Wakuu habari ya nyie, kuna hiki ki redio nimeombwa msaada hapa kukirekebisha, kina shida moja.
Waya ule wa speaker vile vidogo (Sijui ndo wanaviita twitter), pale kwenye ki tobo unapoingia kimekufa, sasa nafikilia hivi inawezakana nikauchukua na kuunga kwenye ule mwingine, tobo lililokufa ni...