mtandao

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio List Ya Wasanii Wenye Wafuasi (Subscribers) Wengi Zaidi Kwenye Mtandao Wa YouTube

    Hii Ndio List Ya Wasanii Wenye Wafuasi (Subscribers) Wengi Zaidi Kwenye Mtandao Wa YouTube 1. #DIAMOND 5.44M 2. #RAYVANNY 3.03 3. #HARMONIZE 2.68M 4. #MBOSSO 1.71M 5. #ZUCHU 1.44M 6. #ALIKIBA 1.03M 7. #LAVALAVA 1.01M 8. #NANDY 847K 9.#ASLAY 805K 10. #ROMA 442K CC @chartdatatz
  2. C

    JamiiForums Tanzania Orodha: Wasanii walitozamwa zaidi YouTube kwa mwezi Julai

    1. Diamond - Views Milioni 33.4 2. Rayvanny - Views Milioni 21.5 3. Zuchu - Views Milioni 19.1 4. Mbosso - Views Milioni 16.4 5. Harmonize - Views Milioni 16.2 6. Alikiba - Views Milioni 11.9 7. Nandy - Views Milioni 5.9 8. Rose Muhando - Views Milioni 5.2 9. Zabron Singers - Views Milioni 5 10...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Zoom kulipa Dola Milioni 86 kumaliza madai ya faragha

    Kampuni ya Zoom imekubali kulipa Dola za Marekani Milioni 86 kumaliza Mashtaka ya Faragha yaliyofunguliwa mwezi Machi mwaka 2020 huko California. Zoom ilidaiwa kuingilia Faragha ya mamilioni ya watumiaji kwa kutoa Taarifa zao Binafsi kwa Facebook, Google pamoja na LinkedIn. Vilevile...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tazama hapa kiwango cha tozo utakayokatwa kulingana na muda wa maongezi utakaoweka kwenye simu yako

  5. K

    JamiiForums Tanzania Kukuza mtandao na kuwa waaminifu kutatuepusha na madhila ya tozo mpya ya CCM

    Ndugu zangu tupo vitani kwa Sasa, Vita hii ni Kati ya watawala wanaolishwa na Kodi zetu dhidi ya watawaliwa. Familia chache zinazotawala nchi hii zimetuletea Kodi kubwa pamoja na tozo huku wakijinadi kwamba TUTAZOEA TU. Hatuna budi kushikamana na kupeana mbinu zakushinda Vita hii, nawaletea...
  6. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uwezeshwaji wa vijana na wanawake kupitia kilimo mtandao (E- agriculture)

    Nitaanza na maana ya kilimo mtandao. KILIMO MTANDAO, hii ni huduma ya kilimo ambayo inatoa taarifa na kupokea taarifa kuhusu hali ya klimo, masoko ya mazao, hali ya hewa na mabadiliko ya nchi pamoja na matumizi mengine ya kiteknolojia kupitia mtandao. Hii inasaidia kurahisisha mawasiliano...
  7. lckelvin

    JamiiForums Tanzania Mtandao gani una mabando mazuri ya usiku?

    Natafuta mabando ya usiku jamani kama lile la TTCL la GB 10 night, au lenye gb za kutosha kukarbiana na hilo kwa bei nafuu
  8. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Airtel ninyi siyo wezi? Huduma zenu mbovu sana

    Huu mtandao umekuwa wa ajabu sana. Watu wanatuma Miamala sms hazirudi kwa wakati, wananunia LUKU sms hawazipati, Internet yao ni weak kupita maelezo. Mbaya zaidi customer care services simu zao hazipatikani kabisa. Mtando umekuwa wa hovyo sana, huku ni kupoteza wateja. Kama kuna tatizo la...
  9. Hplp2275H

    JamiiForums Tanzania Ni Apps zipi za Mitandao ya Kijamii unamiliki kwenye simu yako na na kwanini?

    Mimi nina apps mbili tu Tuu ambazo Ninamiliki kwenye simu yangu nazo ni Twitter na WhatsApp. Facebook niliiacha kitambo kwa sababu ya kuwa na limited number of friends Kule Vichwa vipanga ni wachache mno kumejaa utopolo tuu. Hata ukiwa na followers Labda uwe unaandika kuhusu mapenzi, udaku...
  10. fokofu

    JamiiForums Tanzania Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

    SIRI ILIYOJIFICHA KWENYE MTANDAO WA EBAY NA JINSI YA KUTUMIA EBAY KUTENGENEZA PESA. Ebay? Ndiyo ni Ebay!!! Natumai umeshawahi kusikia au kukutana na kitu kinaitwa EBAY katika makala hii nitakupa siri iliyojificha kwenye mtandao wa EBAY na nitakufundisha jinsi ya kutumia EBAY kutengeneza...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania TCU rudisheni mfumo wa kudahili wanafunzi vyuoni kwa njia ya mtandao (CAS)

