Msaada Nahitaji Display Original ya Samsung Galaxy A10

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
3,644
4,029
Simu yangu ilitumbukia kwenye maji display ikaharibika niikaweka display nyingine kwa sh 70,000,display hii mpya haina ubora kama ile original iliyokuja na simu na napasuka kama kioo cha dirisha pia inastack ovyo nikitouch.Nauliza kuna anayejua wapi naweza kupata display nzuri na original ya Samsung galaxy A10.Mimi napatikana Songwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom