Kichwa cha habari kinahusika,
Tupo hatua za mwanzo kabisa kuona jinsi tunavyoweza kuwashitaki wahusika waliozima mitandao ambapo ni takribani wiki sasa.
Ni jopo la wanasheria wangu. Tunafikiria kudai fidia ya Bilioni 8 kutokana na hasara tuliyopata kwa kuzimwa mtandao tena bila kushirikishwa...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa wito kwa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) na Makampuni ya Mawasiliano ikiwamo TTCL, Vodacom, Tigo, Airtel kutoa taarifa rasmi kwa wateja kufafanua kuhusu changamoto inayowakabili watumiaji wa mitandao.
Ahead of tomorrow's election in #Tanzania, we're seeing some blocking and throttling of Twitter. #TanzaniaDecides2020 Internet shutdowns are hugely harmful, and violate basic human rights and the principles of the #OpenInternet #KeepItOn
Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.
PIA SOMA
= > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswa
Kitendo cha mtandao wa Airtel kugawa namba za watu kwa CCM bila ridhaa zao na kuwatumia ujumbe wa kuwaomba kura uungwa kabisa. Huu ujumbe ambao unamuombea Magufuli kura unaonekana kua ni maneno ya msemaji wa CCM Humphrey Polepole kuwaomba watu kura. Ni usumbufu kitendo hiki kutawakosesha wateja.
Huu mtandao unazidi kuwa KERO kwa BAADHI ya watumiaji.
Hivi nikwanini mnagawanya dakika za kutumia mchana na nyingine za usiku? Tena eti kuanzia saa nne usiku, hivi mtu mzima anaongea mambo gani usiku huo kila siku?
Kama kwa utafiti wenu mmeona wapo wateja wenu wengi wanatumia muda huo,basi...
Malalamiko NI mengi Sana ya Chadema Juu ya wagombea wa CCM NI pamoja na.
1 Kutumia magali ya serikali.
2.Kumtumia Mawaziri mkuu.
3.Ahadi za Raisi na kupigia cm mawaziri.
4.Mgombea wa CCM kutofata ratiba ya tume.
5. Tuhuma dhidi yenu ya kuuza nchi mkichaguliwa.
6. Kauli zilizowahi kutolewa kwa...
Wiki mbili zilizopita hapa hapa Uwanja wangu wa 'Kujidai' katika huu Mtandao wangu pendwa kabisa wa JamiiForums nilikuja na 'Uchambuzi' wangu wa Kuwahusu Wachezaji Wawili wa Wapinzani wangu (wetu) ambao ni Yanga SC juu ya Wachezaji Wao wawili mahiri Mshambuliaji Michael Sarpong na Kiungo...
Kuna watu wanazibeza takwimu zinazotolewa mitandaoni. Takwimu ambazo nyingi kila mara zinaonyesha kuwa Tundu Lissu anamshinda Magufuli.
Binafsi ninaweza kusema kuwa hizi takwimu (polls) zinaweza kuwa credible (zenye kuaminika) zaidi nyakati hizi za sasa kuliko baadhi ya watu wanavyodhani na...
Ubalozi wa China nchini Uingereza umeomba mtandao wa Twitter kufanyia uchunguzi akaunti ya Liu Xiaoming Balozi wa nchini humo baada kuonesha kupenda maudhui ya picha ya ngono kupitia mtandao huo.
Tukio lilitambuliwa mara ya kwanza na Mwanaharakati wa haki za binadamu Uingereza na kusababisha...
Mimi napata kero sana na Vodacom kwenye maswala ya mpesa na vifurushi vya maongezi.
1. Nimeshakatwaga songesha wakati sikuwa na deni
2. Nilinunua bundle la maongezi la mwezi dk1100 mitandao yote imepita wiki tu inaniambia la Vodacom limeisha.
Worse enough uki report wanakuambia utapata majibu...
Mpaka hivi leo huku Kampeni zikiwa hata bado tu hazijafikia Nusu yake (achilia mbali Robo yake) na kwa hali ambayo nimeanza Kuiona ni rasmi sasa kwamba kama Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli angekuwa anapenda Kusoma ama Mada au Michango ya wana JamiiForums hapa (tena inayomkosoa) zaidi nina uhakika...
Mtandao wa WhatsApp, kupitia ma-group ya WhatsApp, umewaza kuwa ni mtandao unaowaleta na kuwaunganisha watu wengi zaidi kwa pamoja pengine kuliko mtandao mwingine wowote katika nchii hii, na hivyo kufanya taarifa zinazokuwa shared kupitia mtandao huu, kuwafikia watu wengi zaidi kuliko...
Ni katika muendelezo wa mjadala, ndugu Justine Kakoko, alisema wasio na hela watakuwa atika hali mbaya ya kuweza kuongea.
Hapa alizingatia kuwa maudhui ni picha, mawazo, maoni, elimu na chochote ambacho mtu ataweka mtandaoni, Kifupi ni kuwa ili uongee kwa uhuru ni lazima uwe na leseni kwa hiyo...
Miaka ya nyuma tulidhani kuwa ni wanaume tu ndio wanahusika kutapeli, kuiba na kuharibu lahasha kwa sasa hivi wote wanahusika, ila njia wanazozitumia ndio hutofautiana. Kuna aina zifuatazo za utapeli na wizi kupitia mitandao:
Wanao jifanya ni wadada wanatafuta waume wa kuwaoa
Wanao jifanya ni...
Most popular of the videos is the song 'Yope remix' where he featured Innos' B from Congo, which has so far gained some 106million views today.
Diamond platnumz mimi kama shabiki yako mkubwa ninakupa pongezi...
Askofu wa Kanisa Katoliki nchini Togo ni miongoni mwa watu waliolengwa na udukuzi uliofanywa kwa zaidi ya watu 1400 katika mtandao wa WhatsApp uliofanywa na Taasisi ya NSO Group ya Nchini Israel
Askofu Benoît Alowonou pamoja na watu wengine watano ambao ni wakosoaji wakubwa wa matendo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.