Tutaponea wapi sisi Watanzania baada ya Serikali kututupa mkono? Airtel nao washusha kiwango cha Data

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
4,380
2,000
Watanzania kama ilivyo ada tumekuwa wanyonge mpaka basi. Tumekubali kukamuliwa kila sehemu na Serikali imeamua kuendelea kutunyonya mpaka damu.

Kifurushi cha Airtel cha Tsh 1,000 kwa GB 1 nacho kimepunguzwa. Sasa ni MB 500 kwa tsh 1000 ndani ya siku 3.

Tunajua Serikali nayo inafaidika na mnyonyo huu,mkamuo huu. Wametukamua maziwa bila kutulisha. Sasa maziwa yamekauka. Wanaanza kutukamua Damu.

Watanzania, ilipanda sukari tukanyamaza, ikapanda bei ya mafuta tukanyamaza, inapanda bei ya vifurushi tumenyamaza. Tunataka ipande nini tuamke?

Mpaka sasa natafuta Mtandao Rafiki ambao utanisaidia upande wa Data niachane na Airtel. Please tushirikishane kama Halotel, Zantel au TTCL wana offer za kufaa za Internet Bundles.
 

BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
7,652
2,000
Halotel atleast
1000 MB 500 bila dakika wiki
2000 GB 1.6 bila dakika wiki
3000 GB 3 bila dakika wiki
5000 GB 6 bila dakika wiki
10000 GB 13 bila dakika wiki
15000 GB 25 bila dakika wiki

10000 GB 10 bila dakika Mwezi
15000 GB 16
20000 GB 22
30000 GB 34
50000 GB 60

1000 GB 1 Halopesa wiki
3000 GB 3 na dakika 30 Halopesa wiki
3000 GB 3 bila dakika wiki
10000 MB200 sms 50 na dakika 1250
 

Mnyatiaji

JF-Expert Member
Dec 13, 2018
1,889
2,000
Naona ligi ya BPL..(Bundle Premier League) imechangamka sasa baada ya Mtanange wa kwanza!

VPN - TCRA (3-0)

Mechi Ziliofuata...

TCRA - MITANDAO (4-1)

MITANDAO - RAIA (4-0)

Hahaha bado league inaendelea lakini mambo matamu.
Tusubiri majibu ya Ndugulile
 

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
56,134
2,000
Kitu gani kinawazuia kuwasusia hao wanaoweka beinza ajabu?

Mmaelewa kwamba mkifanya kampeni ya kususia mitandao yenye bei au huduma za ajabuajabu, na kususia huku kukapata wafuasi wengi, hakuna kampuni itakayoweza ku survive bila wateja?
 

Narubongo

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
2,567
2,000
Mmeambiwa hamfanyi kazi kwasababu mnapoteza muda mwingi kuperuzi. Suluhisho ni kuongeza gharama ili mshindwe kuzimudu
 

Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,293
2,000
mie natumia bundle za ulaya huku nimeshazisahau kabisaa huu mwaka wanne sasa
 

BuDDaH MBiSHi

Member
Jan 14, 2021
95
125
Naona ligi ya BPL..(Bundle Premier League) imechangamka sasa baada ya Mtanange wa kwanza!

VPN - TCRA (3-0)

Mechi Ziliofuata...

TCRA - MITANDAO (4-1)

MITANDAO - RAIA (4-0)

Hahaha bado league inaendelea lakini mambo matamu.
Tule mtori nyama zipo chini...
 

BuDDaH MBiSHi

Member
Jan 14, 2021
95
125
zantel wankupa dk 20 sms 100 Gb 1= siku 30 kwa 1000
afu kwa 2000 ni mara mbili ya hapo na 5000 wanatoa gb 5 kwa mwezi.
uko ndo kwa kukimbilia...
Spidi yake vipi kwenye Internet, maana huku Voda sijui kasi ni ya 5G+++ yani GB 1 inaisha fasta sana
 

BuDDaH MBiSHi

Member
Jan 14, 2021
95
125
Halotel atleast
1000 MB 500 bila dakika wiki
2000 GB 1.6 bila dakika wiki
3000 GB 3 bila dakika wiki
5000 GB 6 bila dakika wiki
10000 GB 13 bila dakika wiki
15000 GB 25 bila dakika wiki

10000 GB 10 bila dakika Mwezi
15000 GB 16
20000 GB 22
30000 GB 34
50000 GB 60

1000 GB 1 Halopesa wiki
3000 GB 3 na dakika 30 Halopesa wiki
3000 GB 3 bila dakika wiki
10000 MB200 sms 50 na dakika 1250
Tatizo la mitandao mingine tofauti na Voda, Airtel na Tigo kwenye swala la internet ni spidi yaan spidi yao ipo chini sna mpaka inaboa unajuta kwanini ulinunua bundle yani GB zako zinaisha muda bado inaload tuu Daaah! Tule mtori tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom