mtandao

  1. JamiiForums Tanzania Watumiaj wakongwe wa smartphone: Mtandao ambao isipite siku hujachungulia

    Asalaam aleikum. Kila siku kuna watumiaj wapya wa mitandao mbalimbali ya kijamii na internet kwa ujumla. Nichukue ukurasa huu tusaidiane kujua mitandao yenye faida kwa kila mpenda habar, maono, hekma na mambo ya kufaidisha kupitia simu ya mhusika. Wengine wanakuwa na hamu tu ya kumilik simu...
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

    ==== TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA KWA KOSA LA KUHAMASISHA MAANDAMANO HARAMU Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam leo tarehe 15.02.2021 limefanikiwa kumkamata anayejiita Askofu EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA wa kanisa la Uamsho la...
  3. JamiiForums Tanzania Tutaponea wapi sisi Watanzania baada ya Serikali kututupa mkono? Airtel nao washusha kiwango cha Data

    Watanzania kama ilivyo ada tumekuwa wanyonge mpaka basi. Tumekubali kukamuliwa kila sehemu na Serikali imeamua kuendelea kutunyonya mpaka damu. Kifurushi cha Airtel cha Tsh 1,000 kwa GB 1 nacho kimepunguzwa. Sasa ni MB 500 kwa tsh 1000 ndani ya siku 3. Tunajua Serikali nayo inafaidika na...
  4. JamiiForums Tanzania Chanel 10 tv ya CCM yazungumzia matumizi ya VPN baada ya mtandao kufungwa huko Mynamar

    Kumbe Channel Ten inatambua kwamba serikali zinazofungia mitandao ya kijamii ni za kidikteta. Kwenye taarifa Yao ya habari wamezungumzia udikteta wa serikali ya kijeshi ya Myanmar iliyofungia mitandao na kufanya watu watumie VPN. Chanel ten wakumbuke kwamba hata serikali ya ccm ilifungia...
  5. JamiiForums Tanzania Waanzilishi wa jukwaa la GigSpace wawaasa vijana kutumia fursa za teknolojia ya mtandao

    Ofisa Mtendaji Mkuu na mbunifu wa jukwaa la Gigspace, Ashura Babi, akiwa na mwanzilishi mwenza, Steve Mawalla, wamesema waliamua kuanzisha jukwaa hilo kwa ajili ya kuwaongezea na kuwafungulia vijana pamoja na wafanyakazi fursa pia za ajira kupitia mtandaoni. Akizungumza katika mahojiano na...
  6. JamiiForums Tanzania Nitaoa sura mbaya wa kawaida sana kutokana na uchunguzi huu kwenye mtandao

    Habarini za asubihi na shikamoni wakubwa na wadogo zangu hamjambo vijana wenzangu mambo vipi. Mimi napenda sana kuchunguza chunguza mambo na kuwapima watu akili hasa hawa jinsia ya 'she' Niliambiwa kwenye mtandao kuna wanawake wazuri sana na ni kweli ni wazuri na pia ni wasomi wazuri sana...
  7. JamiiForums Tanzania Mtandao - Jini linalosumbua ofisi za Serikali Tanzania, TANESCO hawakosi

    Habari Wadau. Imenibidi niseme tena maana najua imeshasemwa sehemu kibao. Kwa serikali yetu hii ilivyo kasi katika kutuletea maendeleo naona suala la mtandao wa internet limekuwa tatizo kubwa hata katika awamu hii. Mfano unaenda TANESCO kujaza fomu ili uwekewe umeme lakini inamaliza hadi wiki...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Naomben kujua nawezaje kujua namba ambao haijasajiliwa katika mtandao husika ili niisajili mm

    Habar wadau Hope kila mmoja anajua namba ya simu ni kitu muhimu sana na unapaswa kuishika sasa kwa hapa nchin mitandao ya simu ipo ming sasa kwa akili za kawaida mtu huwez shika namba zote yaan namba yako ya tigo,voda,airtel,TTCL Halotel na zantel zote umezishika hapana hii sio sawa japo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa wizi wa magari wanaswa Njombe

    Jeshi la polisi mkoani Njombe linawashikilia watu watano wanaodaiwa kuhusika na mtandao wa wizi wa magari nchini ambao wamekutwa na magari Saba yanayosadikiwa kuibwa katika mikoa ya Dar es salaam, Mbeya na Singida. Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Njombe, – Hamis Issah amesema wezi hao wamekuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Yawezekana utapeli wa mtandao maarufu kama "tuma kwenye namba hii" ukawa unaratibiwa

