mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,208
- 1,755
Haswa kwa wanaume, ila wanawake mnajielewa sana pongezi kwenu.
Basi siku za hivi karibuni kila mtu anataka kuwa developer, oh! si dhambi, lakini inagharimu muda, pesa na nguvu.
Mtu anashida flani inayohitaji developer basi anajifanya mjanja mjanja huku anataka solution bila kughalimia. Anachokifanya anaweza omba ushauri anywhere akikutana na watu wanamwambia maybe haitaji developer ati atumie CMS or web builder(hii ni kwa upande wa web development), hawezi pima uzito. Basi jamaa anaanza kukomaa huku hana misingi ya muhimu, basi yeye na youtube, yeye na google, mh! utafanya biashara saa ngapi?.
You don't know about security trending hata SEO, usability techniques e.t.c sasa tukija kwenye code ndo usiseme, kwanini ujisumbue na profession za watu na wakati wapo. Ona kuna CMS kibao, web builders na nini sijui, but bado watu wanafeli kusolve issue zao na wanaojitutumua bado solution zao hazina mvuto kwa wateja ndo kinachosababisha kukosa wateja.
Kama uko serious na kitu na haujui tafuta mtu anayejua akusaidie naam umlipe. Mimi naamini siku zote wapo wabongo wazuri tu kwenye hii profession kazi yako wewe ni kujua yupi anafaa yupi hafai cha msingi ni kufikia hatma yako kibiashara.
Mtu serious hapotezi muda.
Narudia tena hii profession inawatu special, na inasomewa na watu serious kabisa.
Vinginevyo unatania,
Unatakiwa ujue nini kinatakiwa hapa, nini hakitakiwi na kwanini.
Kama unatia shaka juu ya kiwango cha pesa ulichoambiwa wewe fanya comparson na yale ya mtandaoni kisha amua ununue au uajili developer, kibaya zaidi hata ukinunua huko bado kuna mambo yanahitaji developer utakumbana nayo.
kifupi namaanisha hivi, ukiwa na shida inayohitaji mjuzi usijifanye unajua tafuta mjuzi.