Naomben kujua nawezaje kujua namba ambao haijasajiliwa katika mtandao husika ili niisajili mm

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habar wadau
Hope kila mmoja anajua namba ya simu ni kitu muhimu sana na unapaswa kuishika sasa kwa hapa nchin mitandao ya simu ipo ming sasa kwa akili za kawaida mtu huwez shika namba zote yaan namba yako ya tigo,voda,airtel,TTCL
Halotel na zantel zote umezishika hapana hii sio sawa japo inawezekana lkn ni matumiz mabaya ya servwr ya ubongo ukizingatia mambo ni meng pia kuna wengine wana line zaid ya moja moja km saving moja km transaction hvo zote anapaswa kuwa nazo kichwan

Sasa basi nikaenda kuongea na customer care wa TIGO,VODACOM,TTCL hawa wakaniambia ukienda na namba ambayo haijasajiliwa ukaisajili wanakubali sasa hapo ndio kasheshe linaanza ipo hv

Kwa apa nchin namba zote zinazotumiwa na wateja wa kawaida zina format hz

06ZY XXX XXX
07ZY XXX XXX

X ni namba yoyote tu

Z inategemea na mtandao mfano voda ni 74.75 na 76

TTCL wao ni 73
TIGO wao ni 71.65 na 67

Y hii namba haina 0 wala 1 ni 2 mpaka 9 na kila mtandao lazima usajili io namba TCRA kila server husika ina

Sasa basi kwa kuwa na logic io kuna namba nataka nitengeneze kwa mitandao yote ili hz Y XXX XXX ziwe sawa sasa nataka nijue kwa kuandika namba na kupiga maana kuna baadh ukipiga zinaita au zinasema namba uliopiga haipatikan kwa sasa hii ni logic kwamba namba io imesajiliwa ma **** baadh ukip[iga zinakata fasta na kuna nyingine zinasema namba unayopiga haipo apa nasikia either imefungiwa au haokasajiliwa ili nilipeleka namba kadhaa wakaniambia zimefungiwa
 
Back
Top Bottom