mtandao

  1. Street Hustler

    Elimu kwa njia ya mtandao kwa wanafunzi wa Awali, Msingi na Sekondari. Je, Wizara ya Elimu inaitambua hiyo elimu?

    Niliwahi kuandika jamii forum kuhusu ili swala la kulipa ada na online education hili swala lipo hivi Tanzania kupitia wizara ya elimu haitambui elimu ya kujisomea nyumbani isipokuwa katika ngaz ya degree tuu hizo zingine chini haiwezekani hivyo mwanao akipata hyo elimu n kama tuition tuu mana...
  2. mkiluvya

    Mkutano wa baraza la Mawaziri wa SADC ngazi ya Makatibu wakuu wafanyika kwa njia ya Mtandao

    Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umefanyika leo jijini Dar es Salaam kwa njia ya Mtandao (Video Conferencing) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Mkutano huo umefunguliwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Maafisa...
  3. C

    Hivi Matumizi ya internet kwa mtandao wa Vodacom yako vipi?

    Wakuu nauliza hivo maana kilichotokea wala sijaamini Yaani 1GB imeisha kwa kudownload apps mbili tu na kutumia whatsapp ndani ya dakika 10 Hii kali sasa
  4. beth

    Sikukuu ya Eid El Fitri: Waislamu duniani washerehekea kwa njia ya mtandao

    Maadhimisho ya Eid El Fitri mwaka huu zimekuwa tofauti na miaka iliyopita kutokana na mataifa mengi kuendelea kuzuia mikusanyiko ili kudhibiti mlipuko wa CoronaVirus Nchi nyingi zenye idadi kubwa ya waumini wa Kiislamu kama Qatar, Uturuki na Indonesia zimepiga marufuku matukio mengi...
  5. simplemind

    Masomo yote Cambridge University kupitia Mtandao hadi msimu wa joto 2021

    There will be no face-to-face lectures at the University of Cambridge over the course of the next academic year due to coronavirus, it has been announced. However, lectures will be available to students online and "it may be possible to host smaller teaching groups in person" if they meet...
  6. ronnycharlz

    Internet yenye thamani nzuri kwa matumizi makubwa ya internet (100GB+ kwa mwezi)

    Kwa mtu mwenye matumizi makubwa ya data - tuseme 100GB kwa mwezi - Ni huduma gani ya internet nzuri? sio lazima iwe mtandao wa simu, matumizi ni kwenye PC. Ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
  7. f_m

    Wakala wa Mtandao wa Serikali (EGA) ni wakati wenu kujipambanua

    Ni wakati wenu EGA kuonesha uwepo wenu katika serikali ya JPM. Serikali iko kwenye mapambano dhidi ya COVID 19 inayopelekea mawasiliano kufanyika kwa njia ya mtandao. Nashauri muanzishe mawasiliano kwa kutumia group kama za whatapp ili kuwezesha vikao(onlinemeeting). Pia muanzishe app...
  8. MUBIKU

    Jihadharini na offer mpya inayotolewa na mtandao wa Tigo

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza. Kuna ofa inatangazwa na tigo ukitoa hela na kuituma unapata 20,000 huo ni wizi mtupu nakushauri usijaribu kufanya hivo utambulia makato ya elfu 8 na kupewa elfu 2 tu au usipate chochote. Sasa hiyo ofa yao imelenga kujikusanyia pesa tu nasiyo...
  9. MEXICANA

    Mtandao wa halotel umeanza kufyonza data bundle kama kunguni

    Ulikuwa ni mtandao mzuri kwa kweli kwa upande wangu, Bundle la data la sh 10,000 nilikuwa natumia mwezi mmoja lakini kwa sasa hata wiki halikatishi. Nafkiria kuitupilia mbali kule halotel nihamie mtandao mwingine.
  10. Roving Journalist

    Kesi namba 456 ya 2016 JamiiForums vs Jamhuri, Kisutu: Maxence Melo ahukumiwa Mwaka jela au faini ya Tsh. Mil 3. Mwenzake aachiwa huru

    Kesi namba 456 ya mwaka 2016 inawakabili Mkurugenzi wa Jamii Media Ndg. Maxence Melo na mwana hisa mwenzake Micke William itasomwa leo Aprili 08, 2020 mbele ya Hakimu Thomas Simba kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Hukumu hii awali ilipangwa kutolewa Novemba 26, 2019...
  11. J

    Pascal Mayalla: JamiiForums ndio mtandao bora kwenye utoaji elimu japokuwa wengine waliomba corona ije kupitia hukohuko

    Mwandishi wa habari nguli na mwanasheria Pascal Mayalla amesema mtandao wa JamiiForums ndiyo bora katika utoaji elimu pamoja na kwamba kuna baadhi ya members waliomba Corona ije nchini. Mayalla alikuwa anaongea katika kipindi cha Jicho Letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star TV...
  12. Planett

    Tatizo la Intaneti mtandao wa Airtel

    Wakuu hivi ni mimi ambae nakumbana na hili tatizo la internet kwa hawa airtel!? Maana natumia like 10 minutes mtandao unakata hadi nitoe modem then niweke tena. Na upande wa simu hivyohivyo hadi nizime data then niweke on tena. Kama kuna tatizo mbona hawatupi taarifa ili tusipoteze fedha zetu...
  13. Sir Hemedi

    Mafunzo ya ICT, kozi kumi na tatu, chagua uipendayo

    Ongeza ujuzi wa kompyuta na mtandao. Lengo langu ni kukuongezea wewe ufanisi katika shughuli, biashara au miradi yako unayoifanya. Pia unaweza kujiajiri kwa kusoma kozi mbalimbali ninazozitoa. Kwa kuwa watu wameshughulishwa sana na wengi hawapati muda wa kutoka nyumbani na kwenda kujifunza...
  14. Sky Eclat

    Makundi ya makungwi mtandaoni yamponza dada kizazi chake sasa kimeoza

    Aliweka asali, pipi kifua, sabuni za kuua bakteria, ndimu, maji ya ukoko, shabuu vinginevyo mategemeo yake uke uwe mdogo na amridhishe mpenzi wake. Matokeo yake amepata madhara na kizazi kimeoza.
  15. NGolo Kante

    Tuliowahi kudhulumiwa na Mtandao wa Tigo Tanzania tukutane hapa

    Mnamo Jumanne ya Tarehe 11 mwezi huu (Februari 2020) nilinunua kifurushi cha Internet kwa njia ya Tigo Pesa. Ndugu zangu wana JamiiForums yakapita masaa 24 bila ya kupewa kifurushi wala kupewa taarifa yoyote. Nilichukua hatua ya kuwapigia Huduma kwa Wateja, nikajibiwa kifurushi changu...
  16. Miss Zomboko

    Wanaorejea ndani ya CCM kutoka Upinzani watakiwa kutoleta makundi ndani ya Chama hicho

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amewataka wanachama ambao walikihama chama hicho na hivi sasa wameamua kurejea wasiwe chanzo cha kuanzisha makundi ndani ya chama. KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, picha mtandao Amewataka wanachama wa CCM...
  17. goodfool

    Naomba kujua website itakayoniwezesha kutengeneza blog kwa bei nafuu

    Habari zenu, Je, website gani naweza kutengeneza site na blogu bure au kwa gharama nafuu ambazo zinawea kupatikana kwenye google search. Yaani niki-search Google niweze kuiona website au blogu yangu. Pia naomba kufahamu ni namna gani naweza ku-publish content za blogu yangu kwenye Opera News...
  18. Johnny Sins

    Huduma mbovu za Mtandao wa TTCL: Malalamiko ya wananchi

    Sio siri ngoja niende kwenya mada moja kwa moja. Huu mtandao una matatizo mengi sana kama yafuatayo: 1. Huduma ya T PESA Aisee huu mtandao kama utatuma hela siku ya Ijumaa usiku ghafla litokee tatizo wallah utakuja kuhudumiwa siku ya Jumatatu. Hili tatuzo limenipata juzi hapa Ijumaa tarehe 7...
  19. mashonga

    Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

    MALALAMIKO MBALIMBALI YALIYOTOLEWA NA WADAU: Habari za mida hii wakuu, hivi haya mabadiliko ya bando za Tigo ni kwangu tu au kwa watu wote? Maana daah bando zimekuwa ghali sana kwa sisi Wananchi wanyonge. ===== --- --- --- --- --- --- ===== WADAU WENYE MTAZAMO TOFAUTI: --- ---...
  20. FRANC THE GREAT

    Kitu gani kimeikumba WhatsApp?

    Habari! Kuna tatizo limeonekana kujitokeza la kutotuma wala kupokea jumbe zozote zile katika mtandao wa kijamii wa WhatsApp hivi sasa ninapoandika uzi huu. Hili tatizo linatajwa kuwakumba watumiaji wa mtandao huu sehemu mbalimbali duniani na hata mimi kwa upande wangu nimelishuhudia tatizo...
Back
Top Bottom