Nitaoa sura mbaya wa kawaida sana kutokana na uchunguzi huu kwenye mtandao

Midazolam

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
806
1,337
Habarini za asubihi na shikamoni wakubwa na wadogo zangu hamjambo vijana wenzangu mambo vipi.

Mimi napenda sana kuchunguza chunguza mambo na kuwapima watu akili hasa hawa jinsia ya 'she'

Niliambiwa kwenye mtandao kuna wanawake wazuri sana na ni kweli ni wazuri na pia ni wasomi wazuri sana maana kingezo changu cha kwanza ilikuwa ni kuzungumza nao lugha ya waingereza au tunasema ngeli

Na nitangulize hili jambo kuwa nilikuwa kwenye uchunguzi na hakuna niliyeshiriki naye ngono msema kweli ni mpenzi wa Mungu,nilikuwa kwenye uchunguzi kujua ni kwa kiasi gani hii biashara inakua sana,kwa njia hii hawa akina dada si ndo wake zetu huko mbele na jinsi wanavyotumika jamani tutawapata wakiwa watamu huko mbeleni au ndo ile ladha itakuwa imeliwa na kuisha

Wengi wao ni wana chuo na ndo maana wanajua sana ngeli na siyo ile ya kuunganisha unganisha wanajua ile iliyoonyoka tena safiiiiii.

Pamoja na hayo yote hakuna mwanamke au binti hata moja alikuwa na sura.mbaya wote ni pisi kali kama tunavyosema vijana wa kileo.

Pamoja na hayo yote Mimi kama Mimi nitaoa wanawake wa kawaida sana kwanza hawapati usumbufu kwa wanaume maana wanaume wanapenda pisi kali pili hawa wa kawaida hawajachezewa sana na wanaume wavurugaji.

Wanaume tuwapende hawa wenye sura ya kawaida na uthibitisho unaonyesha ni wanawake wanaotulia sana kwenye ndoa na kuwa wavunilivu sana.

Ova
 
41acb2d726c47bcac7f8e00428bb1bab.png
8f7149d9fc04e6be2005e77e34a37cc2.png
 
Kwa nini nioe mwanamke asie na mvuto kisa unaogopa kumegewa.Ipo hivi kumegewa ni tabia au kisasi kutokana na ulichomfanya mkeo hao unaosema wabaya huwaoni mtandaoni ni kwa sababu hawana soko ila waweza kuta ni malaya kama malaya hao pisi kali.Kujiuza mtandaoni sababu kubwa ni maisha kuwa magumu so unataka kuniambia hao wenye sura kama magenereta ndo hawana dhiki?

KUOA SURA MBAYA KUNA MADHARA YAFUATAYO:
1.Kupoteza hamu ya tendo la ndoa kwa sababu li mke halikuvutii tena usiombe nalo lijizile liwe lipolipo tu kama kiboko mbaya zaidi liwe limekuzalia zaidi ya watoto watatu.

2.Kukusababishia matatizo ya nguvu ya kiume level ya familia ndo vile unajikuta ukipata nyau la nje unapiga zaidi ya mabao mawili ila nyumbani unapiga bao nusu

3.Kuwa msumbufu kwa pisi kali na wake wazuri kwa watu kwa sababu wewe unjiona kama umeoa ng'ombe sisi ndo tumeoa wake mwisho wa siku unafumaniwa na kuliwa kichuri

4.Kuwa chapombe kwa sababu pambo la nyumba ndo hilo halikuvutii kuwahi kurudi home mapema unabidi urudi kwa kunyata wakati pambo la nyumba limelala

5.Majuto juu ya chaguo lako

6.Mke uliemuoa nae kuanza kugawa kwa shamba boy,bodaboda na wauza genge kwa sababu anakosa faraja ndani ya ndoa

7.KARIBUNI MLIO OA TUMPE EXPERIENCE YETU ILIYOFANYA TUOE TABIA TUACHANE NA MVUTO.
 
8.ukioa mke mbaya anakuzalia
mitoto inafanana na remmy ongara au idd amin
9.akiwa kalala chumban unaona kama kifurush cha pumba mana haelee3k kiuno kiko api na tumbo liko api
 
Habarini za asubihi na shikamoni wakubwa na wadogo zangu hamjambo vijana wenzangu mambo vipi.

Mimi napenda sana kuchunguza chunguza mambo na kuwapima watu akili hasa hawa jinsia ya 'she'

Niliambiwa kwenye mtandao kuna wanawake wazuri sana na ni kweli ni wazuri na pia ni wasomi wazuri sana maana kingezo changu cha kwanza ilikuwa ni kuzungumza nao lugha ya waingereza au tunasema ngeli

Na nitangulize hili jambo kuwa nilikuwa kwenye uchunguzi na hakuna niliyeshiriki naye ngono msema kweli ni mpenzi wa Mungu,nilikuwa kwenye uchunguzi kujua ni kwa kiasi gani hii biashara inakua sana,kwa njia hii hawa akina dada si ndo wake zetu huko mbele na jinsi wanavyotumika jamani tutawapata wakiwa watamu huko mbeleni au ndo ile ladha itakuwa imeliwa na kuisha

Wengi wao ni wana chuo na ndo maana wanajua sana ngeli na siyo ile ya kuunganisha unganisha wanajua ile iliyoonyoka tena safiiiiii.

Pamoja na hayo yote hakuna mwanamke au binti hata moja alikuwa na sura.mbaya wote ni pisi kali kama tunavyosema vijana wa kileo.

Pamoja na hayo yote Mimi kama Mimi nitaoa wanawake wa kawaida sana kwanza hawapati usumbufu kwa wanaume maana wanaume wanapenda pisi kali pili hawa wa kawaida hawajachezewa sana na wanaume wavurugaji.

Wanaume tuwapende hawa wenye sura ya kawaida na uthibitisho unaonyesha ni wanawake wanaotulia sana kwenye ndoa na kuwa wavunilivu sana.

Ova
Ndugu yangu oa yoyote anayekuvutia rohoni mwako na mnaoendana nae. Ukisema sura mbaya au nzuri umbo baya au zuri hayo yote wapigaji hawaangalii wanaangalia hela kama mwanamke ana uwezo utagongewa tu maana kuna vijana DSM wao kugonga wanawake wenye hela ndio kazi yao. Wanashinda gym na kupaka poda

Na hamna mwanamke mbaya duniani wote wakipata pesa wanapendeza sana. Mchawi pesa
 
Habarini za asubihi na shikamoni wakubwa na wadogo zangu hamjambo vijana wenzangu mambo vipi.

Mimi napenda sana kuchunguza chunguza mambo na kuwapima watu akili hasa hawa jinsia ya 'she'

Niliambiwa kwenye mtandao kuna wanawake wazuri sana na ni kweli ni wazuri na pia ni wasomi wazuri sana maana kingezo changu cha kwanza ilikuwa ni kuzungumza nao lugha ya waingereza au tunasema ngeli

Na nitangulize hili jambo kuwa nilikuwa kwenye uchunguzi na hakuna niliyeshiriki naye ngono msema kweli ni mpenzi wa Mungu,nilikuwa kwenye uchunguzi kujua ni kwa kiasi gani hii biashara inakua sana,kwa njia hii hawa akina dada si ndo wake zetu huko mbele na jinsi wanavyotumika jamani tutawapata wakiwa watamu huko mbeleni au ndo ile ladha itakuwa imeliwa na kuisha

Wengi wao ni wana chuo na ndo maana wanajua sana ngeli na siyo ile ya kuunganisha unganisha wanajua ile iliyoonyoka tena safiiiiii.

Pamoja na hayo yote hakuna mwanamke au binti hata moja alikuwa na sura.mbaya wote ni pisi kali kama tunavyosema vijana wa kileo.

Pamoja na hayo yote Mimi kama Mimi nitaoa wanawake wa kawaida sana kwanza hawapati usumbufu kwa wanaume maana wanaume wanapenda pisi kali pili hawa wa kawaida hawajachezewa sana na wanaume wavurugaji.

Wanaume tuwapende hawa wenye sura ya kawaida na uthibitisho unaonyesha ni wanawake wanaotulia sana kwenye ndoa na kuwa wavunilivu sana.

Ova
Ukishaoa sasa hapo wakulungwa wataitisha kikao cha dharura kujadili kwamba inawezekanaje umeoa wa sura ya kawaida ? Na hitimisho litakuwa kwamba kuna kitu cha tofauti sanaaa unapata ambacho pisi kali hawana .

Hapo sasa atapelekewa mafuriko ya kutosha , ndo utakapo jua kuwa haujui .

Hitimisho.
Oa mwenye hofu ya mungu.
 
Kwa nini nioe mwanamke asie na mvuto kisa unaogopa kumegewa.Ipo hivi kumegewa ni tabia au kisasi kutokana na ulichomfanya mkeo hao unaosema wabaya huwaoni mtandaoni ni kwa sababu hawana soko ila waweza kuta ni malaya kama malaya hao pisi kali.Kujiuza mtandaoni sababu kubwa ni maisha kuwa magumu so unataka kuniambia hao wenye sura kama magenereta ndo hawana dhiki?
KUOA SURA MBAYA KUNA MADHARA YAFUATAYO:
1.Kupoteza hamu ya tendo la ndoa kwa sababu li mke halikuvutii tena usiombe nalo lijizile liwe lipolipo tu kama kiboko mbaya zaidi liwe limekuzalia zaidi ya watoto watatu.
2.Kukusababishia matatizo ya nguvu ya kiume level ya familia ndo vile unajikuta ukipata nyau la nje unapiga zaidi ya mabao mawili ila nyumbani unapiga bao nusu
3.Kuwa msumbufu kwa pisi kali na wake wazuri kwa watu kwa sababu wewe unjiona kama umeoa ng'ombe sisi ndo tumeoa wake mwisho wa siku unafumaniwa na kuliwa kichuri
4.Kuwa chapombe kwa sababu pambo la nyumba ndo hilo halikuvutii kuwahi kurudi home mapema unabidi urudi kwa kunyata wakati pambo la nyumba limelala
5.Majuto juu ya chaguo lako
6.Mke uliemuoa nae kuanza kugawa kwa shamba boy,bodaboda na wauza genge kwa sababu anakosa faraja ndani ya ndoa
7.KARIBUNI MLIO OA TUMPE EXPERIENCE YETU ILIYOFANYA TUOE TABIA TUACHANE NA MVUTO.
Hahaha uliposema "kichuri" nikajua tu wewe ni wa nyanda za juu kwa kina mura kulee.
 
Wanawake ambao sio make up fanatics wana sifa zao:

-Ni wazuri wa asili na wanajiamini.

-Sio watu wa tamaa tamaa, kurubuniwa sio rahisi maana wako serious na maisha.

-Hawafatwi fatwi hovyo kutongozwa maana sio wanawake wa kuuza sura na wengi sio watu wakujipost post mitandaoni.

-Most of them are great upstairs na wanatazama maisha in a different dimension. Hawafikirii kwamba miili yao yaweza kuwa mitaji.
 
Jipeni moyo. Kiufupi huwezi kujua tabia ya mtu kwa kumtazama nje.
 
Hebu Imagine umeoa mwanamke mbaya kwa kuogopa kumegewa afu siku unakuta analiwa bado
 
Back
Top Bottom