya wadau kutoka humu kwa katika jukwaa hili la Great Thinker.
Hivi inawezekana mtu kufanya uhalifu(wizi) kwa kupata Account/Akaunti namba ya mteja wa Benki fulani?
Sijui nimeeleweka wakuu.
Habari za mchana,
Ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa nikijiuliza sana kuhusiana na swala hili la kuoa mtu wa kabila tofauti, Na nimeshindwa kufikia muafaka, nawasilisha kwenu nanyi mnisaidie mawazo.
Natanguliza shukrani, mchana mwema.
Tizama mwenywe dakika ya 32 - 37 na 47- 49:30 ama kama unaweza tazama yote.
Katabiri mengi yatakayojiri 2021, lkn mm nimechukua ya kisiasa tu.
1. Wakuu wa mihimili 3 mmojawapo atapata shida kubwa ya kiafya na kupelekea ku-rest in peace.
2. Mmojawapo wa viongozi wakubwa wa ccm ataingia kwenye...
Wakuu nina shamba langu liko chanika sasa nimeplan kulima Kilimo cha Mapapai. Naomba msaada wa kupata mtaalamu wa Wa kufanya drip irrigation.
Kuanzia mambo ya setup mpaka mambo ya ushauri na kila kitu. Ukubwa wa shamba ni kama hekari 3 but kilimo cha papai nitafanya kwa hekari moja tu.
Kwa...
Wajuzi naomba msaada.
Ndugu kafa. Ana akaunti benk ila password hazijulikani pia ana mpesa na pesa zipo ila no password. Mkewe ana death certificate. Atapataje pesa za mmewe? Pia ana cheti cha ndoa.
Msaada
Hapa tuzungumzie maeneo ya utalii yanayopatikana maeneo yetu. Maeneo ambayo hata kwa miguu unaweza kwenda na haulipishwi chochote. Weka maeneo ya utalii yanayopatikana kwenu, utalii wa ndani siyo uende Serengeti.
Jiwe la Bismarck Mwanza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.