China yajenga mtandao wa kwanza wa mawasiliano ya habari wa Quantum

Kijana wa jana

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
9,156
2,000
China yajenga mtandao wa kwanza wa mawasiliano ya habari wa Quantum wa ardhi na setilaiti duniani Chuo kikuu cha sayansi na teknolojia cha China kimetangaza kuwa timu ya utafiti ya China imefanikiwa kutimiza ugavi wa ufunguo wa siri (Secret-Key) wa Quantum wenye umbali wa kilomita 4600, ambayo ni alama ya uzinduzi wa mtandao wa kwanza wa mawasiliano ya habari wa Quantum wa ardhi na setilaiti duniani.

Mtandao huo unatumia teknolojia ya leza OKD na saitilaiti kuunganisha watumiaji, ambao unaweza kusambaa kwenye eneo kubwa zaidi na kuwa na utulivu na usalama zaidi kuliko mtandao wa zamani.

Wajuvi mtusaidie kujua huu mtandao unafanyafanyaje kazi
 
Kijana wa jana

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
9,156
2,000
Screenshot_20210107-161745.png
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
15,871
2,000
China yajenga mtandao wa kwanza wa mawasiliano ya habari wa Quantum wa ardhi na setilaiti duniani Chuo kikuu cha sayansi na teknolojia cha China kimetangaza kuwa timu ya utafiti ya China imefanikiwa kutimiza ugavi wa ufunguo wa siri (Secret-Key) wa Quantum wenye umbali wa kilomita 4600, ambayo ni alama ya uzinduzi wa mtandao wa kwanza wa mawasiliano ya habari wa Quantum wa ardhi na setilaiti duniani.
Wakati vyuo vya wenzetu vikikazana kufanya tafiti huku kwetu mambo ni tofauti, maprofesa wa vyuo vikuu wako wanangoja wapewe nafasi za kisiasa na kugombea ubunge!!

Mbaya zaidi tunataka viwanda, sijui hivyo viwanda vitatoka wapi kwa mtindo huu!
 
Kijana wa jana

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
9,156
2,000
Unatuwekwa mada kana kwamba wote tumesoma Physics na tunayajua hayo.

Haya tuanze Quantum ni nini?
Duh! Swali langu limelenga kujua tu hiki walichokigundua kitakuwa kinafanya kazi kwenye simu, TV, au wapi na kwa namna gani?
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
10,772
2,000
Internet ni AMERICAN creation....

Then,Internet inayosimamiwa na chama cha kikomunisti cha CCP cha China,eti nitumie,uhuru wangu uangaliwe na akina Xi Jiping wanao ua hata akina Jack Ma?

Nina kichaa?

Yaani nikae kabisa napitisha siri zangu kwenye macho ya chama uaji kama CCP?

Subutuuu

Yaani siku namkosoa Xi Jiping wanakuja kunibeba nilipo wanaenda kunichinja huko China?

Sitakaa niiamini CCP ya China hata wajenge wingu hapa,never!

Hata aendelee kutawala Mmarekani naweza mtukana hata Trump mpaka mdomo ukachanika na hawezi nigusa...Hata kama amekasirika anaweza nipeleka mahakamani na huko kesi ikazungumziwa nikapata haki yangu

China unachinjwa waziwazi!
 
Naby Keita

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,106

Wanakuzoom hapo.....kama upo bongo huo mnara wenyewe inawezekana ni wa huawei
 
Mkuu kumbe uvumbuzi huu ni maswala ya internet? Asante sana
 
Statesman

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
23,272
2,000
Wakati vyuo vya wenzetu vikikazana kufanya tafiti huku kwetu mambo ni tofauti, maprofesa wa vyuo vikuu wako wanangoja wapewe nafasi za kisiasa na kugombea ubunge!!

Mbaya zaidi tunataka viwanda, sijui hivyo viwanda vitatoka wapi kwa mtindo huu!
Ni kweli mkuu,

Badala watumie vitivo vyao kufanya tafiti pamoja na wanafunzi wao wamekalia siasa tu.

Sijui tunakwama wapi kama Taifa.
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
10,772
2,000
Wanakuzoom hapo.....kama upo bongo huo mnara wenyewe inawezekana ni wa huawei
Mkuu

Mnara wa Huawei wa 4G kushuka chini ni nonsense..tatizo ni 5G kwenda juu

Architecture ya sasa ya mawasiliano ya Frequency Resource Distribution ni managed na USA....

Ila 5G architecture yake ni totally tofauti na Huawei ndio inataka kua centre piece of that...

Yaani muundombinu wa sasa wote utakua obsolete inakuja archtecture mpya kabisa...ambayo Beijing ndio ipo centre of it all...

Sasa hivi 4G yangu haina tatizo na Huawei,na huawei hata kama ni data wanachukua vidata vidogo vidogo

5G ni tatizo maana ina control maisha yako yote from Beijing,sio data tu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom