Mtandao wa Smile ni kweli na nyie mmeanza wizi?

ze_nigga

Member
Oct 5, 2016
7
45
Ukatikaji wa mawasiliano katika mtandao wa smile kwa sasa limeanza kuwa jambo la kawaida sana. Kila wakati mtandao wao unapotea hewani na hawatoagi feedback yoyote unaporudi kwa wateja wao.

Ila pia kinachokwaza ni wizi unaoendelea kwa hivi sasa. Kwa mara kadhaa umeshawahi kupotea na bundle za wateja hazirudishwi wala wateja kulipwa bundle zao.

Always SMILE WANAPIGA KIMYA KAMA VILE HAWAJUI NI HELA ZA WATU WAMEKULA BURE BURE.
TCRA NA Serikali kwa ujumla tunaomba mliangalie hili swala la wizi kwa mtandao wa SMILE
 

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,614
2,000
Jamani hata mimi ni muadhirika wa Smile communication wameshaniibia zaidi ya sh 10000 na ukiwapigia simu yao # 0662 100 100 hawapatikani bado nikaingia kwenye chat room yao FB no response
 

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,614
2,000
IMG_0908.jpg
 

Mtomawe

Member
Feb 3, 2019
92
125
Hawa huduma zao sikuhizi ni mbovu sana ,internet sio ya uhakika mara nyingi inakata tu na hawarudishii wateja hela,niliwahama toka mwezi wa 10
 

EliCohen

Senior Member
Jun 14, 2020
176
500
Mwanzo walikua excellent , Wakaanza magumashi, Sijui modem yao niliitupia wapi hata
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom