Msaada Perfect Money deposit

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,344
1,012
Habari wakuu

Naomba kama kuna wakala wa Perfect Money au yeyote anayejua namna ya kufanya deoosit perfecct money kwa kutumia mitandao ya simu ( M-Pesa, Airtel Money n.k) anipe mwanga nataka kuweka pesa kwenye akaunti
 
Nipo hapa kama unahitaji Perfect Money, Advcash, Skrill. Naira Bank Transfer (Nigeria Bank Transfer)

Makato ni 25%
 
Back
Top Bottom