    Habari wana JF, Leo nimeanza kuamini kuwa wale jamaa wa TUMA KWA NAMBA HII ni matapeli walio kwenye ama makamouni ya simu ama mabenki yetu. Leo nimetumiwa kiasi fulani cha fedha kwenye simu yangu. Aliyenitumia ametumia bank kuja kwenye mtandao wa simu. Kabla hata sijamaliza kusoma ujumbe wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna faida kubwa kwenye mfumo wa tiketi mtandao kwa ukataji tiketi kuliko hasara zake

    Ndugu Wasomaji, Mwanadamu siku zote ana tabia ya kuwa mzito kupokea mabadiliko hata yale yenye faida kwake, kwakuwa tu hajazoea mabadiliko hayo. Hofu inamtawala zaidi kuhusu madhara ya mfumo kuliko faida zake. Lakini pia mfumo wowote mpya ili utekelezwe lazima watu fulani waumie ama ni kwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe mtandao wa Twitter unaweza kuhatarisha usalama endapo utatumika vibaya, ndio maana huwa unafungwa!

    Hapa Tanzania Huduma ya twitter haipatikani kwa uhakika hasa baada ya uchaguzi, inawezekana ni kwa sababu za kiusalama. Rais Uhuru Kenyatta alifunga akaunti yake ya twitter kwa madai kuwa mambo yaliyojaa huko ni kejeli na kuvunjiana heshima na yeye hana muda na mambo kama hayo. Nchini Marekani...
  13. R

    JamiiForums Tanzania China yajenga mtandao wa kwanza wa mawasiliano ya habari wa Quantum

    China yajenga mtandao wa kwanza wa mawasiliano ya habari wa Quantum wa ardhi na setilaiti duniani Chuo kikuu cha sayansi na teknolojia cha China kimetangaza kuwa timu ya utafiti ya China imefanikiwa kutimiza ugavi wa ufunguo wa siri (Secret-Key) wa Quantum wenye umbali wa kilomita 4600, ambayo...
  14. JamiiForums Tanzania LATRA yawataka wenye mabasi ya abiria kuanza kutumia tiketi za mtandao, watakaoshindwa kufanya hivyo kufutiwa leseni

    Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini ( LATRA ) imetangaza kwamba hadi kufikia January 6 mwaka 2021 mabasi yote yawe yameanza kutumia tiketi za mtandao, vinginevyo watafungiwa kutoa huduma hiyo . Bado haijajulikana sababu hasa za wenye mabasi ya abiria kulazimishwa kufuata utaratibu huu mpya huku...
  15. JamiiForums Tanzania Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

    Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka. Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora Japo Magufuli anaongoza...
  16. JamiiForums Tanzania Serikari yabaini mtandao wa watu wanaowaleta walemavu na kuja kuwatumikisha hapa Dar es salaam

    Serikali imegundua mtandao wa watu ambao uwakusanya walemavu nchini na kuja kuwatumikisha mjini Dar es salaam kwa ajili ya kujipatia kipato. Walemavu hao wapatao 25, wamegundulika wakiwa wamehifadhiwa katika gesti moja hapa Dar es salaam maeneo ya Tandare karibu na Manzese. Timu ya viongozi...
  17. JamiiForums Tanzania Je, mtandao wa Smile umefunga virago Tanzania?

    Network haipatikani. Website yao haifunguki. Simu hawapokei. Page zao za facebook na insta zipo kimya tangu october. Kuna waliolipia vifurushi vya mwezi, siku zinaenda tu na hua hawafidii vifurushi network ikikata.
  18. JamiiForums Tanzania Hivi hii kampeni ya Jazwa Ujazwe ya Mtandao wa Tigo ina ukweli wowote?

    Naomba yeyote aliyeongezewa muda wa maongezi au MB kama mpiga debe wao Joti anavyotangaza hadharani aniambie, nafahamu kwamba ukiongeza muda wa maongezi unaletewa sms ya kwamba umepewa MB kadhaa, sasa kiuhalisia ukiacha hiyo SMS kuna kweli wa hizo MB na unazionaje na zinaishaje? Nimeuliza kwa...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Smile ni kweli na nyie mmeanza wizi?

    Ukatikaji wa mawasiliano katika mtandao wa smile kwa sasa limeanza kuwa jambo la kawaida sana. Kila wakati mtandao wao unapotea hewani na hawatoagi feedback yoyote unaporudi kwa wateja wao. Ila pia kinachokwaza ni wizi unaoendelea kwa hivi sasa. Kwa mara kadhaa umeshawahi kupotea na bundle za...
  20. JamiiForums Tanzania Network marketing (biashara mtandao), sekta muhimu kwa uchumi ambayo inahitaji kutolewa elimu na kutungiwa sera

    WTF
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…