mtu

  1. JamiiForums Tanzania Mtu baada ya Mtu, Kitabu kipya cha Yericko Nyerere

    Kitabu cha MTU BAADA YA MTU kinahusu mambo ya intelijensia na Usalama, msingi mkuu wa Kitabu hiki kinamuelezea mtu mmoja ambae ni Mtanzania aliyetajwa kwa jina la Kijana wangu, Kitabu kimeeleza chimbuko la Kijana wangu toka kizazi chake cha sita, kimeeleza kuzaliwa kwake kwa maajabu, ktabu...
  2. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwa mtu ambaye ana uzoefu na biashara ya Apple

    Wakuu habari zenu mimi nipo Arusha ila nilikuwa nataka nianze biashara ndogo ndogo nilikuwa nataka nianze kuuza apple kuwafata wateja mahali walipo maana yake kutembeza. Sasa nilikuwa nataka nijue mwendo wa biashara sasa hivi ukoje mtaani kwasababu nimefanya biashara mda kidog na pia kwa mtu...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kwanini unajenga nyumba ya ghorofa?

    Wazungu walijenga nyumba za ghorofa kutokana na uhaba wa ardhi kwao. Nimekutana na Wafrika Magharibi pia mawazo yao ni ya kujenga ma ghorofa. Nikipowauliza sababu waliniambia kwao ardhi ni ghali sana. Kupata kiwanja cha kujenga nyumba inakulazimu uwe na kuanzia milioni 20 kwa pesa ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mtanange wa kimataifa, Simba yafanya mauaji ya 'kimbari'. Yampasua mtu 5

    Ni 5G. Pongezi Gadiel Michael Kamagi, C. Mugalu,Moquisone, M.Kagere na beki kitasa Ame. Kongole kwa S.Ndemla kwa attempts za hatari..S.S.C na sisi mashabiki tunajivunia Kahata, Ajib kwa zile mov'ts zao za hatari. Kwa performance ile Kombe la FA, Kombe la VPL 2021 lazima vitue pale...
  5. JamiiForums Tanzania Kimfaacho mtu chake wahenga hawakukosea

    Miaka 20 iliyopita kuna mtu alinipa habari ya nyumba inayouzwa, hii familia ilikuwa inamuuguza mzazi wao na katika shida waliuza nyumba ya familia. Mjengo ulikua vyumba sita na uani choo cha shimo, bafu na jiko, pamoja na vyumba vitatu vya ziada. Sikutegemea kama nitaishi mitaa ile. Nilionana...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nafanyaje kama line yangu ilipotea nataka ku-renew ila naona kuna mtu kaisajili kwa jina lake?

    Inakuwaje waheshimiwa? Line yangu ya airtel nilipoteza na niko kwenye mpango wa kuchukua loss report ili ni re-new ila tatizo ni kuwa kuna mtu anatumia hiyo namba tayari na naona kaisajili kwa jina lake sio langu tena, sijajua wametumia utaratibu gani. Nafanyaje wakuu?
  7. JamiiForums Tanzania Nguvu za giza zimevunja ndoa ya jirani yangu

    Jamaa alikuwa anaishi vizuri na mkewe,wameoana kwa shangwe na furaha kubwa, wakabahatikiwa kupata mtoto mmoja katika ndoa yao. maisha ya ndoa yalianza kubadilika baada ya rafiki yangu kuanza safari za kikazi mara kwa mara,ndipo shemeji akaanza tamaa za kimapenzi kwa kijana mmoja mkopesha...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria; Ni muda gani unaruhusiwa mtu kukata rufaa kutoka Mahakama kuu kwenda Mahakama ya rufaa kwa kesi za madai?

    Ninawiwa kusaidiwa kujua ni muda upi kisheria ambao mtu aliyeshindwa kesi ya madai Mahakama Kuu-Ardhi atakuwa ndani ya muda kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaa. Swali langu linajengwa na case ground ifuatayo japo kwa ufupi sana. Mnamo mwaka 2014,Jamaa yangu Mjasiriamali aliomba na kupewa...
  9. JamiiForums Tanzania John Mnyika usitetee uovu, kama kuna mtu anahusika kutafuna mali ya umma acha apate hatua stahiki

    Kama mtanzania mpenda ukweli nimefarikija kuona PCCB wakitoa taarifa kuwa bado wanaendelea na uchunguzi juu ya ubadhilifu wa bil 8 zilizotafunwa na viongozi wa Chadema. Mbali ya hayo wamesisitiza kuwa wataendelea na uchunguzi juu ya ubadhilifu uliokuwa unafanyika kwenye mifuko ya majimbo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Muda niliopoteza kwa mtu asiyesahihi unanicost, je naweza pata mke tokea mtandaoni akawa mwema?

    Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, nataman kua na mwenza lakin kila nikiwaza jinsi ya Kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu, Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Muda niliopoteza kwa mtu asiye sahihi unanicost, Umri unaenda nataka mke. Je, inawezekana akapatikana mtandaoni akawa mwema?

    Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, natamani kuwa na mwenza lakini kila nikiwaza jinsi ya kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu. Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi...
  12. JamiiForums Tanzania Tuumize ubongo wetu kutafakari kwa kina: Je, waliomuua Alphonce Mawazo hawakutumwa na mtu?

    Leo asubuhi nimetoka home Bukoli na kwenda zangu Katoro ili kuwaona washikaji,kama ilivyoada ikanilazimu nizame vijiwe vya kahawa ili kupata story mbili tatu za wadau. Story kubwa ni kijana ambae alikuwa mjasiri na mpambanaji. Ambae alipoteza uhai wake kwa sababu ya siasa za kinafiki za Afrika...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini uliamua kufanya mapenzi na Mke/Mume wa mtu?

    Baadhi yetu mtaichukulia hii posti kama ni ya ujinga flani hivi. Ila nadhani wachache watanielewa ninachomaanisha. Kila mtu anajua kuwa mke wa mtu / mume wa mtu ni sumu lakini katika mazingira yaliyotuzunguka unaweza ukajikuta umeangukia katika mikono hiyo ambayo sio salama hata kidogo...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga ipo miguuni mwa mtu huyu mmoja

    Yanga kwa sasa inaweza kukupa burudani ambayo hata mpenzi wako hawezi kukupa, inafurahisha eeh? Wana umoja, hawakati tamaa kizembe, spirit ya kufight. Na safu nzuri ya ulinzi. Wanapewa sifa wengi lakini wanamsahau bwana mdogo mmoja. Well, utaona tu yanga wanapopata goli, kocha kaze anamuita...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana mwenye uzoefu wa mauzo

    Natafuta kijana mwenye uzoefu wa mauzo au hana uzoefu lakini akionyeshwa fursa anaweza kuchakarika kuigeuza bidhaa kuwa fedha. anaweza kuwa na elimu ya kidato cha Nne, Sita, cheti au stashahada kwenye masoko. aliye tayari kujituma na kukabidhiwa biashara ili apambane. Uaminifu unatakiwa kwa...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Hakuna wa kumfikia Adson Arantes Dos`Nacimento (Pele)

    Mods tafadhali msiunganishe uzi huu na mwingine wa kuhusu PELE` Jamani hamna wa kulinganishwa na Pele` wa Brazil. Hamna wa kumfikia Adson Arantes Dos`Nacimento(PELE). Pele wa Brazil ndiyo mchezaji wa mpira wa miguu wa hali ya juu zaidi kuwahi kutokea duniani mpaka sasa, mimi hapa mwenye uzi...
  17. JamiiForums Tanzania Mikasa ya Dunia: Mtu asiye na Kivuli, anayeweza kuwa sehemu mbili kwa wakati Mmoja

    Ni siku ya Pili sasa nipo Tanga na hapa leo nimekutana na jambo la kushangaza sana. Nikiwa nmepark gari wanaosha nikaona ni vyema nikae sehemu nipate Dafu pia na kubadilishana mawili matatu na wenyeki kwenye Bench wakicheza Draft. Hii dunia imejaa visa,mikasa,vioja na maajabau yake.kuna mambo...
  18. JamiiForums Tanzania Sina kazi na nahitaji pesa km kuna mtu ana kazi/kibarua cha muda na anahitaji usaidizi au mtu wa kufanya tafadhali nipo hapa

    Kama kichwa cha habari hapo juu mm ni me umri ni late 20s, nipo dar es salaam kwa sasa elimu ni shahada ya maendeleo ya watu na ninafamilia kwa mwenye kazi ninamudu kazi mbalimbali za kutumia nguvu na za akili pia nahitaji nipo teyari kuifanya kazi yako vizuri. Kwa mwenye kazi au connection...
  19. JamiiForums Tanzania Nimesomea masuala ya Utalii na Hospitality naomba kazi, nipo tayari kujitolea ili kupimwa uwezo wangu

    Habari, Tafadhali ninakuja kwenu, ni mhitimu wa hivi karibuni wa Shahada ya BCom. Tourism and Hospitality Management ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Sina uzoefu popote unaoweza kuonekana ila ni mchapakazi mbunifu na mwenye uwezo mkubwa wa kujifunza mambo mapya kwa haraka. Ninaweza...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kupata wapi vifaa vya mazoezi kwa mtu aliyekuwa amepalarise kwa DSM

    Habari Jf Doctor, Nina Baba yangu wa hiyari,alipata stroke ya upande wa kulia kwa bahati nzuri alitibiwa pale Moi na kurudisha fahamu vizuri kabisa na hatimaye kuruhusiwa kutoka hospital. Alikuwa akifanya mazoezi kwa siku 3 per week hapo njia panda ya kwa mzee wa Upako kuna kidispensary cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…