    TCU ni taasisi inayodhibiti ubora wa elimu ya juu. Inakagua, inashauri, inaruhusu Na kusimamisha au kufuta vyuo visivyokidhi vigezo vya ubora. Hivyo, vyuo vyote ambavyo vinatoa mafunzo vimefikia vigezo (minimum) vya ubora wa kumudu kutoa mafuzo yaliyokusudiwa. Ingawa ni kweli vyuo vinatofautiana...
  12. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania Masomo ya sekondari kwa njia ya Mtandao kwa kila siku

    Kama mnavyojiua serikali inahimiza matumizi ya tehama katika kufundisha kwenye shule za msingi na serikali. Juzi nilipita katika shule moja ya sekondari nikakuta wao wamepata msaada wa vifaa vyote vya kuwawezesha kupata masomo hayo kwa njia ya mtandao lakini changamoto kubwa kwao ni akina nani...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Biden asema Marekani haitokalia kimya mashambulizi ya mtandao ya Urusi

    Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Taifa hilo litajibu ikiwa Urusi itaendelea kutekeleza mashambulizi ya kimtandao dhidi yao. Akizungumza baada ya mkutano wake wa kwanza na Vladimir Putin, Biden amesema ameweka wazi kuwa Urusi inatakiwa kuheshimu Sheria au kukabiliana na matokeo. Amesema...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Faustine Ndugulile: Watanzania kunufaika na biashara Mtandao kufikia 2025

    Watanzania kunufaika na Biashara Mtandao kufikia 2025. "Lengo letu kufikia 2025 zaidi ya asilimia 80 ya Watanzania tuwafikie kwa mawasiliano ya Internet na hadi 2025 tuwe tumeweka mazingira wezeshi ya biashara mtandao (E-commerce)". Ameyasema hayo Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  15. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO rudisheni token ama fedha za watu mlizochukua wakati wa tatizo la mtandao

    Rudisheni Token ama fedha za watu mlizokata wakati mna tatizo la mfumo wa LUKU, ni muda sasa hela hamrudishi Token hamtoi, hamuoni kama huu ni wizi kama wizi mwingine? Kwenye mitandao ya simu mtu akipata shida ya miamala ndani ya saa 24 hela zake zinarudi nyinyi mna tatizo gani , watu walinunua...
  16. magabelab

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya mtandao inayotegemea SMS

    Huduma ya Ujumbe Mfupi (SMS) ni sehemu ya huduma ya mawasiliano ya maandishi ya simu, ikitumia itifaki sanifu za mawasiliano zinazoruhusu kubadilishana ujumbe mfupi wa maandishi kati ya laini au vifaa vya simu za rununu. Matumizi ya SMS kama matumizi ya data ulimwenguni ni kubwa sana, na...
  17. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Baada ya picha zinazohusishwa na Kajala kusambaa mtandaoni, atoa tamko la kukanusha

    Wakuu X Wa Konde Boi Ametoa Tamko Lake Rasmi Kuhusu Kinachoendelea Huku Mtandano.
  18. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania hakuna 4G? Hii tunayotumia ni 3.5G na tunadanganywa tu na makampuni ya simu?

    Je, ni kweli kwamba Tanzania hakuna 4g?hii tunayotumia ni 3.5g na tumedanganywa na makampuni ya simu? Wakuu nasikia hii 4g ya Bongo ni ya uongo na kwamba walichofanya wameleta tu 3g ya ulaya Marekani au China na kutuaminisha kuwa na ni 4G Wanasema hii 4g ya Bongo ni chenga tu na ni sawa na 3G...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Utapeli kwa njia ya mtandao

    Habari wadau wa jamiiforums Naomba nikiri kuwa Mimi nimuathirika wa wa utapeli kwa njia ya mtandao. Mnamo tarehe tatu mwezi Juni 2021, nilipgiwa simu na mtu ambaye alikuwa kwenye ofisi yangu(mfanyakazi wangu) kuwa Kuna mtu alikuwa na uhitaji wa maalumu kutokana na na yeye kuumwa. Akaomba atoe...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRA Wakanusha taarifa zilizoandikwa JamiiForums kwamba Mtandao wao Unasumbua, Waziita uzushi

    TRA Wamekanusha Taarifa zilizoandikwa JamiiForums zilizodai Mtandao wao kusumbua. Wamesema ni taarifa ya Uongo na Uzushi. Kwani imelenga kupotosha na kuleta taharuki miongoni mwa Walipa Kodi pamoja na kuidhalilisha taasisi na Watumishi wake. Katika kipindi cha mwezi mzima, TRA haikuwa na...
Back
Top Bottom