Msaada wa kufanikisha biashara ya Mayai

Shujoboy

New Member
Jul 30, 2021
2
4
Habari zenu wakuu,

Nipo wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma nahitaji kufanya biashara ya kuuza mayai jumla na rejareja Kuhusu masoko yapo ila changamoto ni wapi nitapata mzigo kwa bei ya chini kidogo walau nipate chochote kitu.

Msaada mkuu nikunisaidia unijuze bei ya hapo hususa ni mikoa jirani 0747267346
 
Tunaomba mrejesho zaidi uliopata uzi usilale!
 
Back
Top Bottom