Vishilingi kichwani msaada wa dawa

Nina sehemu mbili hazina nywele kichwani, vipo kama vishilingi nimetumia dawa zote hazioti. vina miezi saba sasa.
msaada tafadhali.
haviwash wala vipele havina ila vinakula nywele
Tumia kunawia mkojo wako kwenye hayo mashilingi, paka huo mkojo Kaa dakika 5 kisha ogea detto baada paka SKI DERM tube
 
Nina sehemu mbili hazina nywele kichwani, vipo kama vishilingi nimetumia dawa zote hazioti. vina miezi saba sasa.
msaada tafadhali.
haviwash wala vipele havina ila vinakula nywele
Jaribu majani ya nyanya Mkuu sugua pale penye vishilingi vitapotea
 
Kuna dawa inaitwa whitfield solution(Dawa ya Mba), ni ya maji rangi ya kijani. Ukipaka mara 2 tu mashilingi kwishney.
 
Tafuta dawa inaitwa Oltemwai. Ni dawa asili ya kimasai. Inamaliza magonjwa mengi sana ya ngozi. Ukikosa nitafute
 
Chukua limao kamua, changanya na magadi, kisha chukua huo mchanganyiko paka eneo lililoathirika!
 
Dawa halisi ni ni majani ya mnavu, mnavu ule wa asili.
Sugulia kichwa kizma haswa jioni walao mara 3 Yaani kwa siku 3

Au tumia aina hii ya mafuta ya kulainishia rangi, ni sprit Fulani Kali sana lakini bacteria yeyote hana maisha anapokutana na spirit ya aina hii
dm5dcJlzY2_800x.jpg
 
Nina sehemu mbili hazina nywele kichwani, vipo kama vishilingi nimetumia dawa zote hazioti. vina miezi saba sasa.
msaada tafadhali.
haviwash wala vipele havina ila vinakula nywele
Nunua mafuta ya mgando Blue magic au Dax changanya na mafuta ya mnyonyo(Castro oil). Ndani ya miezi miwili utaona tofauti au ushapoa hilo tatizo.

Niamini maelezo yangu nilifanya hivyo hilo tatizo liliondoka wiki 3 tu.
 
Tafuta huu mti, chuna magamba then yakaange alafu utatwanga. Unga utakaopata changanya na mafuta ya kula kidogo then umpke hasubuh na jion. Matokeo utayaona baada ya cku ya tatu kmatumizi. Pia inatibu michirizi ya mapajani na mabaka.
IMG_20230804_122244_650.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom