mtandao

  1. The Father of All

    Je, Magufuli amemfunika Nyerere kwa waombolezaji kwa sababu ya mtandao au ni kweli?

    Mazishi ya Rais Magufuli yanaweza kuweka historia ya kuhudhuriwa na watu wengi kuanzia kuaga hadi kesho atakapozikwa. Kwa haraka haraka naona halaiki iliyomuaga na itakayomzika pamoja na matatizo ya corona, haijawahi kutokea. Kwa hivyo, anaingia kwenye historia kama Mtanzania aliyezikwa na...
  2. Jackal

    Trump kurejea katika mitandao ya kijamii na mtandao wake mwenyewe

    President Donald J. Trump gives a fist bump to the press. (Official White House Photo by Tia Dufour) Former President Donald Trump is planning to launch his own social media platform within the next few months, one of the 45th president’s senior advisors told Fox News Sunday. “I do think...
  3. Sam Gidori

    Clubhouse yakabiliwa na ukosoaji kuhusu usalama wa taarifa za watumiaji

    Baada ya kushuhudia miezi kadhaa ya ukuaji wa idadi ya watumiaji, mtandao wa kijamii unaotumia zaidi sauti wa Clubhouse umeanza kukabiliwa na ukosoaji mkubwa hasa kuhusu usalama wa taarifa za watumiaji, na kuifanya kampuni hiyo kuhaha kutengeneza suluhu ya changamoto zake kurejesha imani ya...
  4. w0rM

    Je, kuna mkono wa Serikali katika kuongeza bei ya vifurushi? Serikali kuja na mfumo wa kudhibiti simu za WhatsApp

    Siku chache zilizpita Kampuni za Simu za Tanzania; Vodacom, Tigo na Airtel n.k ziliongeza bei za vifurushi na kusabisha taharuki kwa watu wengi kwa bei hizo zilipanda maradufu. Serikali na Taasisi zake zilisubiriwa sana kuja kuzungumzia suala hilo, badala yake TCRA ikaja na chapisho la kuonesha...
  5. funluverx

    'Serikali ya Wanyonge' ndiyo adui namba moja wa maendeleo. Eti simu/video kupitia wavuti marufuku kupitia 'Bando'!

    Hata salamu sitoi.:( Leo nina hasira kupitiliza Ninaweza kumzaba kibao yeyete ambae naweza kukutana naye barabarani nikihisi tu kuwa kwa namna moja ama nyingine amehusika na 'Utopolo' huu, bila ya kujali yeye ni nani ama ana nini. Ni hivi; kwenye uchambuzi wa magazeti asubuhi hii ya leo...
  6. Cannabis

    Chama cha Wamiliki Mabasi (TABOA) kusitisha kutoa huduma kuanzia Jumatano wiki ijayo kwa kugomea mfumo wa ukataji tiketi kupitia mtandao

    Chama cha wamiliki wa mabasi nchini(TABOA) kwa kauli moja kimetangaza kusitisha kutoa huduma kuanzia jumatano wiki ijayo kwa kugomea mfumo wa ukataji tiketi wa mtandao wakidai mfumo huo ni kandamizi na unawaumiza wamiliki na kufIkia hatua ya kutaka kuwafilisi. ==== Dar es Salaam. Wamiliki wa...
  7. Melubo Letema

    DC Muro avuruga mtandao wa wizi wa ng’ombe za watu majumbani

    Mkuu wa wilaya ya Arumeru , Jerry C. Muro ametumia saa 18 kusambaratisha mtandao wa wizi wa ng’ombe za wananchi majumbani ambapo mpaka sasa watuhumiwa 5 sugu wa wizi wa ng’ombe tayari wako mikononi mwa vyombo vya dola. Dc Muro amelazimika kuingilia kati baada ya ng’ombe zaidi ya 13 kuibwa kwa...
  8. 5

    Mtandao wa 'Sema na Rais' kule Zanzibar mbona kuna jambo halikuingizwa?

    Habari za wakati huu watu wa jamvi hili. Mimi ni miongoni mwa waliofurahishwa sana na juhudi za Dr. Mwinyi kule zanzibar kwa kuweza vyema kuwaunganisha wazanzibari kwa kuunda umoja wa Kitaifa chini ya Almarhum Maalim Seif Sharif Hamad (Allah Amrehemu). Jambo jengine zuri zaidi Dr. Mwinyi...
  9. chuchunge

    Utapeli wa kazi unaopostiwa na wahalifu wa mtandao -Zoom Tanzania

    Naomba niwaalert job seekers kwamba kuna watu wanapost kazi Zoom Tanzania kwa kutumia jina la Organization ya World Direct kitu ambacho sio kweli as ukishaapply wanataka ufanye PAR test na kulipia almost 125,400 ya Kitanzania kwa ajili ya certificate, nimewasearch na kuona wanatumia majina...
  10. J

    Zingatia haya unapohitaji kutoa mchango kwa njia ya mtandao

    Baada ya majanga makubwa ya asili kama tetemeko la ardhi au misiba ya watu wanaofahamika, matapeli hutumia nafasi hiyo kujiingizia kipato Wanaanzisha tovuti na akaunti bandia za michango, na kisha hutengeneza barua pepe ya zenye kuweza kuibua hisia za watu ili kupata fedha ambazo haziwafikii...
  11. J

    Jinsi ya kuepuka utapeli wa kazi na ajira kupitia mtandao

    Kuwa na shaka juu ya fursa za kazi, haswa zile zinazotoa ahadi ya mapato ya uhakika au zinazohitaji ulipie kabla ya kuanza. Ikiwa kazi hiyo inajumuisha kutengeneza au kuuza aina fulani ya bidhaa au huduma, ulizia kwanza ikiwa kweli kuna soko la bidhaa hiyo. Uliza mrejesho kutoka kwa watu...
  12. EvilSpirit

    Kuna anayejua kuifanya hii device itumie laini za mtandao mingine

    Hii ni kifaa cha kampuni fulani.nimekinunua kwa hela nyingi lakini mwisho wa siku kikawa hakina kazi kutokana na mtandao husika kutokuwa na coverage kwenye remote areas.Coverage ipo mijini tu.Ni jambo la kushangaza sana katika kipindi hiki cha Sci & Tech eti mtandao unashika mjini tu.Nimeamua...
  13. Idugunde

    Ushauri muhimu: Serikali izime kabisa mtandao wa twitter, unatumika vibaya kipindi hiki tunapopambana na Covid 19

    Kuna upotoshaji mbaya sana unaofanywa na watu wasio na nia njema na taifa hili na kusababisha taharuki kwa watanzania. Mtandao wa Twitter unatumika vibaya sana na watu ambao ni wapuuzi na siku zote hawana nia njema na Tanzania kwa sababu zao ambazo hazina mashiko. Kila mtu anajua sasa hivi...
  14. Rwaz

    Watumiaj wakongwe wa smartphone: Mtandao ambao isipite siku hujachungulia

    Asalaam aleikum. Kila siku kuna watumiaj wapya wa mitandao mbalimbali ya kijamii na internet kwa ujumla. Nichukue ukurasa huu tusaidiane kujua mitandao yenye faida kwa kila mpenda habar, maono, hekma na mambo ya kufaidisha kupitia simu ya mhusika. Wengine wanakuwa na hamu tu ya kumilik simu...
  15. Erythrocyte

    Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

    ==== TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA KWA KOSA LA KUHAMASISHA MAANDAMANO HARAMU Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam leo tarehe 15.02.2021 limefanikiwa kumkamata anayejiita Askofu EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA wa kanisa la Uamsho la...
  16. Chizi Maarifa

    Tutaponea wapi sisi Watanzania baada ya Serikali kututupa mkono? Airtel nao washusha kiwango cha Data

    Watanzania kama ilivyo ada tumekuwa wanyonge mpaka basi. Tumekubali kukamuliwa kila sehemu na Serikali imeamua kuendelea kutunyonya mpaka damu. Kifurushi cha Airtel cha Tsh 1,000 kwa GB 1 nacho kimepunguzwa. Sasa ni MB 500 kwa tsh 1000 ndani ya siku 3. Tunajua Serikali nayo inafaidika na...
  17. Superbug

    Chanel 10 tv ya CCM yazungumzia matumizi ya VPN baada ya mtandao kufungwa huko Mynamar

    Kumbe Channel Ten inatambua kwamba serikali zinazofungia mitandao ya kijamii ni za kidikteta. Kwenye taarifa Yao ya habari wamezungumzia udikteta wa serikali ya kijeshi ya Myanmar iliyofungia mitandao na kufanya watu watumie VPN. Chanel ten wakumbuke kwamba hata serikali ya ccm ilifungia...
  18. The Sheriff

    Waanzilishi wa jukwaa la GigSpace wawaasa vijana kutumia fursa za teknolojia ya mtandao

    Ofisa Mtendaji Mkuu na mbunifu wa jukwaa la Gigspace, Ashura Babi, akiwa na mwanzilishi mwenza, Steve Mawalla, wamesema waliamua kuanzisha jukwaa hilo kwa ajili ya kuwaongezea na kuwafungulia vijana pamoja na wafanyakazi fursa pia za ajira kupitia mtandaoni. Akizungumza katika mahojiano na...
  19. Midazolam

    Nitaoa sura mbaya wa kawaida sana kutokana na uchunguzi huu kwenye mtandao

    Habarini za asubihi na shikamoni wakubwa na wadogo zangu hamjambo vijana wenzangu mambo vipi. Mimi napenda sana kuchunguza chunguza mambo na kuwapima watu akili hasa hawa jinsia ya 'she' Niliambiwa kwenye mtandao kuna wanawake wazuri sana na ni kweli ni wazuri na pia ni wasomi wazuri sana...
  20. Ta Muganyizi

    Mtandao - Jini linalosumbua ofisi za Serikali Tanzania, TANESCO hawakosi

    Habari Wadau. Imenibidi niseme tena maana najua imeshasemwa sehemu kibao. Kwa serikali yetu hii ilivyo kasi katika kutuletea maendeleo naona suala la mtandao wa internet limekuwa tatizo kubwa hata katika awamu hii. Mfano unaenda TANESCO kujaza fomu ili uwekewe umeme lakini inamaliza hadi wiki...
Back
Top Bottom