UZa spea au fanya uungwana laini iweke cmu yako tafuta ktk namba zake wapigie watakupa namba au jinsi ya kumpata mhusika. hutakosa wanaomtambua mwenyrwe
Sasa mkuu unadhani iphone utaifanyeje? Haaah iweke laini iliyokuwemo umtafute mwenyewe umpe au uweke laini ingine tafuta namba alizowasiliana nazo mara kwa mara waambie nimeokota simu ukimpata mhusika muombe akupe hata kifuta jasho,hiyo sio kama android ni ngumu mno hiyo kuiflash
Bora ukauze kama spare kifaa ki1 ki1 la sivyo rudisha line mwenye nayo ataipigia au watu wake watapiga wape maelezo ulipo mwenye nayo aifate la sivyo utalipa vingi na ndani hutoki leo kama hujipendi
Eti nimeokota! Sawa ila kikosi kazi hakitaamini hilo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.