Habar wadau
Hope kila mmoja anajua namba ya simu ni kitu muhimu sana na unapaswa kuishika sasa kwa hapa nchin mitandao ya simu ipo ming sasa kwa akili za kawaida mtu huwez shika namba zote yaan namba yako ya tigo,voda,airtel,TTCL
Halotel na zantel zote umezishika hapana hii sio sawa japo...
Jeshi la polisi mkoani Njombe linawashikilia watu watano wanaodaiwa kuhusika na mtandao wa wizi wa magari nchini ambao wamekutwa na magari Saba yanayosadikiwa kuibwa katika mikoa ya Dar es salaam, Mbeya na Singida.
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Njombe, – Hamis Issah amesema wezi hao wamekuwa...
Habari wana JF,
Leo nimeanza kuamini kuwa wale jamaa wa TUMA KWA NAMBA HII ni matapeli walio kwenye ama makamouni ya simu ama mabenki yetu.
Leo nimetumiwa kiasi fulani cha fedha kwenye simu yangu. Aliyenitumia ametumia bank kuja kwenye mtandao wa simu.
Kabla hata sijamaliza kusoma ujumbe wa...
Ndugu Wasomaji,
Mwanadamu siku zote ana tabia ya kuwa mzito kupokea mabadiliko hata yale yenye faida kwake, kwakuwa tu hajazoea mabadiliko hayo. Hofu inamtawala zaidi kuhusu madhara ya mfumo kuliko faida zake. Lakini pia mfumo wowote mpya ili utekelezwe lazima watu fulani waumie ama ni kwa...
Hapa Tanzania Huduma ya twitter haipatikani kwa uhakika hasa baada ya uchaguzi, inawezekana ni kwa sababu za kiusalama.
Rais Uhuru Kenyatta alifunga akaunti yake ya twitter kwa madai kuwa mambo yaliyojaa huko ni kejeli na kuvunjiana heshima na yeye hana muda na mambo kama hayo.
Nchini Marekani...
China yajenga mtandao wa kwanza wa mawasiliano ya habari wa Quantum wa ardhi na setilaiti duniani Chuo kikuu cha sayansi na teknolojia cha China kimetangaza kuwa timu ya utafiti ya China imefanikiwa kutimiza ugavi wa ufunguo wa siri (Secret-Key) wa Quantum wenye umbali wa kilomita 4600, ambayo...
Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini ( LATRA ) imetangaza kwamba hadi kufikia January 6 mwaka 2021 mabasi yote yawe yameanza kutumia tiketi za mtandao, vinginevyo watafungiwa kutoa huduma hiyo .
Bado haijajulikana sababu hasa za wenye mabasi ya abiria kulazimishwa kufuata utaratibu huu mpya huku...
Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka.
Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora
Japo Magufuli anaongoza...
Serikali imegundua mtandao wa watu ambao uwakusanya walemavu nchini na kuja kuwatumikisha mjini Dar es salaam kwa ajili ya kujipatia kipato.
Walemavu hao wapatao 25, wamegundulika wakiwa wamehifadhiwa katika gesti moja hapa Dar es salaam maeneo ya Tandare karibu na Manzese.
Timu ya viongozi...
Network haipatikani.
Website yao haifunguki.
Simu hawapokei.
Page zao za facebook na insta zipo kimya tangu october.
Kuna waliolipia vifurushi vya mwezi, siku zinaenda tu na hua hawafidii vifurushi network ikikata.
Naomba yeyote aliyeongezewa muda wa maongezi au MB kama mpiga debe wao Joti anavyotangaza hadharani aniambie, nafahamu kwamba ukiongeza muda wa maongezi unaletewa sms ya kwamba umepewa MB kadhaa, sasa kiuhalisia ukiacha hiyo SMS kuna kweli wa hizo MB na unazionaje na zinaishaje?
Nimeuliza kwa...
Ukatikaji wa mawasiliano katika mtandao wa smile kwa sasa limeanza kuwa jambo la kawaida sana. Kila wakati mtandao wao unapotea hewani na hawatoagi feedback yoyote unaporudi kwa wateja wao.
Ila pia kinachokwaza ni wizi unaoendelea kwa hivi sasa. Kwa mara kadhaa umeshawahi kupotea na bundle za...
Nimekuwa mteja wa huu mtandao tangu mwaka 2006 ulipokuwa ukijulikana kwa jina la Celtel mpaka leo. Inasikitisha na inaudhi mno kuona kwamba huu mtandao uliotokea kupendwa sana na watu wa vijijini kwa huduma nzuri kipindi cha nyuma ndio mtandao unaoongoza kwa huduma MBOVU KABISA siku hizi...
Kumetokea shambulizi la kimtandao ambalo limezilenga data za makampuni yaliovumbua chanjo ya virusi vya corona, Pfizer na BioNtech, likiwa ni sehemu ya uhalifu wa kimtandao ambao unayoyalenga Makampuni ya Dawa ya Ulaya (EMA) huko mjini Amsterdam, Uholanzi.
Taarifa hiyo imetolewa kwa pamoja na...
Katika miaka ya hivi karibuni, mapinduzi ya teknolojia za kidijitali yamekuwa mengi. Hii imezipa nchi nyingi faida bunifu za kupambana na changamoto mbalimbali.Mfano wa faida hizo ni huduma za afya kwa njia ya mtandao (m-health).
Kwa watoa huduma za afya wengi, m-health imeleta njia mpya za...
ZAIDI ya Sh bilioni 196 zinapotezwa na wasafirishaji wa mabasi kila mwaka kutokana na kutotumia mfumo wa ukatishaji tiketi kwa njia ya mtandao (POS) uliobuniwa maalumu kwa utoaji wa huduma ya usafiri.
Aidha hatua hiyo pia imekuwa ikiipotezea serikali zaidi ya Sh bilioni 38 kila mwaka...
Wakuu amkeniiii, mtandao wameachia. wastue Wana na Wana wawastue Wana. mwendo wa kuchati na kupigaa pesaa au kwa wale wa jagd plaza wanasema kudownload pesa hahahaa.
Unashangaa nini uzi tayari.
Hii nchi ina maadui wengi sana wa kiuchumi na kisiasa ambao hawaitakii mema. Hivyo serikali iwe makini.
Hizi ni nyakati mbaya sana maana mitandao inatumika vibaya na mara nyingi hutumika hata kuiba siri za nchi na kueneza propaganda za uongo.
Tumeshuhudia wadukuzi wakifanya udukuzi kwa...
Watu wengi wameripoti sms kwa kutumia mtandao wa Tigo zinakwama hewani kwa mud mrefu kabla ya kufika au haziendi kabisa moja kwa moja;
Hii ni mbaya sana kwa sababu SMS zingine ni crtical zifike kwa muda muafaka vinginevyo unavuruga kabisa utaratibu wa maisha wa kila siku.
Unaweza ukahisi mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.